mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Mimi Ni mnadhimu wa kambi kongwe ya antisocial iliyoasisiwa kabla ya hii kambi pepo ya mabahariaKumbe wenye akili bado mpo humu.
Naona umeweka "wenu" na sio "wetu"
Mimi Ni mnadhimu wa kambi kongwe ya antisocial iliyoasisiwa kabla ya hii kambi pepo ya mabahariaKumbe wenye akili bado mpo humu.
Naona umeweka "wenu" na sio "wetu"
KilainishiYa kazi gani mkuu
Wanaume tutafute hela wanetu wasije kujiita mabaharia.
we jamaa acha uchocheziMnafeli wapi ule mkakati wenu wa 7800
Baharia siyo wezi kwa mademu wao, hao ni maharamia kama wale wa Somalia.
Sakayo hapana..... Gharama lazima ziwe proportional na mwanamke alivyo...Baharia hachagui mwanamke..
Mnakwama wapi eti
Baharia hachagui mkuu!!!Sakayo hapana..... Gharama lazima ziwe proportional na mwanamke alivyo...
Baharia hachagui mwanamke..
Mnakwama wapi eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha ujinga huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
daaa huyu kweli bahariaNafikiri kume kuwa na harakati nyingi sana za pimbi ila hawa ndio mabaharia wa ukwel kuokoana Ndio huku. [emoji1] [emoji116]View attachment 1201560
Baharia hachagui mkuu!!!