Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Status
Not open for further replies.
Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.

tutakutafuta tukoonyeshe ugaid ulivyo.<kfl>
 
Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.
Waislaam hasa hawamtambui huyu Gaidi PONDA! Bali wenye njaa na msongo wa maisha wanamshabikia wakijua watafaidika ktk VURUGU zitakazotokea kama kupora ....... hakuna upande utakaoshinda
 
Naona karibu wote walio-comment wametoka nje ya uzi. Mleta uzi anataka kujua historia na CV ya Shehe Ponda. Unaweza kuwa ni miongoni wa wafuasi(waamini) au ukawa mpinzani wa Sheikh Ponda lakini isikuzuie kujibu uzi huu unaotaka historia yake tu na si mipasho na vijembe

Hivyo tafadhali mwenye kujua historia yake na CV yake kwa sehemu yeyote aandike hapa, binafsi sijui chochote kuhusu sheikh Ponda na nahitaji kufahamu historia yake, asanteni sana kwa mtakao tujuza.
 
Shk.Ponda tunakuombea nafuu na Salaama Salmini yako kwanza,
Uwe msomi au uwe mweny elimu ya misingi hayo hayatuhusu tunakupongeza kwa kutetea haki za wanyonge na UJASIRI wako wakupenda usawa kwa jamii. umezaliwa hapa na mwisho wako mwema uwe hapahapa na PEPO ferdausi (paradaisoo)
ikufungukie milango yote nawe uwe shahid. Jamaani Mwzi/Mungu ni mwema na mwadilifu kamnusuru shk.Ponda KATIKA HALI isiyoelezeka kwa maneno ya kawaida. Allahu akbar

umesaau mabikra saba wanamngoja huko mbinguni
 
Mkuu mpendwa Kashi, Nao waloathirika tunawatakia uponyi wa haraka na uzima warudi salam salumini makazini.
Nasikitika kukuambia Shk.Ponda huwa habebagi hata kijichupa cha maji ya kunywa (kilimanjaro)!!
Yeye humwaga lugha tu. Maudhui ya T/kali uliza wanaSiasa na waku wakereketwa wa viyama nchini.

Kwami mchochezi hadi abebe majambia? hadi sasa napeleka lawama zangu kwa jeshi la polisi kwa kushindwa kumpumzisha huyu mchochezi
 
Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.

Hiv unajua maana ya ugaidi! Kama hujui eb tafta au google terrorism act of 2001, ukipata soma hiyo sheria uelewe zen ndo ujaji kama PONDA ni gaid au lah, sio kushabikia vitu kimkumbo"
 
umesaau mabikra saba wanamngoja huko mbinguni
Yes LR, Sijasahau siyo 7 wewee ni 70 na wengine ni vijakazi wao !! Jamenii the jihadist wanaPepo yao peke.
in-shaAllah niwe mmoja wao nijaaliwe kuwa shaheed "kuliko kufia kitandani au kwenye uchafu wa dunia hii" amin
wewee any doubt ?!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom