Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Zamani kulikua na vijalida vya sani na bongo. Wanaandika machombezo. Ingekua enzi zile ungekua unakula hela ya kuandika vichombezo.

Hongera mwandiko mzuri unasomeka.
 
Taratibu Mama, Nondo hasusii moto ujue
 
Nina kadi ya jumuiya ya mabaharia, huwa nazama na kutoka kila chimbo linalovutia mboni zangu.

Lakini katika harakati zangu hizo, nimekuwa nakutana na changa au mbivu, zenye usumbufu na za achia iingie.

Miaka miwili nyuma, nlikutana na kibinti cha kiafrika haswaa, hajui makeup wala madoido ya kichina.

Rangi adhimu kupatikana kizazi cha sasa, tabasamu murua likafanikiwa kunidondosha udenda kama teja wa kasuku manga.
Baharia nikazama ndichi acheche, kupata mwali wa gariba.

Mtoto hakuwa mbishi, alikubali kiulaini tu.

Mazoea yake kwangu, siku kadhaa nikamwita machinjioni, akafika bila kukosea muda, amejipara kama kasuku wa ikulu ndogo, nikaingiza kibra, lakini alinizuia kutumia upanga wangu kwake.

Niligafirika, mana siku nzima nilikuwa napiga tarumbeta za mawazo juu yake, sasa atanizuia vipi kuchomeka waya?.

Akanipa udhuru hajajiandaa, anaumwa ugonjwa wa wanawake, lakini pia alinambia ni mapema mno kumtongoa viwalo vya kariakoo.

Baharia nikaona isiwe kesi, hakuwa amekula pesa yangu, hata nauli alijitegemea, nikamwacha aende, sikutaka kula kibudu baharia mzoefu mimi,nikiamini ni windo langu haraka ya nini?

Maisha yalizidi kusonga mbele kama treni la mwakyembe, binti niligundua anamsongo mkubwa wa mawazo, nilipomdadisi alikuja kwangu jioni.

Muda huo alinipa historia ya maisha yake, ilikuwa ya kuogofya sana.
Anasema aliolewa akiwa na miaka 16, ni baada ya kupata mimba akiwa shule, alishawishika kuolewa na aliempa mimba,yule bwana alikuw ofisa wa jeshi na alitumia pesa yake kumaliza sokomoko la kumpa ujauzito mwanafunzi wa JK.

Alianza maisha ya ndoa akiwa na mtoto mwenzie wa kumzaa, lakini alianza kupata joto la jiwe, mume alikuwa na wivu nyegere akasome.

Mwisho wao haukuwa mzuri, alinusurika kuuwawa, alinivulia nguo yake na kunionesha makovu kadhaa tumboni na kifuani, yalikuwa makovu ya kisu, kisa cha yote ni simu ya kukosewa namba.

Alirudi kwao na kuamua kuendelea na maisha yake.

Wakati nakutana nae alikuwa anatoka shule, nilipomuuliza ada analipa nani, alinambia ni Mama yake anamsaidia kulipia chuo.

Simulizi yake ikaniondoa kwenye ubaharia, na nilianza kumweka sawa kiakili, atuzoee wanaume wapya, asitulaani wala kutuchukia.

Nilifanikiwa kiasi chake, nikamsaidia matumizi kidogo kidogo, kisha nikarudi tena kuomba mchezo wa kikubwa.

Akapiga chini kibabe, hataki nimharakishe, nami nikapiga hesabu zangu ni miezi kadhaa imepita, nikaona huyu anacheza na ubongo wangu, nitamfanya achukie wanaume maisha yake yote mavi yake.

Nikakaa kimya, huku nikagundua anasponsa anamlipia ada, ila matumizi madogo ananistua.

Nikaona isiwe tabu, nikawa nampa,huku nikimkumbushia kunitunku uchi wake, akikataa nakausha. Nikapunguza mawasiliano nae, lakini akiwa na shida anacheki nami sisiti kumpa japo si kile alichoomba.

Wazo nae nikatoa, ukapita mwaka bila kuonana, ukafuata wa pili bila kuonana, ila akitaka kitu ananicheki, akitaka ushauri juu ya jambo fulani ananicheki.

Juzi alinitafuta na kuniomba nionane nae kama nipo maeneo ya geto kwangu, mana anajua huwa nasafir sana.

Nikamwambia nipo, akajikoki na kuileta niichape fimbo isioumiza.

Alitaka kunishangaza(Ile ya kizungu).

Sikuwa na habar ya mipango yake, alifika na kujitawala ndani,alipika akaoga, kisha alianza kuvua nguo mbele yangu, nikaona isiwe tabu, nikamuuliza
"Kuna lolote jipya?"

Akanijibu ya kuwa anatka kunipa kile alichoninyima miaka miwili.

Nikamuuliza "Ni bikra unanitunuku?"

Akanijibu hapana.

Nikamuuliza "Leo na huko nyuma nimebadilika?"

Akanijibu "Hakujua mimi ni mtu wa aina gani, alinichukulia lalapoo dakika mbili mbele,alitaka muda zaidi, hakutaka kuingia mkenge tena"

Nikamuuliza sponsa wake

Akanijibu waliachana kwa miaezi kadhaa, baada ya mkewe kumsumbua kila mara.

Nikamuuliza "Unahisi sina demu mwingine muda wote huo? Na kwangu anapunguza machungu ya sponsa au anataka nini?"

Hakunijibu..

Nikamuuliza "Wewe si ni singo maza?"

Akaitikia....yes.

Nikamwambia licha ya kuvua nguo zake, na udogo wake kiumri ukiachana na kuzaa kwake, uzuri wake, lakini hatofautiani na Amina, Asha, Neema.....

Nilimwambia avae aondoke, atafute mtu sahihi wa kuwa nae sio mimi tena, atafute sponsa mwingine, mabaharia hatawezana nao.

Aende zake tu, sihitaji hata kuchomeka kidole.

Kusaidia nilimsaidia kama nisaidiavyo wengine...

Sikutaka nipunguziwe machungu yake ya kutoswa na sponsa wake,siku akirudiana nae anakukimbia kwa nyodo....

Aende tu,...

Ngoja niendelee kuvua wengine wabichi kabisa bado wanahema, hawana mikwara mbuzi ya kutest mitambo.

Kajiliza weee, kavaa nguo kaondoka zake....

Saivi anapiga simu hovyo, eti kinachomuuma nimemchungulia bila kumuonja....
Anahisi ni dharau ya sayar ya viumbe wa baridi....

Sinema bado inaendelea,sijui itaishaje........
Baharia awalagi icho
 
Mkuu nimekupa Umakamu Baharia katika jumuiya yetu Tafadhali fika ofisini ili upangiwe majukumu yako ya kazi.Ili kuliendeleza gurudumu mbele

tapatalk_1566954853146.jpeg
 
Hongera Sana mkuu
We ndo baharia sio kila k ni za kuzitafuna nyengine ni za kuzifunza kama hivyo

Nikiwa kama mwenyekiti kivuli nipende kukupongeza umetuwakilisha vyema wito wangu kama mwanachama nasisitize usikubali kumtafuna usithubute muache aibu imuumbue
 
Unapokua upo chumbani na mchuchu wako mshafanya yenu kisha wakati unataka kumsindikiza unatoa wallet na kumuhesabia pocket money yake palepale ni kosa kubwa sana.

Ni kosa kwasabau akiona kwenye wallet umehesabu na zingine zikabaki lazima atataka umuongeze kwasababu kashajirizisha kwamba bado zipo.

Epuka sana kutoa wallet mbele yake au la hakikisha mpaka mnakutana room kwenye wallet uwe umebakisha poket money yake tu ili hata ukibakisha elfu na ukamwambia na mimi hii itanilinda anakua anakuelewa kwa haraka sana.

Kila baharia mwenye masikio na asikie hili
 
Tunashkuru Kwa taarifa ila kumbuka tunatakiwa tuwape 7800 kama tulivyoidhinisha kweny kikao

Na cha msingi ni muhimu tuwe na masweta yalioshonewa Neno Tanzania kweny kifua geto ya kuwapa Kama zawadi hio ni ishara ya uzalendo
Alisikika mlevi mmoja akiongea
 
Back
Top Bottom