History channel inaonyesha jinsi wanaume wa kiafrika walivyo behind kimapenzi

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Yaani hawa vijana wa kitanzania wapo Kwenye show ya match maker wanaulizwa mnataka mwanaume wa aina gani yaani hawa watanzania wanataka mwanamke mweupe mwenye ****** na mguu Mzuri na anayejua kupika,wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli
 
ah hayo ya wazungu...sie twapenda mbunye na mguu wa bia...chemistry ndio nini kwani tupo skonga hapa....wewe spread legs tupate raha
 
mzabzab umenichekesha sana kwa jibu lako. Loh! kweli JF kuna watu. Nimecheka mpaka machozi.
 
Yaani hawa vijana wa kitanzania wapo Kwenye show ya match maker wanaulizwa mnataka mwanaume wa aina gani yaani hawa watanzania wanataka mwanamke mweupe mwenye ****** na mguu Mzuri na anayejua kupika,wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli

African Americans au Africans... Maana ni ethnics mbili tofauti hata mkikataa...
 
Wewe unataka mapenzi ya "copy paste"? Kwa sababu bluebloods wanaoana wenyewe kwa wenyewe ndo kila mtu awe na prejudice hizo kama tuko kwenye caste system ya India?

Hujasikia Waswahili walisema "Kipenda roho hula nyama mbichi"?

Kwa nini chemistry ya mtu mmoja ndo iwe ya mwingine?

Condescending carbon based biped!
 
Attraction level of education ndo nini?

Afu kumbe rutherford uliangalia background ya familia yake? Ulijua mamake ni mchizi, manake inarithiwa ile

pole kwa kujisikia aibu. Wenzio tuko wabongo basi tukiona vituko tunaitana tunachekaa hadi machozi full kujienjoy. Waambie hawakuangalia family background yako na hao ndo nduguzo, imekula kwao
wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli
 
Yaani hawa vijana wa kitanzania wapo Kwenye show ya match maker wanaulizwa mnataka mwanaume wa aina gani yaani hawa watanzania wanataka mwanamke mweupe mwenye ****** na mguu Mzuri na anayejua kupika,wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli

Rudi kajipange upya sio unakuja hapa umekurupuka huko umeacha kunyonyesha
na kuja hapa kuandika shudu zako.
 
Attraction level of education is the branch od science that deals with matter ina relation to energy.

:) chezeiya Konnie

waliangalia background wakakuta analikuwa Msasani Peninsular, na mama fisadi

Attraction level of education ndo nini?

Afu kumbe rutherford uliangalia background ya familia yake? Ulijua mamake ni mchizi, manake inarithiwa ile

pole kwa kujisikia aibu. Wenzio tuko wabongo basi tukiona vituko tunaitana tunachekaa hadi machozi full kujienjoy. Waambie hawakuangalia family background yako na hao ndo nduguzo, imekula kwao
 
Natalia, what do you have against African men? Who hurt you, baby? Just wondering since most of your posts seem to be praise your white husband, and shoot down black men. Kulikoni?

Yaani hawa vijana wa kitanzania wapo Kwenye show ya match maker wanaulizwa mnataka mwanaume wa aina gani yaani hawa watanzania wanataka mwanamke mweupe mwenye ****** na mguu Mzuri na anayejua kupika,wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli
 
Yaani hawa vijana wa kitanzania wapo Kwenye show ya match maker wanaulizwa mnataka mwanaume wa aina gani yaani hawa watanzania wanataka mwanamke mweupe mwenye ****** na mguu Mzuri na anayejua kupika,wanaulizwa what about chemistry and attraction level of education ,family background .yaani wanachekesha kweli but nilijisikia aibu maana it was embarrassing kwa kweli

elimu kitu gani? mbona sisi wengine familia zetu hazijaenda shule lakini tumefika huku,
hivi ukifika dukani unaangalia kiatu hiki kimetoka india, japan,china kwanza au huwa unachagua kwanza?
mimi nafikiri unachagua unachopenda, wanawake wengine wa kiafrika ni wajinga(siyo tusi), wanawatukuza wazungu na kuponda walikotoka, sasa me nawashangaa hawamwoni OBAMA? mimi nawashauri chagua ukipendacho vinginevyo itakula kwako.
 
Back
Top Bottom