Halafu ya zamani.Mbona huo wimbo mbaya sana?
[emoji4] majirani povu linawatokaSanaaaaaa [emoji4][emoji4][emoji4]
Hapana sio miezi mitatu tuu the earliest ilikuwa February 2016 kwahiyo piga mahesabu hapo halafu mimi kwa mara ya kwanza nikaisikia April, kisha leo nikaandika post yakeDah mkuu umeniacha hoi umenifanya nirudie nirudie kusoma tarehe ya kuandikwa hii thread maana hiyo nyimbo unayoisema mpya imetoka miezi mitatu iliyopita
[emoji13] [emoji13]Kwangu ni mpya
Wamebaki oooh wa zamani sijui nini.[emoji4] majirani povu linawatoka