Historia ya neno Msela na Baharia

Historia ya neno Msela na Baharia

Mabaharia tunaweka record sawa tu kuwa bei ya kutengeneza kucha Mwenge ni 3000 na kusuka sangita ni 20000 yebo yebo 15000 sasa ukiombwa zaidi ya hiyo jikaze tuu
 
Mabaharia wapo jukwaa la wakubwa.... Sio kila jukwaa mchafue
 
Mdada ukiona unapigiwa simu na wanaume usiowajua. Jua baharia kadhagawa namba yako kwa baharia wenzake. Baharia hana cha kupoteza..
 
Ndio kwa mujibu wa katiba yao wenyewe ya mwaka 2019 iliyotoka mda si mrefu wanasema
1.hali ugali na mboga bali na kaugali kadogo.
2.hashiriki Mr Tanzania
3.hajui kabisa kama ndege imekamatwa.
4.hatumi ya kutolea hata kwa ngumi
5.ana smartphone ila hajui ni ya aina gani sema anamjua aliyemuuzia.
Ana smartphonr ila hajui ni ya aina gani hahhaah
 














⌚📱💻



404 page not found.jpeg
 
Back
Top Bottom