Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
🤣🤣🤣 kwakweli kazi unayo...poleHuyu wangu angekutengua kiuno I swear...ujispoil??? Aisee unaanzia wapi.
Nachomuwezaga ni kukaa kimya na kuendelea na mambo mengine ya kawaida kama sijaumia vile..akinuna na mie kimyaaaa, simuanzi ataanza yeye.
Dah..umetaja st anna...hebu Mungu aniponeshe😀Afu umekomaa na huu Uzi?una maslahi gani nao? wikendi hii wapeleke watoto beach wakafurahi na wao,mie Niko na wanangu na dady yao mcity wanabembea hapa fresh,wakati tumetulia samaki samaki na babe tukila prawns pilipili na saint Ana yetu pembeni.
Aliyesoma Nani?labda wewe,mie hata mlango wa darasa siujui,Ila njia ya vilingeni nomeikariri na kuimasta🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]........ Kusoma kote huko nakuwa wakwanza kwenye interview...na kukusanya mapato makubwa halmashauri
Bado Huna Akili ya kuangalia lipi linamanufaaa kwako nalipi halina...
Bora yangu Mimi Elimu yangu inanisaidia kutumia smartphone tu
Utapona tu, karibu samaki samaki uonjepo japo kaglass kamoja.Dah..umetaja st anna...hebu Mungu aniponeshe😀
Keshaanza kujirekebisha maana anaona sijali, anapenda kununa basi na mie kimya simsemeshi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli kazi unayo...pole
Hahahahahaa....anajua kuuchuna...lol..maisha haya jaman...mie ukiniboa wknd sishindi hom...naondoka asbh na wanangu tunarudi usk...Keshaanza kujirekebisha maana anaona sijali, anapenda kununa basi na mie kimya simsemeshi.
Mi mtu nikimkosea nikamuomba msamaha mara mbili, mara tatu hasamehi loh namuacha...nakaa kimya simsemeshi tena. siku akiamua kuongea ataongea...hata wiki siongei kama atakavyo yeye.
Enjoy maaUtapona tu, karibu samaki samaki uonjepo japo kaglass kamoja.
Afu akianza kuchepuka unaanza kulia,mkikosana Kama wapenzi ni suala la kuzungumza na sio kununa na kususa.msingi wa mahusiano ni mazungumzo.Keshaanza kujirekebisha maana anaona sijali, anapenda kununa basi na mie kimya simsemeshi.
Mi mtu nikimkosea nikamuomba msamaha mara mbili, mara tatu hasamehi loh namuacha...nakaa kimya simsemeshi tena. siku akiamua kuongea ataongea...hata wiki siongei kama atakavyo yeye.
UTAMALIZA WAGANGA..... Halimfiki Jambo mja Bali Mola kapanga.... Hata waganga na waganguzi wote wakiungana.... Kama Mola hajapanga ufikwe na balaaaa..... Halitokufika Asilani ABADANI.Aliyesoma Nani?labda wewe,mie hata mlango wa darasa siujui,Ila njia ya vilingeni nomeikariri na kuimasta[emoji1787]
Mbona umekuja kasi hivo?au nawe bandiko limekugusa?,🤣🤣Halafu kuna wanaume wengine haturogeki ng'oooo utamaliza pesa zako bureeee.
Wewe jisifie na katavi yako hio, wengine tumevuka border hadi Congo huko ndani ndani.
Ukituma vitu vinakurudia mara mbili
Auze shamba la Nini....anauwezo wakuroga...Jamani Huyu mtu anatutania Sasa...Kama KWELI Ulozi wake anaojisifia Hapa.... Unafanya kazi...
Huyo mwanaume huyo ndo alitakiwa auze Hadi brazia za mkewe...kuhakikisha mtoto wa Huyu dada anasoma....
Ndo maana Mimi Nashangaaa......Mana kwanzia Uzi unaanza Ni kujifia uwezo wa waganga wake wa katavi. . Sijui yeye mfipa...
Mbona HATUONI HAYA MAAJABU ya hao wafipa..na lyamba la wafipa
Alishindwa hata mroga huyo baba watoto asimuache.... ..Atumie nguvu yake ya Ulozi vizuri...sasa
Sawa mwalimu wa zamu nimekusikia,sabato njema🙏🤣UTAMALIZA WAGANGA..... Halimfiki Jambo mja Bali Mola kapanga.... Hata waganga na waganguzi wote wakiungana.... Kama Mola hajapanga ufikwe na balaaaa..... Halitokufika Asilani ABADANI.
Utafilisika kwa madeni na kuuza Mali... Utaishia kuwa mchepuko maisha yako yoote... Unahangaika na watoto wako bika msaaada....
Change YOUR MINDSET.... Think positive... Invest in yourself and your children... Change yourlife.... Mafanikio yatakufuata
Hutahangaika na Kuroga watu.... You will be at peace...
Kwamba usiponuna mume hachepuki? Mbona yy ananuna na hatak aman itawale..huwajui wanaume wewe hata kidgAfu akianza kuchepuka unaanza kulia,mkikosana Kama wapenzi ni suala la kuzungumza na sio kununa na kususa.msingi wa mahusiano ni mazungumzo.
Mwache huyo aliolewa kwa kumloga mwanaume,anadhani kila mwanamke anafosi ndoa Kama yeye.mapenzi ni ufundi🙏My dear mbona una muattack huyu mleta mada
Tumuache na maisha yake,hivi tukisema kila mtu alete maisha yake hapa mbona tutakimbiana
Ok Ila mapenzi si mashindano,ni diplomasia zaidi inatumika.Kwamba usiponuna mume hachepuki? Mbona yy ananuna na hatak aman itawale..huwajui wanaume wewe hata kidg
Afu umekomaa na huu Uzi?una maslahi gani nao? wikendi hii wapeleke watoto beach wakafurahi na wao,mie Niko na wanangu na dady yao mcity wanabembea hapa fresh,wakati tumetulia samaki samaki na babe tukila prawns pilipili na saint Ana yetu pembeni.
Mwache huyo aliolewa kwa kumloga mwanaume,anadhani kila mwanamke anafosi ndoa Kama yeye.mapenzi ni ufundi[emoji120]
Noted and 🙏Huwa sielewi mtu analeta kisa chake hapa kwa sababu nyingi
Sisi wasomaji tunaweza kumshauri ila hatuwezi kulazimisha mtu apokee ushauri
Pili tunajifunza
Huwezi kuwapangia watu maisha
Kila mtu akisema aelezee kisa cha maisha yake hapa tutakimbiana,hakuna mkamilifu
Binafsi uamuzi wako wa kumkomesha huyo mume sikubaliani nao lakini kama ni maamuzi yako nayaheshimu
At the end maisha ni yako yakikunyookea au yakibuma shauri yako mimi siumii chochote
Ndio maana nashangaa mtu mpaka anakauka mate kukushambulia kuhusu maamuzi yako
Looh