Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

Duh !!!!!kweli hawa watu walking madili .nimezipenda life styre zao kama kweli wana faa kuigwa
 
Mdharuba hujaweka tangu juzi, hivyo leo uweke episodes 3 kama penalty kwa kutulaza njaa!!😛anda:

Duuh hatarii...kama ndani ya siku 3 cjaweka hata moja, ntaweza kuweka tatu kwa siku kweli?? Hahhhaaa.. Sijuiii
 
Kumbe Hadithi za kutunga za Mapenzi
Mimi nilishtuka hasa kutumia jina la JK
sawa ni lako lakini malizia basi la Mdharuba
JK Mdharuba
ndipo uendelee na hako kahadithi ili tukipata muda tujongee kuisoma

Hahahaaa...
mi mwenyewe mwanzoni nilikua naipita tu nilijua imepotea jukwaa.
 
Back
Top Bottom