Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Oyaa mabahari kwema?
Kuna afisa manunuzi kazini anaonyesha dalili za kunipenda. Ni mkubwa kidogo kwangu au tunawiana kwa umri.
Akija ofisini kwetu akinikuta nipo na masela ananichangamkia sana na kuniachia pesa then anasepa.
Akija akinikuta nipo na mdada hanichangamkii na hajawahi kunipa pesa pindi anaponikuta nimekaa na mdada wadada.
Kuna jamaa nasikia kamjengea nyumba huyu afisa kabla hajawa na vichenji. Sasa ni zilipendwa ila wanakumbushia enzi inaonyesha mara moja moja.
Vipi nimfungukie au nimpotezee?
Acha ufala unatakiwa ukija humu teyar manzi Kesha taka kuolewa teyar yaaan ushatibua vinyweleo mpaka maji kaita mmaaaa
 
Back
Top Bottom