Hivi Baba levo ana uchawi ama?

Hivi Baba levo ana uchawi ama?

Ndugu zangu wanabodi..

Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...

Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?

Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?

Baba levo, alianza tu kuwa na diamond toka enzi, ila ndo hivyo leo anakula maisha.. He's living lavingshly lifestyle na mbubge pia.
View attachment 3712037
Kwahiyo hii ndo maana halisi ya nyota? Ama?.

Binafsi nikiona GA watu kama hawa huwa mnafikiria sana kuhusu mafanikio,

Wengine wanasema upambane, wengine wanasema tuwe machawa, wengine wanasema twende kwa waganga.. Yaani ni full maneno.
Wewe umethibitishaje kuwa hana historia ya upambanaji?
 
kabla hata hajakutana na diamond baba levo alikuwa diwani kigoma huko.

tambua diwani ni mheshimiwa pia na cheo cha diwani tu ni hakipatikani kwa urahisi
 
Wewe mtoto wa juzi usiyemnua ndio unasema hana historia ya mapambano.
Huyo ni mpambanaji, mwanasiasa kitaaaambo diwani wa kigoma mjini kwa tikeki ya chadema. Usimchukilie poa hata kidogo.

By the way, ukiwa mwanaume, by default wewe ni mpambanaji
Nani aliye kwambia mm mtoto wa juzi?.
 
Back
Top Bottom