alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 271
Hata angola wanatumia melody hiyo
Thanks...kwa niaba ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamWekaPicha]#TeamWekaPicha [/URL] #....mimi msemaji wao nasema Asante Sanaaaa
Vipi kuhusu Spain, nasikia nayo haina wimbo wa taifa!!Nikupeni na Nyongeza juu ya nyimbo za taifa za nchi mbalimbali
1. Wimbo wa Taifa mfupi kuliko zote duniani ni WIMBO WA UGANDA has only 8 bars of music,
2.Wimbo wa Taifa mrefu kuliko zote duniani ni ule wa Greece wenye beti 158, ukifuatia wa Uruguay wenye 105 bars of music
3.Wimbo wa taifa uliodumu kwa muda mfupi duniani ni ule wa Somaliland ambao umedumu kwa siku 5 tu
4.Wimbo wa Taifa wa kale kabisa ni wa Japan ambao ulitungwa karne ya 9
5. Nchi isiyo na wimbo wa taifa ni CYPRUS na badala yake inatumia wimbo wa CREECE
Hata sikua najua.
Sambuka, Hebu fungua viunganishi South Africa National Anthem English lyrics - YouTube na zambia national anthem.wmv - YouTube
mwenye nayo atuwekee hapa hiyo melody ya SA na huo wa zambia tuziskie
nimejifunza jambo hapa,asanteni sana wadau,kweli JF ni kisima cha elimu
Nikupeni na Nyongeza juu ya nyimbo za taifa za nchi mbalimbali
1. Wimbo wa Taifa mfupi kuliko zote duniani ni WIMBO WA UGANDA has only 8 bars of music,
2.Wimbo wa Taifa mrefu kuliko zote duniani ni ule wa Greece wenye beti 158, ukifuatia wa Uruguay wenye 105 bars of music
3.Wimbo wa taifa uliodumu kwa muda mfupi duniani ni ule wa Somaliland ambao umedumu kwa siku 5 tu
4.Wimbo wa Taifa wa kale kabisa ni wa Japan ambao ulitungwa karne ya 9
5. Nchi isiyo na wimbo wa taifa ni CYPRUS na badala yake inatumia wimbo wa CREECE
Kweli kabisa maana kitu kikiwa ni cha kiasa hata kama ni cha maslahi ya Taifa kuna wadau wanaki-link na vyama viwili vyenye upinzani wa karibu kwa sasa alafu kikiwa kwenye hali flani ya kimungumungu wanaanza kuangalia tena kwa style ya mdau uliemjibu commenthahaha,nchi yetu inaelekea kubaya sana...