Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Marufuku mwanaume kunyonywa dushe, dalili za up***a. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Duuuh...! Hiki kilikuwaje na Khantwe mlimualika kama nani? Hapo mmevujisha mbinu za kibaharia. Kikao kijacho naleta vurugu,nitahakikisha nimechomoa battery
 
Kama upo Mjini na wenzako hawakuiti mojawapo kati ya Majina haya aisee rudi Kijijini ukaanze Upya:

Kiongozi
Kamanda
Komred
Mkuu
Boss
Tajiri
Mwamba
Taita
Mtaalam
Mpiganaji
Mpambanaji
Muwezeshaji
Mshua
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]

Nadhani sauti iko vizuri[emoji344]
 
Baharia hawezi kutumia iPhone,
Miguu ya kuku(miswaki), vichwa na dagaa wa kukaanga ndo mboga yake
Kweny kisingeli hakosi
Anyway njoo Tandale utawakuta
 
Duuuh...! Hiki kilikuwaje na Khantwe mlimualika kama nani? Hapo mmevujisha mbinu za kibaharia. Kikao kijacho naleta vurugu,nitahakikisha nimechomoa battery
Nilikuwa nachungulia dirishani
 
baharia ni msela anaefanya jambo gumu kua jepesi, anafahamu na kuzitumia bro codes zote, suala la mwanamke halimuumizi kichwa anawachukulia poa tu kwenye mahusiano,.
 
iki kitambi huwa kinanigarimu sana maana mm ni kijana mdogo ila vyeo vya mdomoni nnavyopewa nahisi ata Rais hapewi, next month ntaanza mazoezi.ayo majina apo juu nusu yake nimeitwa sana kisa tu kitambi mammaaeee.
 
Tunashkuru Kwa taarifa ila kumbuka tunatakiwa tuwape 7800 kama tulivyoidhinisha kweny kikao

Na cha msingi ni muhimu tuwe na masweta yalioshonewa Neno Tanzania kweny kifua geto ya kuwapa Kama zawadi hio ni ishara ya uzalendo
,madem wafupi tu ndo watapewa 7800, warefu tutawapa 9200
 
demu wangu ananiitwa "pumulia kwa ndani" hata celewi ndo jina gani hilo
 
Hongera Sana mkuu
We ndo baharia sio kila k ni za kuzitafuna nyengine ni za kuzifunza kama hivyo

Nikiwa kama mwenyekiti kivuli nipende kukupongeza umetuwakilisha vyema wito wangu kama mwanachama nasisitize usikubali kumtafuna usithubute muache aibu imuumbue
Pamoja sana
 
Back
Top Bottom