Hip Hop tumewakosea nini mabinti?

Hip Hop tumewakosea nini mabinti?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,058
Reaction score
134,395
Warembo niwaulize,men mnisaidie,kwa nini mabinti hawana feelings na wana wenye Hiphop lifestyle.Acha uhusiano wa mapenzi,hata ngoma zetu za movement "harakati" hamtaki kuskiza!Hata zile ngoma tunazowaimbia mnaziweka kapuni."Renee-Lost Boyz","Sonia,Radhia-Juma Nature", Mbona inakuwa kama nini warembo
 
Unataka kujuwa siri ya mafanikio? tega sikio.

kwanza hip hop imealibiwa sana na usela mavi na hata wewe ni shahidi show za hiphop nyingi watu wanataka kujionesha wao ndio wamedata.

wanawake kiasili hasa wabongo hawapendi vitu vigumu wao wanapenda vitu vyepesi na vya kipuuzipuuzi.

ona shigongo alivyotajirika wateja wake ni wanawake,ona bongo movie wateja ni wanawake, hawa wanawake zetu wasuguwa visigino hata uje na movie ya Hollywood yenye Oscar award wala hana time nayo.

kuna mapinduzi makubwa yanahitajika kwenye hiphop na si kung'ang'ania tu hard call, harakati bila akili ni ujinga mtupu.

mkombozi wa hiphop bongo sasa hivi nikufanya collabo na wasanii wa radha tofauti mfano angalia collabo ya psquire na fally ipupa.
 
Kuna badhi ya ngoma huwa napenda kusikiliza ila sio mpenzi kihivo wa Hip hop

hapo nilipokuquote simpendagi Nay wa mitego ila ule wimbo alioimba na Diamond naupenda sana
kama ingekuwa ngoma yake sidhani ka nimgeipenda sana
 
Maudhui hayo hayo yakiimbwa ki slow music, mwanamke anaweza akaupenda mziki huo. So sijaelewa kitu, mambo ya kijinga ni hata hiyo tone ya music laini ama ni nini?
 
Hatuna shida nao waache waende kwa wakata vyuuno wao!
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?
 
  • Kiongozi Matola , hili nalo neno
ona shigongo alivyotajirika wateja wake ni wanawake,ona bongo movie wateja ni wanawake, hawa wanawake zetu wasuguwa visigino hata uje na movie ya Hollywood yenye Oscar award wala hana time nayo.
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?
 
Kuna badhi ya ngoma huwa napenda kusikiliza ila sio mpenzi kihivo wa Hip hop

hapo nilipokuquote simpendagi Nay wa mitego ila ule wimbo alioimba na Diamond naupenda sana
kama ingekuwa ngoma yake sidhani ka nimgeipenda sana

huo n wimbo wa ney wa mitego,na huyo diamond unaemkubali kashirikishwa tu,japo naye anafanya kaz poa
 
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?

Hapa mkuu umeongea kweli
 
hapa ngumu tamaduni music ndo nyumba ya hiphop kuna nikki mbishi one songa ostadh nash juma na mistari akina dada msubirini plutnum huku hatuwataki
 
Tusiwazire,dunia hii imejaa challenges,kina Diamond wanawaharibu watoto,wanawanyaa wakose fikra ngumu,hiphop ni mkombozi wa fikra.Ni kama Dr.Slaa akisema leo "mtajijua wenyewe",unadhani itakuweje
 
mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?

Mkuu Matola unanena vyema,what do u sugest to be done
 
Kinachosumbua hip hop ni nguvu nyingi, akili ndogo na kujidai ubabe hata pasipotakiwa.

Ila cha ajabu, mie na John Makini ni kitanda na shuka, nampenda sana huyu mwanamziki. Nitafutie kibao chake cha 'nikumbatie' akiwa na fundi Samwel.
 
Kivipi hip hop mkombozi wa fikra?
Nipe mfano kwa hapa TZ walivyokomboa fikra.

Tusiwazire,dunia hii imejaa challenges,kina Diamond wanawaharibu watoto,wanawanyaa wakose fikra ngumu,hiphop ni mkombozi wa fikra.Ni kama Dr.Slaa akisema leo "mtajijua wenyewe",unadhani itakuweje
 
Tusiwazire,dunia hii imejaa challenges,kina Diamond wanawaharibu watoto,wanawanyaa wakose fikra ngumu,hiphop ni mkombozi wa fikra.Ni kama Dr.Slaa akisema leo "mtajijua wenyewe",unadhani itakuweje

wanaharibu watoto ndio ila ukikubalika na akina dada ndo umekubalika na taifa so tutafanyaje kama akina shigongo na clouds wanawasupport hao waharibifu wa watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom