Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Status
Not open for further replies.
Dawa yao ndogo, ni km yule Sheikh wa Mombasa anapewa k2 chenye ncha kali au sindano maana hizi Elimu za kuishia Std7 na kung'ang'ania Elimu ahera kz kwelikweli
 
Suala la uraia sio tija kabisa.Kuna raia wengi wageni Tanzania na wanafanyakazi na wengine wanaishi kinyemela.Hata wewe mtoa mada ukichunguzwa sana utakuta unatokea nje ya mipaka ya Tanzania.HOJA kubwa hapo ni kuwadhibiti wahuni na wavunja amani wote na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria bila kujali umetumwa na wanasiasa, unauraia wa nje, una elilimu au la , una ushehe au uchungaji.Serikali ionyeshe makucha yake kwa kutumia vyombo vyake vyote bila kujali historia ya mtu.
 
Chanzo cha chabari hizi kinaanza kwa kueleza kuwa, imebainika kuwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Issa Ponda si raia wa Tanzania.

Uchunguzi uliofanywa na chanzo hiki nchini Burundi, Kigoma na taarifa za uhakika kutoka idara ya Uhamiaji na vyombo mbali mbali vya dola umebaini kuwababa yake Ponda mzee Issa Ponda alizaliwa mwaka 1921, na kuishi eneo la Rumonge barabara ya 6, nyumba namba 31, Bujumbura nchini Burundi, na kuhamia nchini mwaka 1957.

Mzee Issa Ponda alifikia ujiji, kwenye mji wa Ball (hivi sasa Kawawa) na kupokewa na mtanzania abaye baadaye alikuja kuwa mjomba wake Ponda anayeitwa Iddy Matata. Mara baada ya kahamia kwenye mji huo na kupewa kiwanja na mzee Matata mzee Issa ndipo alipomuoa Mariam Ally Kassa (huyu ndiye mama wa Shehe Issa Ponda) na alimzaa Shehe Ponda Mwaka 1958.......

....Ooh, Ok.

Ndio kusema 1958 alizaliwa Tanganyika ......tena kabla ya uhuru wa 1961, na kabla ya muungano wa 1964 uliozaa nchi ya Tanzania?
 
Kyenju huna lolote fitina mkubwa wewe mpandikaza chuki unaesukumwa na udini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Last edited by a moderator:
viwanda vya uongo vinafanya kazi, kwanini wasipeleke taarifa uhamiaji?
Hayo ni magazeti uchwara, habari haziko balanced, hazijawahoji wahusika wakiri au kukanusha wanayo tuhumiwa nayo.
Hiimijitu inakuw kama miskule fulani hivi....!!!!kama ponda ndio chanzo cha vurugu,sasa kawanini wanpiga kelele pale watu wanaposema chadema ifutwe????ponda anadai haki za waislam kama inavyojitambulisha chadema.Waislam na wenyewe wameona kweli kuna haja ya kuwa karibu na ponda na kushirikiana nao kwenye kudai haki zao...ndio maana watu mamia kwa maelfu wanamkubali ponda.Haya majitu yanayoitwa wa kristo ni watu waahajabu sana...mbona hata siku moja hawajawahi kukemea maandamano ya cdm,ndio kwanza wanawapa support!!!!
MAPINDUZI AU UKOMBOZI si lazima kiongozi ni muhusika wa taifa uhusika,ndio maana hata znz J.OKELLO aliongoza mapinduzi,hata nyerere alisababisha watu wetu wengi sana kufa kwa ajili ya kujitolewa tolea hovyo kwenye mapinduzi ya nchi za kiafrika.ISHU siyo ponda ishu ni madai ya ponda.
 
tukienda deep tutakuta hakuna aliye mtanzania halisi,kuanzia wewe mleta mada na sisi wachangiaji,hilo la uraia wa mtu tusliulize hapa ,hoja hapa huyu mtu ni menace to society,hatufai.kuhusu Farid naona umeme ulikatika wakati mleta mada alipo kuwa akikariri data zake,namshauri asiogope avuke bahari aende Zenji Mitaani akahoji watu wampe data za Farid,hapo ndipo tutaona ukomavu wake wa habari.
 
