eti ana roho mbaya,watu bana,kwa taarifa yako savimbi hajavurutwa mtaani ,naona una pressure sana .una interest gani kwenye kesi hii?huyu jamaa anaroho mbaya sana sidhani kama anandugu huko kijijini kwao.
huyu hata akifa asizikwe, afungwe aburuzwe kwanza mitaani kama Savimbi.!
anatia kinyaa sana, sidhani kama ni mtanzania halisi.!
kwahiyo ulitaka mwigulu afanyaje?..ulitaka akae kimya wakati kina lema wanapotosha eti rais ni mdini bila kuweka evidence?lini kikwete kafanya mikutano ya ndani na viongozi wa dini?.Katika watu ambao wataleta machafuko hapa nchini nadhani huyu ni mmojawapo. Kauli zake mbaya sana kwa mustakabali wa Amani ya Nchi ya Tanzania. Yuko tayari watu wachafukwe, wachapane, ili kulinda maslahi yake binafsi ya kisiasa na chama chake CCM. na asipoonywa mapema anaweza kufanikiwa katika lengo lake hilo! Maneno anayoongea mara nyingi yanatia Hasira sana!!!
Humjui mwigulu. Ni mtu mwenye roho nzuri. Ana huruma. Ndiyo maana humpa hela kila mtu anayekutana naye njiani. Hajajenga ila analipa ada ya zaidi ya watoto 200. Tumzushie lingine. Nimjuavyo ni mtu wa msimamo mkali kwa kitu anachoaminihuyu jamaa anaroho mbaya sana sidhani kama anandugu huko kijijini kwao.
huyu hata akifa asizikwe, afungwe aburuzwe kwanza mitaani kama Savimbi.!
anatia kinyaa sana, sidhani kama ni mtanzania halisi.!
Duh, jamaa noma kweli; hata mimi nilikua naona kama msukuma vile. Ila kama ndio hivyo kadandia tu jina lakini hajafake vyeti.Jina sahihi la huyu mwigizaji ni lipi? Mwigulu Nchemba ni jina la kisukuma na yeye ni mnyiramba au hilo ndio jina la kisanii ndo maana usanii mtupu kila sehemu... mimi namsihi arudie jina lake halisi la Lameck Mkumbo kama anataka kutumikia jamii na sio usanii huu anaotufanyia...
Kwa hili funika kombe mwanaharamu apite maana wateja wake wengi...Au sio?Enzi zetu zile za Mwalimu majina kama haya yalikuwapo tele, tuliyaita majina ya "Makweta" kutokana na Jackson Makweta aliyekuwa waziri wa elimu enzi hizo.
Kulikuwa na wakristo wenye majina yote ya kiislam kama wazanzibari, nakumbuka kuna mwenyekiti wa Ukwata alikuwa anaitwa Hussein Ramadhani Ally, mimi nilisoma na Prosper Valentin (mwislamu huyu) halafu kulikuwa na wachagga kibao wenye majina ya kiiraqw.
Nafikiri kama huyo mwenye jina lake halisi hajalalamika, tuiache hii ishu kama ilivyo maana ina historia ndefu ambayo kama haijaathiri kitu hakuna sababu ya kuichokonoa.
Mama Porojo usinichokonoe kwa porojo zake, nitakutolea uvivu.
CIA walikuwa wanamfahamu Osama bi Laden in and out, je CIA walikuwa wajomba zake Osama?
Yaani kwa akili zako unafikiri kumfahamu mtu basi lazima uwe mjomba wake? Kweli wewe ni mmojawapo unayefikiri kwa kutumia kile kiungo alichokitaja Didas Masaburi na inaelekea hicho kiungo chako ni KIKUBWA!
mbisi zi mpipa luta teka hein ! , hehehehein?
malafu ma mpipa luta teka hein !, hehehehein?
mimpuka mi mpipa luta teka hein !, hehehehein?
suni mi bantu luta mina hein!, hehehehein?
makasu ma mpipa luta caba hein !, hehehehein?
yema mpudisi ma mpipa mame !, heheheheinhehehehein?
Jamani Kama mwigulu ana tuhuma zote mnazozitaja,mnasubiri nini kumfikisha mahakamani?
sasa hii lugha gani??? ndio unaimba auuu???