Historia fupi ya marehemu

Wakiwa na nyuso za bashasha kabisa watu hawa wakiwa wamebeba masalia ya marehemu
makabidhiano ya ushahidi wa kifo cha marehemu mbele ya kiranja mkuu
kwa hiyo PM alipotoshwa, siyo?
 
Hii thread inanivunja mbav[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mkuu leo tunaongeza afya ni mwendo kucheka tu,
shemeji yako akaniuliza mbona unaangalia sim afu unacheka?
Nikamwambia kuna taarifa ya msiba. Na yeye akafungua yakwake akaanza kucheka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…