Hivi Ally Mufuruki kwanini anajiamini sana?

Hivi Ally Mufuruki kwanini anajiamini sana?

Nashauri Waislamu waweke ajenda ya kubaguliwa kuwaondoa ccm madarakani, wajiunge na upinzani bila kujali chama ili Mecco 2020 iwe ndo mwisho wake ila mkisubiri 2025 mkidhani atapewa muislamu msahau kabisa, unganeni na upinzani muweke mgombea ambae ni muislamu Mecco atang',oka
Haiwezekni kwakuwa CCM ndiyo imeanzisha BAKWATA , na shehe mkuu analindwa na TISS,na anakaa nyumba ya serikali.
Mtandao ni mpana sana, watabaki tu wakibwabwaja, ila nawaonea huruma maana hawajitambui kabisa.
Just imagine maKAFIR akina makonda ndio wanachangia msikiti, mtume hajakubali hiyo kitu,
 
Tupe ushahidi wa hayo mafundisho ya dini yao yanayobagua wengine...otherwise utakuwa na chuki binafsi na prof
Wote wawili wako so bright .Mufuruki ana akili nyingi mno na Professor Assad Ana akili Sana Tena Sana tatizo lao moja tu kubwa they don't know how to get along with other people and don't have spirit of teamwork and team responsibity .May be it is due to their religious upbringing that teaches them to scorn others who are not of their faith as inferior.

But as far as I am concerned Ali Mfuruki is one of the few Tanzanians who have certified highest IQ.
 
Mafuruki Yuko anasomeshwa no. Maduka yake ya Woolworth yalisomeshwa No. na TRA kipindi kichere akiwa boss wa TRA mpk Mafuruki akalalamika mitandaoni.

Mafuruki pia akiwa ni mmoja wa watu waliompigania sana Magu kwny uchaguzi akiwa bega kwa bega na wakina Maria Sarungi na Yule boss wa Twaweza aliyenyang’anywa passport.

Inshort bwn yule hana rafiki,wote waliompigania labda kasoro Che Nkapa ndo amemsitiri ila wengine karibu wote wanapitishwa Ubatizo wa moto.
Weka kwenye akili kuwa uliipigania CCM inatosha
 
Tupe ushahidi wa hayo mafundisho ya dini yao yanayobagua wengine...otherwise utakuwa na chuki binafsi na prof
Nimeeleza my concern .It is according to my own observation you can challenge it you are free.But according to my own observation high Islamic intelligent people feel comfortable to work with their fellow Muslims even if they are stupid whether they are their seniors or juniors!!! You can challenge me it is ok .
 
Mshamba mwingine leo umetia timu?takwimu za umaskini zilipowekwa humu ulipotea, hahaaaaa unaloooooo.
Mi sjawahitamka kuwa nawachukia wahaya bali ninawananga kwa majigambo yao wakati kwao hawajiwezi, kuko hohehahe.

Ehee ishu vipi takwimu za umaskini zilipikwaaaa,,, haha haha haaaa
Unajua huyo mufuruki kafanya mangap huko bukoba?
 
Tupe ushahidi wa hayo mafundisho ya dini yao yanayobagua wengine...otherwise utakuwa na chuki binafsi na prof
Mini binafsi Mimi sio.muislamu lakini ukiniuliza mtanzania yupi unadhani Ana akili kuliko watanzania wote weusi Mimi kwa maoni yangu ningesema Ali Mfuruki muislamu
 
Unajua huyo mufuruki kafanya mangap huko bukoba?

Ni sawa na kusema unajua JK kafanya nini pwani, au mengi kafanya nini kilimanjaro. swala ni kuwa hali ya kiumaskini kwa ujumla wake bukoba ni moja ya mkoa wenye watu maskini kupindukia,
Awe amejenga vyoo au amewawowa wengi.
Nijibu ulipotea jamvini kwenye thread ya hali ya umaskini kulikoni?ulishikwa pabaya??
Sasa hebu njoo kwenye takwimu za maambukizi ya ukimwi 17/18 hahahahahaaaaaa utapotea jumulaaa
 
Nimeeleza my concern .It is according to my own observation you can challenge it you are free.But according to my own observation high Islamic intelligent people feel comfortable to work with their fellow Muslims even if they are stupid whether they are their seniors or juniors!!! You can challenge me it is ok .
Huu ni ukweli mchungu ni kweli asilimia mia moja
 
Mimi nijikombe kwa Ali Mfuruki au Profesa Assad kwa lipi? Waislamu wako wenye akili nyingi mno Tena Sana Yuko profesa Lipumba,Yuko Dr Dau,Yuko Mufuruki Yuko Profesa Assad,Kinana,Profesa Kapuya nk waliibuliwa na Mwinyi na Kikwete Kuna wengine walioibuliwa na awamu awamu hizo mbili hasa ambao nimewasahau wanisamehe bure lakini tatizo lao ni incompatibility with others whether seniors or juniors whether of their faith or not.

