Hivi Ally Mufuruki kwanini anajiamini sana?

Hivi Ally Mufuruki kwanini anajiamini sana?

Kujiamini ni kipaji, unaweza kuwa na elimu yako kubwa au utajiri lakini usiweze kujiamini
 
Labda kama unamaana ingine,lakini sijaona chakumchukiza Jiwe kwenye hayo maelezo ya huyu Billionaire.
Labda utume hayo maelezo mengine uliyoyaona mpaka ukahisi Ally anajiamini sana kama ulivyo andika.
Unakumbuka mtu wa kwanza ku critisize uchumi wa Tanzania alikuwa yeye na akabaki salama..sasa kuna mtu kanifwata DM ananiambia kumbe kasoma na mzee baba Lao na anamjua nje ndani
 
Wote wawili wako so bright .Mufuruki ana akili nyingi mno na Professor Assad Ana akili Sana Tena Sana tatizo lao moja tu kubwa they don't know how to get along with other people and don't have spirit of teamwork and team responsibity .May be it is due to their religious upbringing that teaches them to scorn others who are not of their faith as inferior.

But as far as I am concerned Ali Mfuruki is one of the few Tanzanians who have certified highest IQ.
Nasikia kasoma na Baba Lao hapo mwanza?
 
Labda kama unamaana ingine,lakini sijaona chakumchukiza Jiwe kwenye hayo maelezo ya huyu Billionaire.
Labda utume hayo maelezo mengine uliyoyaona mpaka ukahisi Ally anajiamini sana kama ulivyo andika.
Mkuu achana na washika pembe,ni watu wafitinishi sana. Wao kazi yao ni kuvutia upande mmoja ili wajulikane wapo wapewe chochote.
 
Vipi mbowe amuogope !?
sidhani. na hakuna sababu. wakati magu akiwa waziri angefanyiwa nusu tu ya yale aliyofanyiwa mbowe angepatwa mazimu. kama ayubu mali yake yote ( bilicanas, media, maua, n.k) na mwili wake ( miezi mitatu mahabusi) mbowe vilitikiswa akaimarika zaidi. hamuogopi bali anamheshimu kama rais wake.
 
Hujajibu swali. Habari za muda kufika watu wanamsubiri Yesu arudi pia na muda hautafika arudi.

Tetea hoja, acha viroja.
Kusudi la ile picha tunalijua na litamcost....NIMEMALIZA
 
sidhani. na hakuna sababu. wakati magu akiwa waziri angefanyiwa nusu tu ya yale aliyofanyiwa mbowe angepatwa mazimu. kama ayubu mali yake yote ( bilicanas, media, maua, n.k) na mwili wake ( miezi mitatu mahabusi) mbowe vilitikiswa akaimarika zaidi. hamuogopi bali anamheshimu kama rais wake.
USHAAMBIWA HUKO "MAGUFULI BABA LAO"
 
Kusudi la ile picha tunalijua na litamcost....NIMEMALIZA
Sijawahi kukuuliza kusudi la ile picha.

Nimekuuliza kuhusu kujiamini. Mnatumia kipimo gani?

Kuna tatizo gani Mtanzania akijiamini?

Mnataka nchi ya watu wasiojiamini?
 
Hukumbuki Gwajima alivyo mshambulia CAG Assad baada ya kuteuliwa na JK !?

sikuwahi kusikia hilo tukio, hebu nipe kumbukumbu, link, news excerpt, audio clip, video yeyote inayoonyesha Gwajima akimshambulia CAG na dini yake baada ya kuteuliwa na JK,
 
Nimeeleza my concern .It is according to my own observation you can challenge it you are free.But according to my own observation high Islamic intelligent people feel comfortable to work with their fellow Muslims even if they are stupid whether they are their seniors or juniors!!! You can challenge me it is ok .
umejaribu kujikuta msomi leo.
 
Back
Top Bottom