HIV inanitesa

duuu pole sana dada ILA HIYO USER NAME YAKO SIJAIPENDA BWANA!
 
duh,kweli umetoka!jamani na mimi ninaoooooooo
 
usifikie hatua hiyo, usianzishe hii mada ikawa sababu ya kukutenga, wewe ni kama mimi na wengine, mimi sijui kama nina HIV, naogopa kupima, naogopa kupima si kwa sababu yyt ile ila ni kwa sababu kwa hizo unazozisema. Tuanze jambo hili

1. Kuna magonjwa mabaya heri ya HIV wengine wapo na hali mbaya kwa kisukari, pressure nk
2 Mbona wew na mimi tunafanyakazi, tuaruka na kucheza,

kikubwa ni kumlinda kila aliembele yako.

usianzishe kikundi chenu, anza kusema kikundi cha wana jf. Jihakikishie unaacha kitu chenye thamani

kila hatua moja mbele, na sio kukutana kimwili na HIV- usimwambie una HIV+ isipokuwa kataa tu, kataa sana

bado unaweza kuwa na mwenza wako. Hiyo ndio hoja sahihi hapa kwa sasa, kwa kuwa umesema uliacha kufunga ndoa kwa sababu hiyo, atafunguka ambae angependa uwe nae, vinginevyo basi, unauhuru wa kuona huhitaji kuzaa na

kwa kuwa uliachana na uliempenda bado unaweza kuishi kwa raha kama mimi na mtu yeyote yule.

Jenga imani na maisha ya wengine,
 
Usikate tamaa dadangu, stick to those who value you much, ignore wanaokunyanyapaa, afterall kwa nn unateseka na wanyanyapaaji na unaacha kufurahia na wanaokuwa nawe, mi nipo pamoja nawe
 
Lahaula! Jamani Snowhite,mjini hakuna wazee, wazee wapo hukooo sikonge,chole samvula au samvula chole, tandahimba na kwingineko. Huku mjini....mhh..ukiniita ivo lazima unitake radhi atiii. Kicheko!

ah mi naukemea uzee kwa nguvu zote!kabinti kangu ka kwanza kana miaka 14 tu,sa na mi nijiite mzee na babangu ajiite nani!akha mwenzangu hapa ujana kwa kwenda mbele nawakimbiza mtindo mmoja ndani ya hivi hiv vitenge na viatu vya kutumbukiza hahahhahahahahhahah!chezeya mujini wewe!
 
 
Pole bi mdada..keep on moving.Mungu anakuona
 
Hebu weka picha yako walau kuanzia maeneo ya kiunoni kushuka chini nione hilo figa la kibantu mwanawane..pole sana lakini.
 
Pole dada

HIV haiuwi, ajali za magari ndo zinaua zaidi.

Unaweza kuishi maisha ya kawaida kama wengine. Unaweza kuolewa, tena kwa Harusi, ukazaa watoto wenye afya, ukawalea na ukawasomesha.

HIV sio kifo, HIV ni hali ya maisha tu kama vile umasikini ama ujinga

Na pia jipe moyo, tumia dawa na lishe za asili pia.

Weka malengo na utashinda.

Mie mwenyewe sijapima tangu mwaka juzi, hivo wengi wetu hatujapima na hatujui afya zetu.

Kwa hiyo watanzania tuache unyanyapaa, leo kwake kesho kwako ama kwa ndugu yako.
 
Pia unaweza kufanya mapenzi na mwanaume bila kumwambukiza.

Inatakiwa wanaume tuache kufikiri tunaweza kukomoa uke. Tufanye Ngono bila michubuko
 
Dah pole sana dis isue nakumbk when i waz smal kuna 2likua 2nadiscus that isue kuna kaka mmja akasema ningekuwa rais ningewauwa wote wenye HIV ili kusewepo na maambukiz c2 2kamwambia sio vizuri kabsa aftr years sister ake akapata, th girl waz descent man alifany kusud kumuambukiza nikakumbka je anaweza rudia ile idea alosema nt gud kunyanyapaa even 2 say bd thngs abt the afected people God z there 4 u dear dnt lose hope
 


sister usimind mbona tupo wengin tu wenye hilo tatizo, kikubwa usimwambukize mtu makusudi ila mwambie ukweli kuwa umeathirika mtumie kinga, mbona mimi huwa nawatel na wenyewe wanakubali, peace and love sisteri:high5:
 
nIMEMHESHIMU SANA MLETA MADA,

NOTHING BUT LOVE AND RESPECT

LABDA NIULIZE SWALI MOJA LA UJUMLA, UNAPOJUA UNA HIV NA UKAFANYA TENDO LA NDOA BILA KINGA HUWA UNAPATA MAWAZO GANI??

Nasema haya kwa sababu kuna mtu unakuta anajijua kabisa lakini analazimisha wasitumie kinga (hii ni kwa wote, males and females)....
 
Ukimwi usikuchanganye, kwanza unashika nafasi ya 4 kwa kuua, ila nakusihi usiambukize wengine dadaangu..
 

Haya King kong naona umebadili Verse ya Jay z kutoka King Hov mpaka King Kong
 
Pongezi kwa kujitambulisha maana kuna wenye ngoma na wanajificha mbaya zaidi wanaisambaza

hastahili pongezi maana bado hajatambulika, au wewe unamjua HIV+ ni nani?..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…