Hisia za mapenzi zimepotea

Hisia za mapenzi zimepotea

Si ndo vizuri ama?

Mazaga zaga kama heart breaks,magonno yanakupitia kushoto,hela zako zinaishia kwenye vitabu tu unavyodai unasoma
Mkumbushe pia kutotumika nako ni Misuse!
 
Hello everybody, straight to the point.

Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.

Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa

Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.

kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Unataka ushauri wa nini sasa! Wa kuziamsha hizo hisia, au!
 
Mkuu, you have to get out on the real world, utakufa ndugu... Too much books pia inachamgamoto zake, acha kuishi kivyako vyako. Nenda club kunywa pombe, vuta mtoto mkali piga machine. Hisia zitakuja automatically.

At the end of the day, we all die so what's the point. Kuna muda nilikuwa addicted to self help books, and bro, it only messed my sanity. Take this from me, no one is going to tell you what you should do with your life. Anza Sasa kuishi vile utakavyo, books neither will,
 
Hello everybody, straight to the point.

Mimi ni introvert na muda wangu mwingi nimekuwa nikiutumia kufanya mambo magumu, kama kusoma vitabu vyenye hard logics, kutengeneza complicated algorithms, and the rest.

Nimejikuta hamu ya kufanya sex au kuwa na mpenzi imepotea kabisa, miaka kama mitatu sasa

Sipigi punyeto wala siangalii pornography, kwani ingekuwa hivyo ningeshajua shida iko wapi.

kwahiyo nahitaji ushauri, je ni kawaida kwa binadamu kukosa kabisa hizo hisia?
Shida Iko hapa,
1. Hauna Hela.
2. Hauna ajira.
 
kipindi kile watu wanashikwa mabega wewe hukuvaa pin ?
 
Ni jambo jema sana unaogopa nini sasa wenzako hisia kupata mpka tunywe pombe au tuvute bange
 
Back
Top Bottom