Hit song: Unconditionally BAE

Hit song: Unconditionally BAE

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 380270View attachment 380271unconditionally acha kabisa hii ngoma
Hilo dance sasa....uwiiiiiiii
Umenikumbusha kipindi wimbo wa Mwana;Ali Kiba ulipotoka kuna mdau humu alidai kajifungia ndani wiki nzima na mkewe wanajifunza kucheza kama yeye (Ali)
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji6][emoji23]
 
Ngoja na mie niutafute maana ndio nausikia kwako ati..nilikua busy na tabia za mnyama simba (sio timu ya msimbazi) kuna waungwana wametiririka balaa hadi kuna mdada kafall in love na simba

..ila leo blaza wamekukamia [emoji102][emoji102][emoji81][emoji81]
 
Hahaha. ...naomba nikubaliane tu kuwa tuna tofauti ktk kukipenda kitu.

Wimbo gani huo mbaya hivyoooo. ....

Kubwa nililoona hapo ni kuwa na wachezaji wengi wa kwaito kama tunavyofanyaga harusini, kingine ni hayo masuluali kama mifuko ya kukamulia machicha baasi!

Hongereni mliokunwa [emoji12] [emoji13]
 
Wivu huu loh[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom