Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Ila mkitembea na kuja ulaya mtajua. Pensi sio sehemu ya nguo inayoonyesha ujana au uzee. Ni Hali ya hewa na comfortability. Kuna nguo za vijana ndio ambazo hata wazee wa ulaya hawavai ila tofauti ni ndogo sana. Suruali pia huvaliwa sana na wanawake. Na huku wapp watu 90,80,70, 60 wanapiga tu na wala sio issue. Waafrika tunapenda kukataa umri sijui kwanini. Kila mtu anaanza utoto na atazeeka. La msingi heshima. Kila mtu atavuna anachofanya.
Ukinunulia ticket sitakataa kuja huko Ulaya
 
Wachana na hawa wanaochafua mabaharis,,

*KWA VIJANA WANAOPENDA KUJINASIBISHA NA UBAHARIA!* Baharia in short ni mfanyakazi ktk meli hasa zile za kusafirisha shehena za kimataifa. Miaka ya 60s hadi mwanzoni mwa miaka ya 90s kulikuwako na wimbi kubwa la VIJANA kuzamia meli ili kupata urahisi wa kwenda Ulaya na Amerika. Kwa kipindi hicho nchi nyingi za kiafrika zilikuwa zinapokea meli ktk bandari zao. Ikiwemo bandari ya Dar. Na kwa hapa kwetu bongo meli maarufu ilikuwa zinatoka Italy na Ugiriki.( Hawa walikuwa na sifa kubwa ya kuwaingilia wanaume, yaana kuwa..ra!). Na wazamiaji wengi ( stowaway), wakigundulika wamedandia meli Basi hukumu kwa meli za kigiriki au kitaliano huwa Ni moja Kati ya HIZI mbili 1. Kutoswa baharini au 2. Kufi.. a!! Sasa wengi waliotoswa walikufa maji, wachache Sana walipona. Na wale wanaobaki ktk meli mnaelewa ni nini walichagua Kati ya hayo hapo juu [emoji115]. Na hao ndio baadae wakaendelea kuwa wafanyakazi ktk hizo meli. Na kimsingi hasa kazi waliyofanya Ni hiyo. Na walipata chenji za kusumbua Sana. Na ushahidi wa Mambo haya Ni uwepo wa "MABWABWA" mengi ktk mikoa ya pembezoni mwa bahari ya Hindi, pwani, Dar, zenji na Tanga. HAO ndio Mabaharia ambao VIJANA wengi wakakamavu hupenda kujinasibisha nao. NB;- MABAHARIA WA KISASA HAWAPITI NJIA HIYO, HUWA NI WASOMI WA VYUO VYA BANDARI (DIMT) NA USAFIRISHAJI (NIT). NA HAWA HUWA HAWAPENDI KUJIITA MABAHARIA. WAO HUJIITA MAJINA KAMA "SEAMAN",CAPTAIN, DOKMAN, DIVER, T. O, Na nk. NAWASILISHA. *SASA WEWE ENDELEA KUJIITA BAHARIA, ALAFU SISI TUNAOIJUA HISTORIA, HUWA TUNAPATA TAABU SANA KUKUELEWA... POVU RUKSA.*
jamani nitoeni ushamba isee haka kamsemo naona kameshika trend sana hizi week kadhaa...

Hivi huyu baharia ndo MTU waiaina gani?? Najua kuna wengine kama mm wanatamani kumjua huyu baharia!!
 
Jamani wanaume mnaojielewa tafuteni hela watoto wenu wa kiume wasije kujiita mabaharia!!
255786670757_status_b6097fc6fd2d4563a19631ae0b253a70.jpeg
 
Mjuba tulia mabaharia waendeleze ubaharia.
Kikawaida mimi huwa sibebwi na mawimbi ya vimisemo vya ajabu ajabu vya msimu...huwezi nikuta natumia hii misemo kwenye mdomo wangu..
Sijui....KAMA LOTE....WATAPATA TABU SANA...etc
Na sasa naona kila mahalî BAHARIA...
 
naona watu wasiojulikana wanafutika taratibuuu mabaharia wanashika kasi
 
Mabaharia ni viplo asee Ariff pande izo?Mko OG?Ni full?Aina Kwikwide?bac aikwereki wala ainomeki Babaako..Mabaharia Chochoro zote tulipo Tusifeli parefu.
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    11.6 KB · Views: 31
  • ah.jpg
    ah.jpg
    27.4 KB · Views: 28
Mabaharia mpatapo nafasi,pigeni mashine hakikisha mtu anasahau kufuli mjengoni.......hii inajenga heshima kubwa.Ukiona mtu anaomba usawa wa majukumu au anabishana na mpenzi wake...jua hajapigwa mashine inavyotakiwa.Mashine hupunguza mtu kuwa na kiherehere.Kazi kwenu sasa.
 
Back
Top Bottom