MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,512
- 53,477
Asante na naendelea kujifunza kitu, haswa kwamba Kenya tuna umiliki mkubwa wa Kiswahili, lakini hebu nipe elimu mbona ikawa kimekopa sana maneno ya msingi kutoka lugha zingine, kwa mfano tu neno "damu", ina maana Waswahili hawakua na neno mbadala.