Kuna MTU anaitwa Mohamedi Saidi, mwandishi mbishi awamu hii hasikiki, sijui mini kimemsibu?? Anasemaga waislamu ndo walileta Uhuru kutoka kwa mkoloni mzungu.Haiwezekni kwakuwa CCM ndiyo imeanzisha BAKWATA , na shehe mkuu analindwa na TISS,na anakaa nyumba ya serikali.
Mtandao ni mpana sana, watabaki tu wakibwabwaja, ila nawaonea huruma maana hawajitambui kabisa.
Just imagine maKAFIR akina makonda ndio wanachangia msikiti, mtume hajakubali hiyo kitu,
Haya sasa nawatuletee tena Uhuru wa pili kutoka kwa mkoloni mweusi CcM