Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

CCM haimilikiwi na ukoo bali ni chama cha watanzania wa kanda zote, wa dini zote na kabila zote. Ukitumia gharama ya serikali kwrnda kufanyia mapenzi dubai nakulipua bungeni ndio

Ficha upumbavu wako kwa ku-generalise. Nani kakwambia ccm ni chama cha watanzania WOTE? Ni asilimia ngapi walikipigia kura kwenye uchaguzi mkuu? Na population ya watanzania ni ngapi? Unapata wapi mamlaka hayo wewe zuzu? Hivi kweli na wewe unajiita msomi na analysis za kipuuzi kiasi hiki?

Unaposema kutumia fedha za serikali kwenda kufanyia mapenzi! Je, hizo zilizotumika KUMBUKA mwanafunzi zilitokea mfukoni mwako? Zile zakulipua mabomu Arusha ulitoa wewe? Najua siku zote kati ya wanasiasa wapuuzi na wapáumbafu ni wewe. Ila naona kiwango cha ujinga kinaongezeka. Jitathmini kama bado una uhalali wa kuwa hapo ulipo sasa kisiasa, kitaaluma na kifamilia. Mmmfyuuu....
 
Nikurahisishie, tangu mwaka 1993 kila mtahiniwa hupiga picha yake na kubandika kwenye self form na TSM9. Mtu akinunua jina hawezi kununua na sura ya mtu. Anzia hapo kuchunguza. Najua mmekosa pa kushika, shule haisomewi uvunguni inasomwa na watu wakiona. Nimejulikana tangu darasa la nne vijiji vya jirani wakaujua uwezo wangu kwa kupitia mitihani ya ujirani mwema. Tukuwa darasa la 6 na 7 ndio kabisa wanafunzi wenye ari ya kusoma tokea shule jirani walikuwa wanakuja kwetu kwa discusion. Sijazuka tu nikaonekana bungeni nakujulikana huko kama ninyi mnavyonifahamu baada ya kugusa SACCOS yenu chadema, wenzenu wananijua tangu primary. Sijawahi nunua jina. Kuishi Makunda, kuishi Iramba hakuna masna ya chimbuko la kinyiramba, kuitwa robnson haina masna ya kuwa mwingereza. Yaani akili zenu zimeishia hapo tu. Mbona baba katokea mwantuzi kule Simiyu alipohsmia kisana akiwa kijana hamjaona kama niwachunguzi. Kumbe majina nayo huuzwa.

Wee gamba gumu, hivi hayo kwenye bold ndio yanadhihirisha First Class yako siyo? Kwa hiyo wewe ndiye Msomi wa daraja la juu kabisa huko kwa Magamba na Wanyiramba wote wa jimboni kwako siyo? Dah, nchi hii bado kazi tunayo, wewe na Mulugo wote dugu moja!
 
Huyu jama jinsi anavyo ongea namuona ana akili kama za MTOTO....with poor exposure...na sisa zake ndo hizo...kufanya mapenzi, udini, ukanda, ukabila, kulipua watu mabomu, kununua vijana wa upinzani.....sisasa za kishamba na kitoto kabisa.......NAWACHUKIA sana mnafanya hila TAIFA kuwa la kijinga kabisa...na sisa zenu za kitoto na kijnga....hhuwezi kusikika ukiongelea elimu, ajira, constructions works, afya...huwezi sikia....kila siku mambo ya kijinga ngono...ngono nani afanyi.....sisi ni wanaume wa kiafrika Kukamua(kufanya ngono ) ni kawaida labda wewe ndo ufanyi.....badilika kuanzia mwaka 2014 ongea mamabo yanayo saidia nchi
 
vipi mabomu uliyoulia watanzania kanisani na mkutano wa chadema Arusha bado unayo.?

kwani ninayo? unajua umeaminishwa kwa masilahi ya wenzio kujihami nawe umeruhusu akili yako iamini hivyo. Mabomu yamelipuka kanisani Arusha mimi nikiwa nje ya nchi, yamelipuka mkutanoni mimi nikiwa na mkutano muda huohuo. Hivi kwa akili ndogo tu ya darasa la pili mimi nisafiri nibebe bomu nikarushe ili iweje? Ruhusa akili yako ichambue mambo usimezeshwe na zero wako nawe unameza tu kama dodoki
 
