Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Kipepeo wa chuma1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2021
Posts
387
Reaction score
558
Habari za mida wana JamiiForums.

Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.

Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita.

Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.

Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.

Nikakutana na kijana mmoja, nilimtangulia chuo mwaka mmoja, akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi, nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.

Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, na nikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo. Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu, kisicho riziki hakiliki.

Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.🙏👊🏼

Sehemu ya Pili

Habari za mida wadau.kama awali nilivyosema naenda mshtaki kwa wazee katavi yule ng'ombe,nilifanya hivyo, first time akapangua manake umekuwa mchezo wake ,yeye na mama yake na mkewe kwa miaka mi4 Sasa,huku nikiwa sijui.
Mzee akapiga ya kwanza,Bibi yake mchawi akapangua,yuko nchi jirani.Akaivunja nguvu.

Mzee akaona,akajibu shambulizi,wakatepeta. Ila wakaamka na kuanza kujibu Tena,hahahah Kama movie ya Rambo vile,so saivi tunaingia awamu ya pili ya mashambuliz,kumbe ulikuwa mshirikina kenge wewe,sikufahamu,sema umechezea mwanangu na Mimi vya kutosha.Nilidhan tutalea kizungu ,kucoparent,kumbe umelelewa na wanga all along.

Afu maza ako anaumwa na ustaafu wake likikukosa wewe litampata yeye.Vita ni Vita murah.salaam toka katavi.
 
Inaonekana una grudges za uzani wa kutosha, nakushauri punguza jazba, otherwise u will do something very terrible, and finally u will come to regret and it want help, or recorrect ua mistakes. focus to ua vision and ua kid. pia nikupe hongera afisa mipango kwa kuchapa kazi.
 
Habari za mida wanajamii forum. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.

Kifupi ni nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, Ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.

Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.

Nikakutana na kijana mmoja,nilimtangulia chuo mwaka mmoja,akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi,nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.

Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, nanikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo.Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu,kisicho riziki hakiliki.

Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.
Hongera,ila ushauri kama pesa ipo usimchukie mtoto kwaajl ya baba
 
Back
Top Bottom