Kumbe wakati tukiwa ziarani Oman kujikomba na kuchungulia akaunti zetu kuna waoman wengine waliojivalisha utanzania wanaleta vurugu huku nyumbani....salaaaleh!!!!
 
tusitafute njia rahisi ya kutatua matatizo kwa kutafuta nani ni raia na nani si raia,tuna historia ya watu kutuhumiwa kuwa si raia na mwisho wa siku tuhuma hizo zikaonekana zilikuwa na malengo furani
tutatue matizo yetu pasi ya kupandikiza chuki za nani si raia na nani si raia,sheria ifuate mkondo wake kwa kupambana na raia wenye makosa na si kutafuta visingizio vya aina yeyote ile
kwa jinsi nilivyosoma hapo juu,bado shehe ponda ni raia wa tanzania tena wakuzaliwa na wala si kuomba,maana kama mwandishi alivyosema kuwa alizaliwa tanzania wakati mama yake na baba yake wakiwa tanzania na tena mmoja wa mzazi wake ni mtanzania,bado sifa ya yeye kuwa ni mtanzania ipo palepale labda kama iwe alizaliwa burundi na baadae kukulia tanzania hapo ni story nyingine tena.
 
Chanzo cha chabari hizi kinaanza kwa kueleza kuwa, imebainika kuwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Issa Ponda si raia wa Tanzania.

Uchunguzi uliofanywa na chanzo hiki nchini Burundi, Kigoma na taarifa za uhakika kutoka idara ya Uhamiaji na vyombo mbali mbali vya dola umebaini kuwababa yake Ponda mzee Issa Ponda alizaliwa mwaka 1921, na kuishi eneo la Rumonge barabara ya 6, nyumba namba 31, Bujumbura nchini Burundi, na kuhamia nchini mwaka 1957.

Mzee Issa Ponda alifikia ujiji, kwenye mji wa Ball (hivi sasa Kawawa) na kupokewa na mtanzania abaye baadaye alikuja kuwa mjomba wake Ponda anayeitwa Iddy Matata. Mara baada ya kahamia kwenye mji huo na kupewa kiwanja na mzee Matata mzee Issa ndipo alipomuoa Mariam Ally Kassa (huyu ndiye mama wa Shehe Issa Ponda) na alimzaa Shehe Ponda Mwaka 1958.
Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa, mzee Ponda baada ya kuoa na kupata mtoto, alianza kutafuta namna ya kuzoeleka kwenye eneo alilokuwa anaishi ili aonekane ni mzaliwa wa Tanzania na alifanikiwa kwa hilo hadi akagombea udiwani uliodumu kuanzia mwaka 1964 hadi 1965.
Taarifa za uhamiaji zinaonyesha kuwa, Ponda ambaye alipata elimu yake ya msingi Kigoma na kuishia darasa la saba, hakuwai kuukana uraia wake kama sheria ya uhamiaji inavyoelekeza, kwa hiyo bado anatambulika kama raia wa Burundi.
Hata hivyo Sheikh Ponda kwa kutumia njia anazozijua (njia za panya), mwaka 1995 alpohamia njini Dar es salaam akitokea Kigoma alikuwa anafanya biashara, alaipata hati ya kusafiria namba A0143978 (nakala chanzo cha habari kinayo) iliyotolewa Juni mwaka 1995 kwa jina la Pondamali Issa Pondamali ambayo ilitakiwa kuisha 21, June mwaka 2000, ingawa aliongezewa muda hadi 2005, na inaonyesha anuani yake ya posta ni 21842 Kigoma namba ya simu ni 21842.

Sheikh Ponda aliamia Dar es salaam baada ya tukio la kupigwa risasi mguuni na polisi wakati akisafirisha magendo ziwa Tanganyika kati ya Tanzania na Burundi, ambapo duru za kiusalama zinaonyesha kuwa, alipelekwa kwa gari hadi Mwanza na kisha kwa ndege mpaka jijini Dar es salaam na kuojiwa na aliyekuwa afisa upelelezi pamoja na aliyekuwa mkuu wa usalama wa taifa wakati huo Haidery Zuberi kabla ya kuachiwa (Ponda).
Sheikh Ponda pia amewahi kuhusishwa na uuzaji wa madawa yaliyokwisha muda wake na mara kadhaa amekamatwa akijaribu kuyavusha kuelekea nchi jirani.

Sheikh na kundi lake ni wanasadikika kutumiwa na vyama fulani vya kisiasa ili kuanzisha vurugu na uvunjifu wa amani nchini, Sheikh Ponda pamoja na wenzake walikutana 7, Septemba kwenye msikiti wa kichangani (TIC), Magomeni Mpipa jijini Dar es salaam na 8, septemba kwenye msikiti wa Mtambani Kinondoni na kupanga namna ya kufanikisha vurugu hizo, pamoja na mkakati wa kumung'oa Mufti wa Tanzania Sheikh mkuu Shabani Bin Simba.
Wanaomfahamu vizuri Ponda wameishauri idara ya uhamiaji kumrudisha kwao Burundi kwa kuwa ni kinara wa vurugu na uvunjifu wa amani hapa nchini.

Chanzo cha habari ni gazeti la Afrika leo la Jumatano Septemba 12-18, 2012 Toleo namba 60.

Katika gazeti la Kiislamu la safina la tarehe 7, Septemba 2012 toleo namba 25, lineeleza kuwa Ponda analo genge linalomfadhili limempa ponda hadhi ya usheikh licha ya kujua kuwa hastihili kuwa sheikh.

Nanukuu: Gazeti moja linalojiweka mbele katika kudai haki za waislamu limekuwa likiandika habari zake si kwa kuwasilina naye bali kwa kupitia kumbukumbu za zamani tu.
Katika kuhakikisha malengo yao yanafanikiwa genge hili limempa Ponda, hadhi ya Sheikh wa kiislamu licha ya kujua fika kwamba Ponda si sheikh hana elimu ya dini inayompa hadhi hiyo. Baadhi ya watu wanadai sheikh huyu hajamaliza hata juzuu 30 zinzzokamilisha msahafu wa qu'raan licha ya kutojua masomo mengine yanayomfanya mtu afikie kiwango cha usheikh, kama Figh na kadhalika.

Mwisho wa kunukuu.

Tuangalie kwa ufupi mtu anayeitwa Farid Had

Farid Had ni kiongozi wa kikundi cha uhamsho au genge la vurugu na machafuko Zanzibar ambalo wengi wa wafuasi wake ni watu kutoka Pemba wenye kuutukuza uarabu. Ni mtu anayemwataka Wazanzibar wjiondoe kwenye muungano. Lakini wazanzibar wanafikiri ni mwenzao kumbe sivyo. Farid Had ana uraia wa mchi mbili, kinyume na katiba ya nchi yetu.
Yupo mtu aliyesema aliwahi kukutana na Farid kwenye mkusanyiko mmoja wa wanadini wa kiislamu nchini Mauritania akiwa anawakilisha si Zanzibar wala Tanzania, bali aliwakilisha nchi ya Oman. Hakuna anayejua mtanzania aliwezaje kupata nafasi ya kuwakilisha Oman nje ya nchi yake lakini hayo yanasemwa na sina shaka kama hayapo yanakuja, maana pafukapo moshi usikanyage moto upo.

Huyo ndiye bwana Farid Had.

Lisemwalo lipo na kama halipo baaasi bilashaka laja!!- Ila mkuu hapo kwenye red vipi??? mbona pamekaa kimashaka mashaka ( hizo figure ni za anuani au number ya simu??)

....Ooh, Ok.

Ndio kusema 1958 alizaliwa Tanganyika ......tena kabla ya uhuru wa 1961, na kabla ya muungano wa 1964 uliozaa nchi ya Tanzania?
tena Ponda ni mtanganyika,maana tanzania imemkuta akiwa mkubwa tu,sisi wengine ndio sio watanzania wala sio watanganyika maana vyote tumevikuta vikiwa tayari vimeanza.
 
Mbona Kigoma kila mtu anajua Ponda ni Mrundi.
Sahihisho Rumonge ni mji mdogo ulio umbali zaidi ya kilomita 80 kutoka Bujumbura.
 
Mmmh!!!Haya bhana intelejensia iko wapi mpaka haya yanafikia hapa??
 
