Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Si jambo zuri kwa watanzania kuulizana makabira. Tulishazoea kuitana wote ni watanzania. Ila nasababu tano za kuuliza hivyo.

1. Jina la Mwigulu(ng'wigulu) Nchemba ni la kisukuma Wakati inasemekana yeye ni mnyelamba

2. Pili ilisemekana wazi kuwa aliiba jina la mtu akalihamisha shule akalisomea hivyo alihusika kikamilifu kuiba na kumkatisha masomo kijana huyo mwigulu nchemba

3. Alishawahi kukili kwa mdomo wake kuwa alishawahi kufanya mtihani wa taifa mara mbili. Yani akiwa la sita na baadae la saba. Kwenye kipindi cha hot mix eatv. Hii imeashiria kuna ka ukweli humo.

Jamani wanajamvi naomba msaada wenu ninampango wa kuajiri mwanasheria ili kumpandisha bwana Lameki kortini nimvue vyeti vyake vyote. Kwanza Napoweza Kumpata Mwigulu Nchemba halisi. Shule alikochukulia majina

zawadi ya tsh m 1 itatolewa kwa atakaefanikisha kupatikana kwa ushahidi muhimu wa kufungua kesi ya kugushi
 
Kimsingi huyu ni mwizi wa jina la watu tu. Ndio maana akili yake haifanani na elimu anayoonekana kuwa nayo. wakati anakuja mazengo F5 mi nilikuwa F2-akiwa mtu mzima sana, hii ni dalili ya kurudia rudia sana.
 
Huyu jamaa alizaliwa katika kijiji cha Kisana-Kinakumi kwa ukoo wa akina shabarabara. Huko makunda walihamia tu yeye na wazazi wake na huko ndiko alikopata jina la mwigulu Nchemba. Jina lake halisi ni Lameck Mkumbo. mwizi wa majina ya wengine tu huyu ndio maana hata hio anayodai elimu yake alionayo hafanani nayo.
 
Nimelazimika kufuatilia historia sahihi ya ndg Mwigulu au Lameck. Ukweli ni kwamba huyu jamaa ni mtoto wa sita kati ya watoto 16 wa mzee Mlingi maarufu kwa jina la utani Madelu. Mwigulu alizaliwa na kupewa jina la Mugulo likiwa jina la babu yake na jina la lameki lilikuwa jina la kizungu la mganga aitwaye Mwigulu aliyewapa dawa wazazi wake waliopelekwa na rafiki yake ambaye masaganya. Masaganya naye alipewa dawa na mgamnga Mwigulu Lameck na kumwita mwanaye Mwigulu. Jamaa huyu ambae ni mbunge sasa alisoma mpaka darasa la tano akaacha shule akitumia jina la Lameck na kwenda kambi ya mifugo na kurudi shule ktk darasa la sita alilotakiwakwenda akaacha miaka miwili ikapita kwa majina yote mawili yaani Mwigulu Lameck. Mpaka sasa ndio pekee aliyekwenda shule. Najua ndg yangu uko jkt na ulituaga kuwa mnanyanganywa simu, ukirudi elezea wapi nimekosea kwenye utafiti wangu huu
 
Huyu si degree yake ati alipata first class uchumi? Ni pale UD au ni wapi? Nina mashaka!! si kama wale tumeambiwa wako Havard majiniasi wetu wa kutoka arusha!!! Tanzania bwana!!
 
Kumekucha....Ngoja atoke huko JKT aje hapa...Lakini huyu bwana huwa hana historia ya kujibu shutuma zake hapa jukwaani..
 
Mwendawazimu hata ukiambiwa alionekana akiwa uchi watu hawawezi kushangaa au umewahi kusikia au hata kuona kichaa anayetembea uchi kishaa watu wakafanya kuwa hiyo ni story?
 
Kumbe haya majina ya mulugo na mugulo yanashabihiana hata kwenye elimu yao walivyoipata na utata wa majina.
 
wewe ndo umetumwa uandike hvyo?utalipwa sh ngapi?eti majina yake,rudi studio toa single nyingne.sawa?
 
we mwigullu jibu acha utani na mambo ya msingi.... we ni mwigulu ninahakika....
 
Sasa hii inatusaidia nini? Watanzania bwana, hivi kwanini tupoteze muda kujadili majina ya mtu na huku nchi ina matatizo kibao yanayoizunguka? Tujadili performance yake majina haya lolote la maana katika utendaji wake wa kazi. Umepoteza muda wako kutafiti majina yake ili kiwe nini?
 
Huyu si degree yake ati alipata first class uchumi? Ni pale UD au ni wapi? Nina mashaka!! si kama wale tumeambiwa wako Havard majiniasi wetu wa kutoka arusha!!! Tanzania bwana!!

NZOKI ama NONDO
 
Kumbe haya majina ya mulugo na mugulo yanashabihiana hata kwenye elimu yao walivyoipata na utata wa majina.

Labda mganga ni mmoja alifanya kuyabadili kidogo ili wapewe watu wawili, nalo lifanyiwe utafiti tutapata jibu.
 
Naona unajaribu kumbeba ili kuondoa utata wa jina Mwigulu..mwambie akalime mhogo coz elimu yake haimsaidii
 
Nimelazimika kufuatilia historia sahihi ya ndg Mwigulu au Lameck. Ukweli ni kwamba huyu jamaa ni mtoto wa sita kati ya watoto 16 wa mzee Mlingi maarufu kwa jina la utani Madelu. Mwigulu alizaliwa na kupewa jina la Mugulo likiwa jina la babu yake na jina la lameki lilikuwa jina la kizungu la mganga aitwaye Mwigulu aliyewapa dawa wazazi wake waliopelekwa na rafiki yake ambaye masaganya. Masaganya naye alipewa dawa na mgamnga Mwigulu Lameck na kumwita mwanaye Mwigulu. Jamaa huyu ambae ni mbunge sasa alisoma mpaka darasa la tano akaacha shule akitumia jina la Lameck na kwenda kambi ya mifugo na kurudi shule ktk darasa la sita alilotakiwakwenda akaacha miaka miwili ikapita kwa majina yote mawili yaani Mwigulu Lameck. Mpaka sasa ndio pekee aliyekwenda shule. Najua ndg yangu uko jkt na ulituaga kuwa mnanyanganywa simu, ukirudi elezea wapi nimekosea kwenye utafiti wangu huu

Mkuu unajaribu sana kumsafisha huyu bwana. Mbona historia yake inafahamika sana tu. Masanganya mwenyewe anajulikana, yule diwani wa Kyengege - aliyejipa jina la kurudia shule Innocent naye tunamjua na hata alivyofanya pale Tumaini Sekondari inajulikana, naona mambo mengine ni vema kuwa kimya ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom