Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,963
Sure mkuuAlly Mufufuki lazima ajiamini maana ana pesa na kipato chake ni cha halali siku zote, hana makandokando.
Sure mkuuAlly Mufufuki lazima ajiamini maana ana pesa na kipato chake ni cha halali siku zote, hana makandokando.
kuwa mashambani nanjilinji sio kosa wala dhambi aiseeHuwezi kujua kwa kuwa umeanza kufuatilia siasa awamu ya kikwete.
Either kwa kuwa ni mdogo sana kiumri ama wakati wa utawala wa mzee mwinyi ulikuwa kwenu huko mashambani nanjilinji ungejua wapi mambo ya siasa.
Kwa msaada tu tafuta uzi upo humu wenye kichwa cha habari "legacy ya rais ally hassan mwinyi" utajifunza mengi mno.
Huyo Mfuruki,ni aina ya watanzania wanaohitajika sana hapa bongo,
unaongelea infotech ya 2015 kurud nyuma au unaotaHuyo Mfuruki,ni aina ya watanzania wanaohitajika sana hapa bongo,
Huyu jamaa,akiwa kijana,baada ya chuo,alikuwa na kazi ujerumani kwenye kiwanda cha kutengeneza Magari,BMW,
Aliacha kazi na kurudi nyumbani,akapata kazi serikalini,baada ya muda,akaacha hiyo kazi,na kuamua kufungua kampuni yake,sasa ni zaidi ya miaka 20,kampuni yake ya Infotech,inaendelea kushamiri.
Vilaza wa awamu hii,wakimsikia,mishuzi inawatoka tu.
Hawa ndio wazalendo wa kweli!
MtamponzaKama tafsiri yako ya kujiamini na kutokuwa mwoga iko kwenye hiyo picha, basi wewe ni Mwoga sana, unaogopa hadi kivuli chako.
Unajisikia aje baada ya kifo chake?
Inna lillah waina lillah lajiunUnajisikia aje baada ya kifo chake?
Marehemu hasemwi vibaya.ALLY kafanya mazuri yake ameendaLevels baby:
Umeulizwa unajisikiaje baada ya kifo cha Ali Mufuruki, ukakimbilia " Kila nafsi itaonja kifo...".
Hilo sio jibu linalojitosheleza.
Mtamponza
Tuachane nayo mkuu[emoji15][emoji848][emoji22]
Kusudi la ile picha tunalijua na litamcost....NIMEMALIZA
achaneni nayo hayo sikumaanisha hivyoSawa bwana Iziraeli
DuuuhAmeshasafiri sasa mnajua sabb mzimwage hapa
Duuh nakuogopa laaaMuda utaongea