Same here…
Ku-upload naambiwa request timeout!!!
Nifanyeje?
hakuna cha kufanya tatizo lipo upande wao server zao, hivyo ni kusubiri kukuche maybe watarekebisa, ila kusema kamba mtandao unazumbua upande wetu sisi client si kweli, kwa maana kwa huu mtandao wangu speed yake inatosha kabisa kufanya iyo kazi ata kama itachukua lisaa na kama kuna mtu ataniambia hii speed haitoshi basi itoshe kusema kwamba watu wengi hasa vijini watashindwa kuappy kabisa.
internet speed test

Testing download = 31.3 Mbps

Testing upload= 15.9 Mbps

Latency: 209 ms
Server: Nairobi
Your Internet connection is fast.
..............................................

An error occurred during a connection to ajira.tpf.go.tz.
  • The page you are trying to view cannot be shown because the authenticity of the received data could not be verified.
  • Please contact the website owners to inform them of this problem.
Ushauri wa bure kama umekesha kuingakia hii kazi leo bora ulale tu upumzishe kichwa chako hakuna utakacho kifanya, kesho nayo siku
 
Hivi unaanzaje kuwa polisi
😂😂 Me mwenyewe nashangaa 🙆🏻‍♂️

Afu Izi KAZI za Connection kama huna Connection bora usipoteze muda B'se wenzenu teyari wanamajina yao hi kuweka mfumo wa kutuma maombi ni geresha t😂

Kama huna Connection basi uwe na MUNGU wa Kweli na wa pekee Kama ni mpango wake kupata nafasi lazima utapata t 😁

Ila kama huna MUNGU, na Connection huna jitasmini Sana kabda ya kutuma hayo maombi
 
Jamani mie naomba kupata ufafanuzi juu ya hizi ajira za polisi, unaajiriwa direct kwenye sector kulingana na fani yako? Au unaajiriwa kwenye vituo vya kazi vya polisi kawaida?
 
Back
Top Bottom