Historia ya maisha yangu

Je...alikupenda kweli au wewe ulimganda? Maana huwa kuna muda wanawake mnaonaga dalili zote kuwa huyu mtu hafiki mahali na wewe ila mnajikuta mnavumilia!! Pole kwa maandishi yangu yaliyo straight sana[emoji18][emoji18]
 
Comments zako zinaonyesha..unamuattack sana kama vile unamjua
Kuna kitu hakisemi ndio nambana afunguke. Ukisikiliza upande mmoja unatakiwa upate maelezo mengi
 
Je...alikupenda kweli au wewe ulimganda? Maana huwa kuna muda wanawake mnaonaga dalili zote kuwa huyu mtu hafiki mahali na wewe ila mnajikuta mnavumilia!! Pole kwa maandishi yangu yaliyo straight sana[emoji18][emoji18]
Jamen nilisema mahusiano yalikwisha na nikakubali,tuliachana mwanangu akiwa na miezi mitatu na hajawahi nijua kimwili Hadi leo,ikabaki kulea,sema kazingua miaka yote,kaona haitoshi yeye,mama yake na mkewe wanataka niulia mtoto,kina nimeuliza kuhusu kusaidiana kumsomesha,ni haki hiyo?hapana lyamba la mfipa
 
Kama kweli mahusiano yalikwisha na ukakubaliana na hali kwa dhati kabisa basi wewe fanya litalousuuza moyo wako! Wakati mwingine huwa wanasema fanya kitu upate amani ya moyo..ukiona kaumia sana nenda ukatubu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Saa Tisa naingia njia ya msalaba vizuri tu,Ila lazima limpate,hata akienda wapi lazima anyooshwe🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…