Yaani hawa vijana wa kitanzania wapo Kwenye show ya match maker wanaulizwa mnataka mwanaume wa aina gani yaani hawa watanzania wanataka mwanamke mweupe mwenye ****** na mguu Mzuri na anayejua kupika,wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli