HIV inanitesa

Mkuu Mimi hua najiuliza kama CONDOMU Inazuia kwa nini mtu asiende kwa huyo mdada alieumbika bt ana Ukimwi si atatumia Condomu,?Mtu ikikataa basi haiamini CONDOMU....
 
Nadhani wengi hamjamuelewa. Hakuwa anatafuta sympathy.
Anatafuta watu wenye hio issue wajiunge kama mtandao fulani online wapeane mawazo. Sio pole na marketing ya madawa au nutrients.

Mimi sio hiv positive ila nahisika moja kwamoja.
Kama utapenda tuwasiliane.
I do mot feel sory or anything. Najua ni kati ya stages ambazo baadhi yetu tutapitia au tutapitia zingine mbaya zaidi. Mfano alcoholism diabetes ajali nk. Feeling depression is directly related to attitude of self.
Feeling positive with changed lifestyle is also directly related to attitude and infòrmation.
 
Ujasiri wako utakufanya upite mitihani inayo kukabili. Huu ni ugonjwa ambao mtu yeyote anaweza kuupata. Ni muhimu msimamo wa watu ubadilike na wawafahamu na kuwasapoti watu waliofikwa na janga hili. Pia muhi kwa network za watu waliopatwa sababu wanaweza kujisaidia na kujipa fikra zaidi. Nakushauri pata mwenzako alieathirika ambae unamuona anakufaaa na mna fahamiana na mfunge ndoa ili muishi maisha ya kawaida
 
duh! kawaida tu usiogope ni njia ya kujiweka karibu na na Mungu. Ila usisambaze kwa wengine makusudi
 
Wakati mwingine ukisoma vitu kama hivi unaona ni heri usifanye kabisa.

mmmh we umezeeka ndo maana unadhania hivyo wenzio hata akiambiwa anaemtongoza anao anajua ni fiksi za kunyimwa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…