Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

Nimelazimika kufuatilia historia sahihi ya ndg Mwigulu au Lameck. Ukweli ni kwamba huyu jamaa ni mtoto wa sita kati ya watoto 16 wa mzee Mlingi maarufu kwa jina la utani Madelu. Mwigulu alizaliwa na kupewa jina la Mugulo likiwa jina la babu yake na jina la lameki lilikuwa jina la kizungu la mganga aitwaye Mwigulu aliyewapa dawa wazazi wake waliopelekwa na rafiki yake ambaye masaganya. Masaganya naye alipewa dawa na mgamnga Mwigulu Lameck na kumwita mwanaye Mwigulu. Jamaa huyu ambae ni mbunge sasa alisoma mpaka darasa la tano akaacha shule akitumia jina la Lameck na kwenda kambi ya mifugo na kurudi shule ktk darasa la sita alilotakiwakwenda akaacha miaka miwili ikapita kwa majina yote mawili yaani Mwigulu Lameck. Mpaka sasa ndio pekee aliyekwenda shule. Najua ndg yangu uko jkt na ulituaga kuwa mnanyanganywa simu, ukirudi elezea wapi nimekosea kwenye utafiti wangu huu

Pombe za ofa bana...!! unaamka kichwa kinauma afu lolote litakalokujia kichwani we unatiririka tu.
 
Sasa hii inatusaidia nini? Watanzania bwana, hivi kwanini tupoteze muda kujadili majina ya mtu na huku nchi ina matatizo kibao yanayoizunguka? Tujadili performance yake majina haya lolote la maana katika utendaji wake wa kazi. Umepoteza muda wako kutafiti majina yake ili kiwe nini?

Mjomba, vitu kama hii, inajadiliwa ili tuweze kujua Umasikini wetu asili yake ni nini? Umeanzia wapi? Kitu ambayo yule jamaa aliyezaliwa bila kichwa na madaktari bingwa wakachukua nazi na kumwekea juu ya shingo mpaka leo hajui unatokana na nini! Kama viongozi wenyewe ndo dizaini ya hawa wenye majina ya kutoka kuzimu, unategemea kutakuwa na maendeleo kweli bwana Madelu!
 
Roho za uganga ni hatari sana anahitaji deliverance huyu jamaa!
 
Ni mwaka 1995 Ilboru na jina lake la utani la faru likiwa na maana mtu anayependa kula sana na alikuwa wa kwanza mara nyingi kwenye foeni akiwahi chui yaani ugali,sumu yaani uji,kitei yaani wali na ng'ande yaani makande
Pia aliwahi kuwa dom leader wa oldonyo
Vile vile katibu wa bweni la oldonyo,akawa mwenyekiti wa shule akiwa o level kitu ambacho ni cha kwanza
PIA alipata div wani sijui ya ngapi ila haikuwa na hadhi ya ilboru ya wakati huu yaani single digit
Akajiunga mazengo na sifahamu chochote huko ila alipata div two na akajiunga na udsm 2001 na aliongoza mgomo wa wanachuo mabibo hostel ambao sikumbuki vyema ila alifukuzwa chuo na kurudishwa kwa masharti ya kutoshiriki migomo mingine
Pia kwa maisha ya asili yake ni mtu wa kawaida kabisa mfugani aliyechungu ngombe kabla ya kuanza shule tena akivaa ngozi na kubeba mkuki
Kwa jinsi anavyo enenda sana nahisi kuna ugonwa ambao kapata na heshima aliyopata ilboru haupo tena na wala sidhani kama kuna mwana ilboru special student anayemheshimu mwigulu au kwa aka ya wakati huo medilu mdogo original.
 
Huyu Jamaa inabidi watanzania wamwogope kama ukoma kwani inawsemekana analidwa na wakuu wake kwa gharama yoyote ile. je inakuwaje Mtu aliyetamka wazi na mchana kweupe kuwa ana ushahidi wa mkanda (Movie) ya Lwakatale na hasikamatwe na hata ile kuitwa tu polisi haitwi kutoa ushahidi.

Ebu ifike mahala Watesi wa watanazania ( CCM) waone aibu na wamwachie Lwakatale. Tumechoka kutizama movie hii isiyokuwa na kichwa wala miguu.

