Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Status
Not open for further replies.

2001 alipigwa risasi akiwa kwenye biashara zake haramu/magendo.
 
Jenerali Ulimwengu
 

Muhusika inabidi arudi mafunzoni. ni risasi gani inaparaza?wamtafuta yule wa mwangosi
 

Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.
 

Tafsiri ya gaidi tafadhali!!
 

siungi mkono matumizi ya mabuvu yanofanywa na polisi lakini pia siungi mkono uchochezi wa kidini.
 
Ata mimi sijapenda upigaji mbaya wa risasi wa huyu polisi..mdogo wangu yuko huko kasema angekuwa yeye tungashasema alazwe pema..mapolisi majuzi yakulenga kwa CDM tu na mwangosi
 
mara nyingi tumekua tukiona watu wanaotetea haki huwa hawapendwi huku wakipewa majina mabaya eti magaidi na wakati mwingine wakipigwa na hata kuuawa shekhe ponda tunakutakia kheri upone haraka uendelee na harakat zako hata mitume wa mwenyez mungu walikutana na vikwazo vingi wakat wa kulingania watu waende katika haki
 
wale walikuwa na uwezo wa kumdungua hata ya kichwa ila mpigaji aliogopa albadir ya sisi si mnatujuaga?muulizeni rais flani hiv hapa tz watu tumemkeshea home ground(mtambani)alioza mifupa huku anatembea,chezea kisomo weee
 
wakuu hapa jacobus ameomba historia ya bwana ponda, anayejua atujuze
 
Shk.Ponda tunakuombea nafuu na Salaama Salmini yako kwanza,
Uwe msomi au uwe mweny elimu ya misingi hayo hayatuhusu tunakupongeza kwa kutetea haki za wanyonge na UJASIRI wako wakupenda usawa kwa jamii. umezaliwa hapa na mwisho wako mwema uwe hapahapa na PEPO ferdausi (paradaisoo)
ikufungukie milango yote nawe uwe shahid. Jamaani Mwzi/Mungu ni mwema na mwadilifu kamnusuru shk.Ponda KATIKA HALI isiyoelezeka kwa maneno ya kawaida. Allahu akbar
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…