Sasa sikilizeni JF; naona watu mnazungumza mambo mengi bila mrejesho hapa!! Jamani hatujui kweli kuwa kutumia jina la mtu mwingine ili kutengeneza maisha/future yako ''is indeed illegal?'' Jamani hilo ni kosa la jinai kabisa. If somebody pursues it further, this, the so called Mwigulu wa CCm can be in melting soup. Haiwezekani, the real Mwigulu awe yuko wapi sijui anachunga ng'ombe na huyu jamaa anakula maisha ya kifisadi kwa kutumia jina la mtu mwingine!!! Pamoja na kuwa ni MP lakini amehalifu sheria na haki ya mtu mwingine. In fact this could be a TAKUKURU case as well. Jamani hakuna Wanasheria katika JF wanaoweza kuliweka sawa hilo? Kwa nini anaachwa huyu? Why is this fisadi getting away with this? NO bwana, ameharifu sheria na haki ya mtu mwingine, lazima ashitakiwe. Najua the real Mwigulu may not take it that serious but wapenda haki lazima tuone haki ikitendeka kwa kumfikisha jamaa huyu mbele ya kiti cha hakimu wa sheria za nchi. Haiwezekani. Kuna post iliyopita hivi karibuni imetoa jina halisi, shule aliyosoma, na Mwl mkuu aliyehusika na kubadilisha jina nk This is the right source to nail him down. Kama post ile ina UKWELI, narudia kama kuna ukweli, basi taarifa kamili zinaweza patikana hospital alikozaliwa, kanisani alikopata ubatizo, kipaimara nk, shule yake ya msingi, kisha tutaona jinsi jina lilivyobadirishwa ghafla na kuwa la Kisukuma!! No... do not leave this just like that eh! Sasa naona ni kwa nini ana tabia za ajabu hivi... maana tabia ya mtu hujengeka tangu akiwa mdogo na hukua nayo. Kama ni kweli basi Hafai hata kidogo kuwa Mbunge wa Taifa [National MP] Zingatieni hilo maana siyo dogo hilo.