.................Unaona Wa Tanzania wanavyojifanya wanajua data..........kama hali ni hiyo na ukweli na ushahidi upo Usalama wa Taifa vipi? Uhamiaji wako likizo? Si wangeamua tu mara moja repatriation.....
 
Duh! Kumbe Ponda ni darasa la saba!!Ndio maana ufahamu wake ni mdogo
kuna watu wamekuwa wakieneza propaganda kuwa elimu ni ziada tu katika uelewa bali kuna watu wenye vipaji.
Ukweli unabaki kuwa darasa la saba kwa dunia ya sasa hawezi kuendesha movement katika ngazi za kitaifa bila kuwa na 'back-up' yoyote, na ikotokea hiyo back-up ikawa na malengo mengine inaweza kuzaa hatari kuba. Japo kwa tanzania yote yanawezekana!
Wenzetu inakuja automatically kuwa hata kama una PhD ni lazima uwe na rekodi nzuri ya kazi unazozifanya na ni jinsi gani zinachangia uendeshaji wa nchi husika (kulipa kodi) na sio kuuza madawa yaliyoisha muda wake.
 
viwanda vya uongo vinafanya kazi, kwanini wasipeleke taarifa uhamiaji?
Hayo ni magazeti uchwara, habari haziko balanced, hazijawahoji wahusika wakiri au kukanusha wanayo tuhumiwa nayo.

Kinachoshangaza ni kuwa hiyo anwani ya Posta 21842, Kigoma, ndio hiyohiyo namba yake ya simu!
Isitoshe, Posta Kigoma hawajafikia idadi hiyo ya masanduku.

Kama ni kweli amejaza SLP 21842 Kigoma, basi Sheikh Ponda ni tapeli.
 
Chanzo cha chabari hizi kinaanza kwa kueleza kuwa, imebainika kuwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Issa Ponda si raia wa Tanzania.

Uchunguzi uliofanywa na chanzo hiki nchini Burundi, Kigoma na taarifa za uhakika kutoka idara ya Uhamiaji na vyombo mbali mbali vya dola umebaini kuwababa yake Ponda mzee Issa Ponda alizaliwa mwaka 1921, na kuishi eneo la Rumonge barabara ya 6, nyumba namba 31, Bujumbura nchini Burundi, na kuhamia nchini mwaka 1957.

Mzee Issa Ponda alifikia ujiji, kwenye mji wa Ball (hivi sasa Kawawa) na kupokewa na mtanzania abaye baadaye alikuja kuwa mjomba wake Ponda anayeitwa Iddy Matata. Mara baada ya kahamia kwenye mji huo na kupewa kiwanja na mzee Matata mzee Issa ndipo alipomuoa Mariam Ally Kassa (huyu ndiye mama wa Shehe Issa Ponda) na alimzaa Shehe Ponda Mwaka 1958.
Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa, mzee Ponda baada ya kuoa na kupata mtoto, alianza kutafuta namna ya kuzoeleka kwenye eneo alilokuwa anaishi ili aonekane ni mzaliwa wa Tanzania na alifanikiwa kwa hilo hadi akagombea udiwani uliodumu kuanzia mwaka 1964 hadi 1965.
Taarifa za uhamiaji zinaonyesha kuwa, Ponda ambaye alipata elimu yake ya msingi Kigoma na kuishia darasa la saba, hakuwai kuukana uraia wake kama sheria ya uhamiaji inavyoelekeza, kwa hiyo bado anatambulika kama raia wa Burundi.
Hata hivyo Sheikh Ponda kwa kutumia njia anazozijua (njia za panya), mwaka 1995 alpohamia njini Dar es salaam akitokea Kigoma alikuwa anafanya biashara, alaipata hati ya kusafiria namba A0143978 (nakala chanzo cha habari kinayo) iliyotolewa Juni mwaka 1995 kwa jina la Pondamali Issa Pondamali ambayo ilitakiwa kuisha 21, June mwaka 2000, ingawa aliongezewa muda hadi 2005, na inaonyesha anuani yake ya posta ni 21842 Kigoma namba ya simu ni 21842.

