Jumbe Kondo
Senior Member
- Oct 18, 2011
- 109
- 68
- Thread starter
- #21
Kwa nini Wamijikenda wawe juu?
Sababu pwani ni yetu
Kwa nini Wamijikenda wawe juu?
Hivi mtaamini nikiwaeleza kuwa pwani ya kenya ilikuwa chini ya himaya ya ufalme wa zanzibar hadi baada ya kikao cha lancaster house kukubalika kenya kupewa uhuru ndipo kinamzee kenyatta walipoiomba serikali ya uingereza iwapatie eneo hilo na serikali ya uingereza ikanunua eneo hilo toka kwa mfalme wa zanzibar na tokea mwaka 1962 mwambao wa kenya ukawa chini ya serikali ya kenyami ni mmoja kati ya watu wanaoamini PWANI si KENYA
Kwamaana nyingine mombasa ni tz, kwaherinHivi mtaamini nikiwaeleza kuwa pwani ya kenya ilikuwa chini ya himaya ya ufalme wa zanzibar hadi baada ya kikao cha lancaster house kukubalika kenya kupewa uhuru ndipo kinamzee kenyatta walipoiomba serikali ya uingereza iwapatie eneo hilo na serikali ya uingereza ikanunua eneo hilo toka kwa mfalme wa zanzibar na tokea mwaka 1962 mwambao wa kenya ukawa chini ya serikali ya kenya
Kwamaana nyingine mombasa ni tz, kwaherin
Mombasa was ZanzibarKwamaana nyingine mombasa ni tz, kwaherin
Ahsante sana ingawa mimi ni mpenzi wa historia ya mwambao wa afrika mashariki lakini umenielimisha kitu ambacho nilikua sikifahamu -AhsanteAmbayo maana yake kwa Kiingereza ni:
Kongowea (Mombasa) is like a roaring surf; Mvita is a city of old
It is always seething (with trouble), with so much noise and endless cries
It is a place full of shields, lances, bows and arrows, and long
swords
The dead are dead and gone! There is no feigning death (i.e. one
dies only once).
Gongwa (Mombasa) is a city full of malice (towards its enemy), so
bear no spite against it!
It thrusts down powerful ones and renders them as helpless as the sick
It shatters them and fills their hearts with sorrow
The dead...
Gongwa is the land of Mwana Mkisi*; Mvita, what an awesome
place it is!
It has warlike men who spoil for a fight
Men who are intransigent and obdurate, possessed of everlasting
fury
The dead....
If you (Omanis) have come seeking a war with our mighty lions
Then bear their clamorous wrath, and do not flee!
These lions have terrible claws that are already stretched out
The dead....
It is still we Mombasans, indeed it is. Do not think we are dead
It is us you are waging war against. We are fighting you so that
you may not rule over us
It is we demons who destroy yonder lands
The dead....
When Kongowea roars, it groans like someone suffering from a
terrible malady
Even those who are far away hear its rumblings
The warriors quietly take their positions and make their strategic
manoeuvres
The dead....
Mombasa was Zanzibar
The whole region of Kilimanjaro was in Kenya, kama vipi mlianzishe!!!!