Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,838
Baharia haitaji mafuta mate au jasho linatosha kulainisha
Kwanini aFande
Kwanini aFande
Baharia haitaji mafuta mate au jasho linatosha kulainisha
Mhenga wangu mimiTatizo ni fast learner, unaelewa mapema sana, ndio maana unashangaa watu hawajaelewa nini,
Tafuta hela ili wanao wasije kujiita mabahariaNimepata taarifa zisizo rasimi kwamba Kuna boti imezama maeneo ya usawa wa Kimbiji Dsm vipi hiyo taarifa ni kweli? Au nyie ni mabaria wa kuchakata papuchi tu?
Hiyo ndo maneno akishtuka tu imoo
Nenda moshono niko kipande hiyo nitakuelewesha ukinikuta[emoji23][emoji23][emoji23] back to my point. Sijaona Uzi wa mtoa mada ndio maana sielewi hata nachangia nini.
capitalpool umeniacha njia panda ya kijenge sielewi niende moshono, njiro, Philips au nirudi town
Jamani nilikumissmsemo tu umepanda chati wiki hizi
mwanaume mkali wa warembo..player....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kanisani ndo kuna ufunuo was mambo haya...usifanye watu wakashinda makanisani ili wafunuliwe umbea.
Haina noma 😂Sema usikaze sana mwanangu..!!
Usilitaje jina la Bwana Mungu wako bureHawa jamaa wanaojiita mabaharia wamekuwa na Mbinu nyingi sana kufanikisha mambo yao kwa namna rahisi. Hii nimeikuta sehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1201500
Sasa kafungue hiyo inboxScreen shot haiko na tatizo Dada.
Nilichoona.
Alert 35
Inbox 1
Ughwese twa mashikuTafuta Hela Ili Mwanao Asije kujiita Baharia