Sheikh Ponda aliamia Dar es salaam baada ya tukio la kupigwa risasi mguuni na polisi wakati akisafirisha magendo ziwa Tanganyika kati ya Tanzania na Burundi, ambapo duru za kiusalama zinaonyesha kuwa, alipelekwa kwa gari hadi Mwanza na kisha kwa ndege mpaka jijini Dar es salaam na kuojiwa na aliyekuwa afisa upelelezi pamoja na aliyekuwa mkuu wa usalama wa taifa wakati huo Haidery Zuberi kabla ya kuachiwa (Ponda).
Sheikh Ponda pia amewahi kuhusishwa na uuzaji wa madawa yaliyokwisha muda wake na mara kadhaa amekamatwa akijaribu kuyavusha kuelekea nchi jirani.

Sheikh na kundi lake ni wanasadikika kutumiwa na vyama fulani vya kisiasa ili kuanzisha vurugu na uvunjifu wa amani nchini, Sheikh Ponda pamoja na wenzake walikutana 7, Septemba kwenye msikiti wa kichangani (TIC), Magomeni Mpipa jijini Dar es salaam na 8, septemba kwenye msikiti wa Mtambani Kinondoni na kupanga namna ya kufanikisha vurugu hizo, pamoja na mkakati wa kumung'oa Mufti wa Tanzania Sheikh mkuu Shabani Bin Simba.
Wanaomfahamu vizuri Ponda wameishauri idara ya uhamiaji kumrudisha kwao Burundi kwa kuwa ni kinara wa vurugu na uvunjifu wa amani hapa nchini.

Chanzo cha habari ni gazeti la Afrika leo la Jumatano Septemba 12-18, 2012 Toleo namba 60.

Katika gazeti la Kiislamu la safina la tarehe 7, Septemba 2012 toleo namba 25, lineeleza kuwa Ponda analo genge linalomfadhili limempa ponda hadhi ya usheikh licha ya kujua kuwa hastihili kuwa sheikh.

Nanukuu: Gazeti moja linalojiweka mbele katika kudai haki za waislamu limekuwa likiandika habari zake si kwa kuwasilina naye bali kwa kupitia kumbukumbu za zamani tu.
Katika kuhakikisha malengo yao yanafanikiwa genge hili limempa Ponda, hadhi ya Sheikh wa kiislamu licha ya kujua fika kwamba Ponda si sheikh hana elimu ya dini inayompa hadhi hiyo. Baadhi ya watu wanadai sheikh huyu hajamaliza hata juzuu 30 zinzzokamilisha msahafu wa qu'raan licha ya kutojua masomo mengine yanayomfanya mtu afikie kiwango cha usheikh, kama Figh na kadhalika.

Mwisho wa kunukuu.

Tuangalie kwa ufupi mtu anayeitwa Farid Had

Farid Had ni kiongozi wa kikundi cha uhamsho au genge la vurugu na machafuko Zanzibar ambalo wengi wa wafuasi wake ni watu kutoka Pemba wenye kuutukuza uarabu. Ni mtu anayemwataka Wazanzibar wjiondoe kwenye muungano. Lakini wazanzibar wanafikiri ni mwenzao kumbe sivyo. Farid Had ana uraia wa mchi mbili, kinyume na katiba ya nchi yetu.
Yupo mtu aliyesema aliwahi kukutana na Farid kwenye mkusanyiko mmoja wa wanadini wa kiislamu nchini Mauritania akiwa anawakilisha si Zanzibar wala Tanzania, bali aliwakilisha nchi ya Oman. Hakuna anayejua mtanzania aliwezaje kupata nafasi ya kuwakilisha Oman nje ya nchi yake lakini hayo yanasemwa na sina shaka kama hayapo yanakuja, maana pafukapo moshi usikanyage moto upo.

Huyo ndiye bwana Farid Had.
Kama habari hii ni ya uhakika, kwa nini serikali isimrudishe Pona nchi ni kwake??? Na huyo Farida arudishwe kwake Omani??
 
Kazi ipo wabongo na matukio ya kuiga kwenye tv, subirini siku kiwake kweli ndipo tutajua! Wahindi watakodi ndege kukimbia na family zao wengine na vifurushi vya mihogo mgongoni! Shenzi type
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom