Tangu nimeacha Punyeto nimeishiwa hisia za Mapenzi

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari wakuu,

Kwa Kipindi cha Miaka 10 kuanzia mwaka 2010 nimekuwa nikijiingiza kwenye upigaji uliokithiri wa Punyeto na kilichosababisha kujiingiza huko ni baada ya kusikiliza stori za rafiki yangu akiwa anasifia huu mchezo.

Mwaka 2018 Mwishoni rasmi niliamua kuacha huu mchezo baada ya kuona hali yangu ya ufanyaji mapenzi imebadilika kabisa uume ulikuwa unasimama kwenye romance tu baada ya hapo hamna kitu hii hali imetokea kwa wanawake wanne..

Wakuu kilichonileta Hapa Haikuwa rahisi kuacha ila nimeacha kabisa na nimesahau kama nishawahi kuwa Addicted na Hichi kitu .

Ila wakuu Kiuhalisia nimekuwa mtu mwenye Uoga wa kuingia tena kwenye mahusiano ya mapenzj naogopa hii hali isije kujirudia tena japo nimeacha kabisa.

Pia Nimekuwa nikijihisi kama sina hisia yoyote ya mapenzi japo mwanzo naacha nilikuwa napata hisia kali za kufanya mapenzi ila kwa sasa sina kabisa wakuu..

Naombeni Ushari na Msaada juu hili
 
Mkuu hongera sana na pole sana pia, nafkiri ni swala tu la saikolojia na huo ni uoga tu kimsingi. Nashauri utafute Manzi wa mitaa ya mbali kabisa na ulipozoeleka ambae unajua hata usipo perform mtaachana kimjini mjini tu.

Demu wa mbali atakufanya usiwe na wasiwasi sana kwamba ukishindwa game itakuwaje. Kingine jaribu kufanya mazoezi ya mwili na ule vizuri
 
Mkuu hongera sana na pole sana pia, nafkiri ni swala tu la saikolojia na huo ni uoga tu kimsingi. Nashauri utafute Manzi wa mitaa ya mbali kabisa na ulipozoeleka ambae unajua hata usipo perform mtaachana kimjini mjini tu, demu wa mbali atakufanya usiwe na wasiwasi sana kwamba ukishindwa game itakuwaje. Kingine jaribu kufanya mazoezi ya mwili na ule vizuri
Asante mkuu kwa ushauri
 
Tafuta demu anayekupenda, hakikisha ni mvumilivu, jiamini kuwa ww ni mwanaume kamili na umepewa uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote yule.

omba mechi ila hakikisha demu anakuvutia na ajue kukuvutia, weka mawazo kwenye kufanikisha tendo, usisahau kufanya mazoezi kunywa maji ya kutosha na kutabasamu muda mwingi hasa uwapo faragha

Hata kaka zako tumepita huko, wewe uko fresh mbona
 
Tafuta demu anayekupenda, hakikisha ni mvumilivu, jiamini kuwa ww ni mwanaume kamili na umepewa uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote yule,

omba mechi ila hakikisha demu anakuvutia na ajue kukuvutia , weka mawazo kwenye kufanikisha tendo, husisahau kufanya mazoezi, vuta pumzi ndefu relax, kunywa maji ya kutosha na kutabasamu muda mwingi hasa uwapo faragha

Hata kaka zako Tumepita huko, wewe uko fresh mbona
 
Mkuu una tatizo ambalo niliwahi kua nalo...
Niliweka nyuzi humu, mm nilifkiria labda wife kaniroga nisitoke nje maana kwake napiga mzigo freshhhh

Hapo dawa ni kupata busta tu kwa sku ya kwanza kurud ulingoni kwa ajili ya ku build confidence again baada ya hapo utakua kama awal au zaid uta ni thank me later.

Busta ni vega vidonge viwil 1 hr before game.......yaan utapiga mzigo mpaka demu atalia kma nyau......bao 1...2....3...mnyama atakua bdo tu anasoma 4g.
 
Tafuta demu anayekupenda, hakikisha ni mvumilivu, jiamini kuwa ww ni mwanaume kamili na umepewa uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote yule,

omba mechi ila hakikisha demu anakuvutia na ajue kukuvutia , weka mawazo kwenye kufanikisha tendo, husisahau kufanya mazoezi, vuta pumzi ndefu relax, kunywa maji ya kutosha na kutabasamu muda mwingi hasa uwapo faragha

Hata kaka zako Tumepita huko, wewe uko fresh mbona
Asante sana mkuu kwa ushauri ni mzuri sana ntaufanyia kazi japo hapa katikati nimepata bahati ya kupendwa na wasichana wengi ila nawakimbia kiivyo tu..
 
Asante sana mkuu kwa ushauri ni mzuri sana ntaufanyia kazi japo hapa katikati nimepata bahati ya kupendwa na wasichana wengi ila nawakimbia kiivyo tu..
Husikimbie jiamini ni hali ya kawaida kwa mwanaume yeyote sio wewe peke yako, mwanaume rijali mapito hayo ni kawaida mbona

Achana na porojo za page za udaku na matangangazo yao, achana na majigambo ya vijiweni ww amini uko kamili omba shoo za kutosha watoto watafurahia shughuli yako
 
Asante sana mkuu Mungu akubariki sana kwa ushauri wako nimeupokea.
 
Kwasasa nakushauri wekeza jitihada kwenye mazoezi ya mwili na kupumzika. Lakini pia usisahau kula vile vyakula vinavyochochea mwili kuwa active.

Mfano, tende shake iliyowekwa karanga mbichi, kula ugali wadona ushibe, matunda, na maji kwa wingi. Ukifanya mfululizo kwa muda wa miezi sita utaona namna utarejea kuwa active.
 
Back
Top Bottom