Tulia NECTA wafanye kazi zao muda ukifika utajitetea mheshimiwaA'level amesoma Mazengo high school EGM 1998_2000. Alikuwa kipanga ile mbaya Tena usiongelee hesabu alikuwa anajiweza sana huyu jamaa. Ni pure intellectual tukiweka pembeni unafiki. Sema ukiwa siasani madongo utarushiwa tu.
Alikuwa Katibu was serikali ya wanafunzi pale Mazengo.
Kwa suala LA majina na ukabila sijui sana. Jamaa kapiga shule mwenyewe kama no kununua jina labda alirudia primary.
Nashauri tu wanaotaka kumfanyia utafiti wajiulize Mara mbilimbili wanatafuta jina au elimu yake?
Kama alitumia jina LA mwingine akasoma elimu iko kwa nano?
Basi kama atapatikana na hatia viongozi wengi wataachia ngazi. Wengi wamerudia hasa primary.
Kuna mwaziri wamerudia Mara saba.
Haha you mean the man is from Malawi?Hata Mbowe ni jina la KINYASA
Mkuu nazungumzia JINA siyo MTU!Haha you mean the man is from Malawi?
Ndugu tatizo la Mwigulu ni kwamba, yupo tayari hata kuondoa roho ya binadamu mwenzake ilimradi tu malengo yake yatimieA'level amesoma Mazengo high school EGM 1998_2000. Alikuwa kipanga ile mbaya Tena usiongelee hesabu alikuwa anajiweza sana huyu jamaa. Ni pure intellectual tukiweka pembeni unafiki. Sema ukiwa siasani madongo utarushiwa tu.
Alikuwa Katibu was serikali ya wanafunzi pale Mazengo.
Kwa suala LA majina na ukabila sijui sana. Jamaa kapiga shule mwenyewe kama no kununua jina labda alirudia primary.
Nashauri tu wanaotaka kumfanyia utafiti wajiulize Mara mbilimbili wanatafuta jina au elimu yake?
Kama alitumia jina LA mwingine akasoma elimu iko kwa nano?
Basi kama atapatikana na hatia viongozi wengi wataachia ngazi. Wengi wamerudia hasa primary.
Kuna mwaziri wamerudia Mara saba.
Hilo ndilo Tatizo lake, ni mafia kweli kweli na hafai.Ndugu tatizo la Mwigulu ni kwamba, yupo tayari hata kuondoa roho ya binadamu mwenzake ilimradi tu malengo yake yatimie
Kwa hiyo Nikiwa Na Phd Feki Nikiitumia Ikuru kwa Kiswahili na Isitumike Mahari Pengine sitatumburiwa na Mama Nderichako? heeeee Nitarara nayo mbere!Ila inatakiwa kufahamu kuwa NECTA target yao siyo hiyo. Wao wanataka kujua kama cheti cha mtu mmoja kinatumika sehemu mbili? Ndilo hili tu kwa nijuavyo mimi na ndivyo ilivyo.
Mmafia Uchwara, Hajawahi Kujaribu Umafia wake Kwa Watu Kama sisi! ambako anakoamkia, tulishalala tukaota, tukaamka na sasa tunalala usingizi wa jicho moja, moja!Hilo ndilo Tatizo lake, ni mafia kweli kweli na hafai.