Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,284
- 6,750
Ur left brained
ushazeeka mzee baba, umri umesonga sana,Hello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Mwambie admin akuadd kwenye group naona umeshaleftHello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Ufanye kipimo cha hormone..sio kawaida kwa MWANAUME RIJALI KUWA KAMA WEWE.Hello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Hahahahawe hizo hisia unataka uwe nazo za nini?
Kwa hiyo atuandikie USIA au WOSIA wajukuu zake?Unakaribia kufa
Mbona na mimi nipo kama mtoa mada ingawa mimi ni miaka 5 sasa. Je, kwa hali hii, unanisaidiajeMpaka umejua huna hisia tayari unazo.
Mtu asiye na hisia hata kukumbuka hawezi..!!
Mapenzi ni hisia tu. Ukizipotezea zinapotea.Hello everybody, straight to the point.
Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.
Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa
Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.
kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Kabisa mkuuKwa hiyo atuandikie USIA au WOSIA wajukuu zake?
Kwa nini aogope mkuu?Kwanza tujue kama una mpenzi/mke, una umri gani? Mambo ni mengi, ogopa sana kukosa hisia za kimapenzi
suala la uchumi hupunguza sana hisia za kimapenzi, maana ukijifanya una mzuka wa kimapenzi huku huna hela utaibika, hutapewa shoo ya bure, siku hizi mademu hawaangalii uhandsamboi, ni pesa tuInatokea sana hiyo, kuzongwa na mambo mengi hasa ya kiuchumi, uchumi wako kiujumla, system ya wazazi/walezi wako maisha gani? Wameishi au wamekulea
Tabia yako kiujumla, sio wa kujisogeza sehemu unaweza pata ngono kirahisi, mahesabu makubwa kichwani nikifanya hivi itakuwa hivi,
Hali ya kawaida uzuri kama upo kama binaadamu wa kawaida ni vizuri na unatambua jinsi ulivyo, ukiwa teari utafute mwenza, hizo ni hali za kawaida binaadamu hatupo.. sawa
Mi namaliza mwaka sasaMbona na mimi nipo kama mtoa mada ingawa mimi ni miaka 5 sasa. Je, kwa hali hii, unanisaidiaje
sasa kama huna hisia za kimapenzi utaendeshaje mapenzi? Kukosa hisia hisia hizo ina maana hakuna nguvu za kiume, nguvu za kiume ndio uhai wa uzazi, bila uzazi hakuna uzazi kuendeleaKwa nini aogope mkuu?
miili yenu imepoa, mtakuja kutukanwa matusi makubwa siku mtakapochanganya chumbani kutaka kuzangamua demuMi namaliza mwaka sasa