CCM haimilikiwi na ukoo bali ni chama cha watanzania wa kanda zote, wa dini zote na kabila zote. Ukitumia gharama ya serikali kwrnda kufanyia mapenzi dubai nakulipua bungeni ndio
Huyu jama jinsi anavyo ongea namuona ana akili kama za MTOTO....with poor exposure...na sisa zake ndo hizo...kufanya mapenzi, udini, ukanda, ukabila, kulipua watu mabomu, kununua vijana wa upinzani.....sisasa za kishamba na kitoto kabisa.......NAWACHUKIA sana mnafanya hila TAIFA kuwa la kijinga kabisa...na sisa zenu za kitoto na kijnga....hhuwezi kusikika ukiongelea elimu, ajira, constructions works, afya...huwezi sikia....kila siku mambo ya kijinga ngono...ngono nani afanyi.....sisi ni wanaume wa kiafrika Kukamua(kufanya ngono ) ni kawaida labda wewe ndo ufanyi.....badilika kuanzia mwaka 2014 ongea mamabo yanayo saidia nchi
 
Ni kutokujua background tu. Watu wanadhani nimeibuka tu, najulikana tangu nikiwa darasa la nne. Hoja hiyo ingekuwa na ukweli mbona watani zangu wangefanya mtaji tangu 2010 wala sio leo. Hawajui asili ya familia yangu, wala hawajui historia yangu.

Itakua kweli umegushi jina mbona unatoa povu ivo!!?
 
unajua huwa sikusomi kabisa wewe gamba au gwanda au msema ukweli au mnafiki...
Kwani wewe uko humu kukagua cDM wangapi na ccm wangapi?hapa sio kituo cha kupigia kura,angalia facts na sio kufuata upepo !!Tofauti ya kifikra na kimtazamo hainifanyi mimi nisiwe CDM ,ndo tunachokipigania hasa kwa wafuata mkumbo kama nyinyi
 
Tungependa kujua kilichotekea kwenye mkutano wa Arusha kwanza kabla hujalipua watu kufanya mapenzi Dubai. Hivi huoni uchungu kumwanga damu za watu? we si ni baba mwenye familia? je hutajisikiaje mtu akiamua kutoa uhai wa mtoto wako kwa ajili ya siasa? kama ulivyofanya wewe Arusha. Pili baada ya haya uliyoyafanya kujulikama hivi unafikiri familia yako hiko salama?

ndg yangu sijawahi kumwaga damu ya mtu wala sitarajii kufanya hivyo. Hizo zote ni propaganda chafu dhidi yangu tokea viongozi wa chadema na wanafanya hivyo kwakuwa nimeibua uovu wao hasa wakuua watu. Ninyi mnaaminishwa hayo mkidhania nitaacha kuibua uovu wao. Bomu lililipuka kanisani mimi nikiwa Ethiopia mimi nahusiksje? hakuna hata chembe ya uhusiano, limelipuka mkutanoni mimi nikiwa mkutanoni kufunga kampeni. Mungu anawashusha chini, anawaumbua ana waabisha viongozi wako kwa ajili ya kupakazia watu
 
kwani ninayo? unajua umeaminishwa kwa masilahi ya wenzio kujihami nawe umeruhusu akili yako iamini hivyo. Mabomu yamelipuka kanisani Arusha mimi nikiwa nje ya nchi, yamelipuka mkutanoni mimi nikiwa na mkutano muda huohuo. Hivi kwa akili ndogo tu ya darasa la pili mimi nisafiri nibebe bomu nikarushe ili iweje? Ruhusa akili yako ichambue mambo usimezeshwe na zero wako nawe unameza tu kama dodoki
Inasadikika ulifanya conspirancy ya mauaji ya Arusha soweto,Je uko tayari hizi shutuma ukajibie mahakamani savimbi?
 