Nadhani wanazuoni wa kiislamu Wana kazi kubwa ya ku train mind za Waislamu wenye akili nyingi jinsi ya kuwa compatible kwenye society ya watu wenye imani tofauti na wao ili ku go further with their high intelligence.
Unaweza kutoa mifano ya kuonesha kwamba kutokana na Uislamu wao, basi wanashindwa kuwa "compatible" na watu wenye imani zingine?!
 
ivi rais ally hassan mwinyi aliifanyia nini nchi mbona km hakuna alichofanya
Huwezi kujua kwa kuwa umeanza kufuatilia siasa awamu ya kikwete.

Either kwa kuwa ni mdogo sana kiumri ama wakati wa utawala wa mzee mwinyi ulikuwa kwenu huko mashambani nanjilinji ungejua wapi mambo ya siasa.

Kwa msaada tu tafuta uzi upo humu wenye kichwa cha habari "legacy ya rais ally hassan mwinyi" utajifunza mengi mno.
 
Ni sawa na kusema unajua JK kafanya nini pwani, au mengi kafanya nini kilimanjaro. swala ni kuwa hali ya kiumaskini kwa ujumla wake bukoba ni moja ya mkoa wenye watu maskini kupindukia,
Awe amejenga vyoo au amewawowa wengi.
Nijibu ulipotea jamvini kwenye thread ya hali ya umaskini kulikoni?ulishikwa pabaya??
Sasa hebu njoo kwenye takwimu za maambukizi ya ukimwi 17/18 hahahahahaaaaaa utapotea jumulaaa
[emoji23][emoji23]

We endelea kufurahishwa na takwimu zenu kila siku .

Tena siku kagera wameikamata kweli.

Kagera inaongoza kulima bangi
kagera inaongoza umaskin
Kagera inaongoza kutokuwa na vyoo
Kagera ni ya mwisho kwenye elimu.
Kagera inaongoza Kwa maralia
Kagera inaongoza kwa vifo vya mama na mtoto
Kagera inaongoza Kwa utapiamulo.
Kagera inaongoza Kwa lishe duni.
Kagera inaongoza Kwa kipindukipindu nchini
Kagera inaongoza Kwa umalaya nchini
Kagera inaongoza Kwa everything baya nchini.

Yaani kagera hakuna kitu kizr kabisa mpaka watu ni wabaya kabisa . everything in this region ni kiovu.

But watu wa kagera hatutaacha kusema ukweli daima.na kila mtu anafanya anachojisikia katika mkoa huu ndo maana uvuvi haramu,magendo hayataisha katika mkoa huu.

Maana wengi wanasema ya nini kuishi tz bila faida yoyote.

NB .endeleen kuponda sijui kusikiliza takwimu zao kwenye huu mkoa kila mtu anapambana na Hali yake
 
Wote wawili wako so bright .Mufuruki ana akili nyingi mno na Professor Assad Ana akili Sana Tena Sana tatizo lao moja tu kubwa they don't know how to get along with other people and don't have spirit of teamwork and team responsibity .May be it is due to their religious upbringing that teaches them to scorn others who are not of their faith as inferior.

But as far as I am concerned Ali Mfuruki is one of the few Tanzanians who have certified highest IQ.
Great Comment
Umekosea kidogo Sana,hapo kwenye dini
 
Woga ukifika mwisho utengeneza watu wenye mioyo migumu kuliko unavyofikiri, any way hata wale wanaojitoa muhanga kuna hali fulani iliyowafikisha hapo.Jambo moja nililojifunza kipindi hiki ni kwamba :
1.Yawwzekana UISLAMU ni dini bora hapa duniani,
2.Sisi wakristo ni wanafiki sana,
3.Inawezekana kama waislamu wangekuwa SUPERPOWER dunia ingekuwa salama zaidi.
Huyu ni moja ya watu wanaojiamini sana katika nchi hii
View attachment 1255730
 
Wenye IQ kubwa wamekutana. These Guys are very special upstairs. Mufuruki yeye aliamua kuwa mjasiriamali au nisema Mfanyabiashara toka akiwa na umri wa ujana kabisa. Aliajiriwa kwa muda mfupi tu then he made his mind to quit na kuamua kuwa mwajiri na kujiajiri. He is among the Wealthiest people in Tanzania.

Kukutana Aiport na kuchangamkiana ni jambo la kawaida. Ila pia kwa level yao kiumri na mengine ni watu ambayo are in the same circle so hatuwezi kushangaa.

Binafsi nikikutana na Prof. Assad ni lazima nimwombe tukae tupate kahawa kidogo na kupeana mawili matatu. Japo htuna connections directly but nikimkumbusha historia hatakuwa na mashaka na mimi. Kama ni mbaya kwa wengine kwangu si mbaya. Ninamheshimu kwa nidhamu yake na utendaji wake na itabaki hivyo milele. Mind you I am a Christian and he is a Moslem.
 
Back
Top Bottom