Mwigulu Michemba huyu watanazania wamwogoge kama ukoma maana ni mtu wa shari na mzushi, mtu wa kutunga mjanga. Leo hii anawaomba watanzania wamwombee uzima eti kuna jambo la kuwaeleza, je ni jambo gani hilo kama si kuwatesa watu kwa kuwanyofoa kucha na macho ,mwisho wa siku kuwasingizia wapinzani.

Hapana huyu jamaa ifike mahala watanzania wachukue hatua dhidi yake maana hafai kabisa ktk jamii ya watu waliostaarabika,na tukikaa hivi na kuwa tunasikiliza ngonjela zake mwisho wake tutajuta.

Wapinzani CHADEMA shikilia hapo mlipo shikilia kwani mpo sahhi, haijarishi mnatolewa bungeni leo watanzania wanajua kinachoendelea ndani ya CCM na hakika wameshindwa na mbinu zimewaishia hadi hapo. option walionayo kwa sasa ni kutumia mabavu.

Watashindwa tu mwisho wa siku na hakika wanawaongezea umaarufu wenyewe... Karibuni uraiani tuendeleze mapambano ya kujikomboa toka mkoloni mweusi CCM na Mafisadi wake...
 
Namchukia Mwigulu kuliko hata Idd Amini nilivyomchukia wakati wa vita vya Uganda
 
Huyu jamaa ni adui wa haki, adui wa Mungu na mwanadamu, ni mtu aliyetayari kuua kwa ajili ya kupata sifa. inakuwaje mtu anasponsor mambo ya kijinga kama mkanda wa Lwakatale is very pit kwa wapiga kula wake na watanazania wote wapenda haki.Hakika huyu jamaa siku moja ataangukia pua na siku ikifika yeye mwenyewe atajuta kwa ukora anaoufanya....
 
Katika watu ambao wataleta machafuko hapa nchini nadhani huyu ni mmojawapo. Kauli zake mbaya sana kwa mustakabali wa Amani ya Nchi ya Tanzania. Yuko tayari watu wachafukwe, wachapane, ili kulinda maslahi yake binafsi ya kisiasa na chama chake CCM. na asipoonywa mapema anaweza kufanikiwa katika lengo lake hilo! Maneno anayoongea mara nyingi yanatia Hasira sana!!!
 
Kumbe kule darasani mwiGulu alikuwa na akili! Fuatilia kwa class mate zako pengine wanajua ugonjwa gani aliugua mpaka akafikia hatua ya wendawazimu alio nao sasa.
 
Thread zinazohusiana na Mh. Mwigulu Nchemba zinaambatana JF sasa hivi kwa foleni. One after another. He must be someone special pamoja na kwamba kuna watu hawatadiriki kukubali kutokana na unafiki wa siasa za Tanzania.

Kama huyu binadamu ni mjinga wa kiwango cha juu kama baadhi ya watu wanavyotaka kutuaminisha hapa JF, kwa nini wanatumia nguvu nyingi kujaribu kumfukia kwenye kaburi la kisiasa to no avail.

He must be doing something special, ikizingatiwa siasa za Tanzania zinachagizwa na personality badala ya ideology
 
huyu jamaa wkt akiwa udsm aliwahi kufumaniwa akilamba dem wa rafki yake
Basi ana pepo la ngono. Sasa mbona mnadai ameokoka wakati yeye ni msumari usiochagua mbao?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwigulu ni kichaa kwanza hajengi hoja bungeni ni mropokaji, nahisi hata shuleni kakopi na kupest analishwa maneno ya kwenda kuropoka vipandevipande mfano wa mkanda wake wa kijinga aloungaunga kwa picha za rwakatare.
 
Namchukia Mwigulu kuliko hata Idd Amini nilivyomchukia wakati wa vita vya Uganda

huyu jamaa anaroho mbaya sana sidhani kama anandugu huko kijijini kwao.

huyu hata akifa asizikwe, afungwe aburuzwe kwanza mitaani kama Savimbi.!

anatia kinyaa sana, sidhani kama ni mtanzania halisi.!
 
Huyu Jamaa inabidi watanzania wamwogope kama ukoma kwani inawsemekana analidwa na wakuu wake kwa gharama yoyote ile. je inakuwaje Mtu aliyetamka wazi na mchana kweupe kuwa ana ushahidi wa mkanda (Movie) ya Lwakatale na hasikamatwe na hata ile kuitwa tu polisi haitwi kutoa ushahidi. Ebu ifike mahala Watesi wa watanazania ( CCM) waone aibu na wamwachie Lwakatale. Tumechoka kutizama movie hii isiyokuwa na kichwa wala miguu. Mwigulu Michemba huyu watanazania wamwogoge kama ukoma maana ni mtu wa shari na mzushi, mtu wa kutunga mjanga. Leo hii anawaomba watanzania wamwombee uzima eti kuna jambo la kuwaeleza, je ni jambo gani hilo kama si kuwatesa watu kwa kuwanyofoa kucha na macho ,mwisho wa siku kuwasingizia wapinzani. Hapana huyu jamaa ifike mahala watanzania wachukue hatua dhidi yake maana hafai kabisa ktk jamii ya watu waliostaarabika,na tukikaa hivi na kuwa tunasikiliza ngonjela zake mwisho wake tutajuta. Wapinzani CHADEMA shikilia hapo mlipo shikilia kwani mpo sahhi, haijarishi mnatolewa bungeni leo watanzania wanajua kinachoendelea ndani ya CCM na hakika wameshindwa na mbinu zimewaishia hadi hapo. option walionayo kwa sasa ni kutumia mabavu... watashindwa tu mwisho wa siku na hakika wanawaongezea umaarufu wenyewe... Karibuni uraiani tuendeleze mapambano ya kujikomboa toka mkoloni mweusi CCM na Mafisadi wake...

Wewe naona akili yako ni mbovu. Anza wewe kumchukulia hatua, usituambie ujinga wako hapo wa CDM. WEWE UNAJUA KILA SIKU POLISI WATU WANGAPI WANAHOJIWA? UNADHANI KILA MTU AKIHOJIWA LAZIMA UJUE? SHAME ON YOU!
 
huyu jamaa anaroho mbaya sana sidhani kama anandugu huko kijijini kwao.

huyu hata akifa asizikwe, afungwe aburuzwe kwanza mitaani kama Savimbi.!

anatia kinyaa sana, sidhani kama ni mtanzania halisi.!

Roho mbaya ipi aliyonayo Mwigulu? Ni lazima ana ndugu hata kama hutaki, hata akifa ataenda na yake na wewe siku yako ipo, hiyo ni njia ya wote. Ni Mtanzania halisi mwenye uchungu na nchi yake.
 
Sio muda mrefu atakuwa kwenye sewage kama zile ( kondomu) nyingine . Na sisi tutaendelea kupeta tu.
 
Huyu Jamaa inabidi watanzania wamwogope kama ukoma kwani inawsemekana analidwa na wakuu wake kwa gharama yoyote ile. je inakuwaje Mtu aliyetamka wazi na mchana kweupe kuwa ana ushahidi wa mkanda (Movie) ya Lwakatale na hasikamatwe na hata ile kuitwa tu polisi haitwi kutoa ushahidi. Ebu ifike mahala Watesi wa watanazania ( CCM) waone aibu na wamwachie Lwakatale. Tumechoka kutizama movie hii isiyokuwa na kichwa wala miguu. Mwigulu Michemba huyu watanazania wamwogoge kama ukoma maana ni mtu wa shari na mzushi, mtu wa kutunga mjanga. Leo hii anawaomba watanzania wamwombee uzima eti kuna jambo la kuwaeleza, je ni jambo gani hilo kama si kuwatesa watu kwa kuwanyofoa kucha na macho ,mwisho wa siku kuwasingizia wapinzani. Hapana huyu jamaa ifike mahala watanzania wachukue hatua dhidi yake maana hafai kabisa ktk jamii ya watu waliostaarabika,na tukikaa hivi na kuwa tunasikiliza ngonjela zake mwisho wake tutajuta. Wapinzani CHADEMA shikilia hapo mlipo shikilia kwani mpo sahhi, haijarishi mnatolewa bungeni leo watanzania wanajua kinachoendelea ndani ya CCM na hakika wameshindwa na mbinu zimewaishia hadi hapo. option walionayo kwa sasa ni kutumia mabavu... watashindwa tu mwisho wa siku na hakika wanawaongezea umaarufu wenyewe... Karibuni uraiani tuendeleze mapambano ya kujikomboa toka mkoloni mweusi CCM na Mafisadi wake...
aaah wapi?Tangu lini mtu anaepeleka kidhibiti cha kufanyika uhalifu anakamatwa?unajuaje kama hakuhojiwa siku anapeleka huo mkanda?
 
Back
Top Bottom