Nikurahisishie, tangu mwaka 1993 kila mtahiniwa hupiga picha yake na kubandika kwenye self form na TSM9. Mtu akinunua jina hawezi kununua na sura ya mtu. Anzia hapo kuchunguza. Najua mmekosa pa kushika, shule haisomewi uvunguni inasomwa na watu wakiona. Nimejulikana tangu darasa la nne vijiji vya jirani wakaujua uwezo wangu kwa kupitia mitihani ya ujirani mwema. Tukuwa darasa la 6 na 7 ndio kabisa wanafunzi wenye ari ya kusoma tokea shule jirani walikuwa wanakuja kwetu kwa discusion. Sijazuka tu nikaonekana bungeni nakujulikana huko kama ninyi mnavyonifahamu baada ya kugusa SACCOS yenu chadema, wenzenu wananijua tangu primary. Sijawahi nunua jina. Kuishi Makunda, kuishi Iramba hakuna masna ya chimbuko la kinyiramba, kuitwa robnson haina masna ya kuwa mwingereza. Yaani akili zenu zimeishia hapo tu. Mbona baba katokea mwantuzi kule Simiyu alipohsmia kisana akiwa kijana hamjaona kama niwachunguzi. Kumbe majina nayo huuzwa.

Mhe Nchemba vipi kuhusu ugaidi wa Bomu lililoua watu Arusha unaohusishwa.
 
CCM haimilikiwi na ukoo bali ni chama cha watanzania wa kanda zote, wa dini zote na kabila zote. Ukitumia gharama ya serikali kwrnda kufanyia mapenzi dubai nakulipua bungeni ndio
Vipi Kama ukitembea na mke wa mtu Igunga unafanyaje. Heheheheheeeeeee, unalo
 
CCM haimilikiwi na ukoo bali ni chama cha watanzania wa kanda zote, wa dini zote na kabila zote. Ukitumia gharama ya serikali kwrnda kufanyia mapenzi dubai nakulipua bungeni ndio

Nasikia hukumu ya zitto mwakani juu ya uanachama wake
 
A'level amesoma Mazengo high school EGM 1998_2000. Alikuwa kipanga ile mbaya Tena usiongelee hesabu alikuwa anajiweza sana huyu jamaa. Ni pure intellectual tukiweka pembeni unafiki. Sema ukiwa siasani madongo utarushiwa tu.
Alikuwa Katibu was serikali ya wanafunzi pale Mazengo.
Kwa suala LA majina na ukabila sijui sana. Jamaa kapiga shule mwenyewe kama no kununua jina labda alirudia primary.
Nashauri tu wanaotaka kumfanyia utafiti wajiulize Mara mbilimbili wanatafuta jina au elimu yake?
Kama alitumia jina LA mwingine akasoma elimu iko kwa nano?
Basi kama atapatikana na hatia viongozi wengi wataachia ngazi. Wengi wamerudia hasa primary.
Kuna mwaziri wamerudia Mara saba.
 
Na hilo jina la madelu analotajwa nalo linahusiano gan?
 
Hiyo ya mtu kurudia Mara saba sikumbuki nilimsikia nani vile akiongea....hapo ndio ninapokoma na wabongo kama ni kweli.
 
A'level amesoma Mazengo high school EGM 1998_2000. Alikuwa kipanga ile mbaya Tena usiongelee hesabu alikuwa anajiweza sana huyu jamaa. Ni pure intellectual tukiweka pembeni unafiki. Sema ukiwa siasani madongo utarushiwa tu.
Alikuwa Katibu was serikali ya wanafunzi pale Mazengo.
Kwa suala LA majina na ukabila sijui sana. Jamaa kapiga shule mwenyewe kama no kununua jina labda alirudia primary.
Nashauri tu wanaotaka kumfanyia utafiti wajiulize Mara mbilimbili wanatafuta jina au elimu yake?
Kama alitumia jina LA mwingine akasoma elimu iko kwa nano?
Basi kama atapatikana na hatia viongozi wengi wataachia ngazi. Wengi wamerudia hasa primary.
Kuna mwaziri wamerudia Mara saba.
Uhakiki unaofanyika unatakiwa majina yalingane
1. Cheti cha kuzaliwa
2. Cheti cha darasa la saba
3. Cheti cha kidato cha nne
4. Cheti cha kidato cha sita
5. cheti cha Chuo (Taaluma)
Kama vitu hivi vitakuwa tofauti kwa mwigulu basi ni mtuhumiwa.
 
Back
Top Bottom