Hip Hop tumewakosea nini mabinti?

Hip Hop tumewakosea nini mabinti?

Hivi hip hop ndio wale wanavaa sarawili chini ya ninihii......na vingine vinakuwa vimewabana.......ndio hao......?

Hao ni bongo fleva kwa ujumla, hata diamond alibong'oa na kuonesha makalio na boxer yake kwenye tamasha la fiesta.

Hiphop unaweza kuchana hata ukiwa ndani ya suti, unaweza kumcheck Makaveli kwenye mipini kadhaa.

but/lakini sikutegemea swali hili kutoka kwa mrembo makini kama Preta from Rchuga.
 
Last edited by a moderator:

Mi napenda Gospel mkuu.......huko niulize chochote.......
 
Last edited by a moderator:
Ishakua mbaya ishakua soo kiitikio cha ngoma ya CHINDO FT JCB ukiiskiliza ndo utaelewa hip hop ilianzia wapi jamaa anawataja kina chuck d, rakeem na anakuambia kina 2pac,big ndo waliua hip hop halisi wakaleta cmercial badala ya harakati
 
Mi napenda Gospel mkuu.......huko niulize chochote.......

umenifanya nikumbuke ile nyimbo ya binamu, lakini alikufa kwa ngoma.

mule kulikuwa na mtu hata ukimuuliza nyumba aliyoipenda basi ilikuwa nyumba ya ibada.

last week kuna mchungaji Facebook ameilike page ya safari lager, bado am just curious.
 
Ishakua mbaya ishakua soo kiitikio cha ngoma ya CHINDO FT JCB ukiiskiliza ndo utaelewa hip hop ilianzia wapi jamaa anawataja kina chuck d, rakeem na anakuambia kina 2pac,big ndo waliua hip hop halisi wakaleta cmercial badala ya harakati
hizi harakati unazoziongelea wewe za kwenda wapi?

2pac ndio msanii wa kwanza wa hiphop kuvunja rekodi ya mauzo ya copy alipotoa all eyes on me,cd mbili kwa mpigo, sasa ni harakati zipi mnazozitaka nyinyi?
 
Warembo niwaulize,men mnisaidie,kwa nini mabinti hawana feelings na wana wenye Hiphop lifestyle.Acha uhusiano wa mapenzi,hata ngoma zetu za movement "harakati" hamtaki kuskiza!Hata zile ngoma tunazowaimbia mnaziweka kapuni."Renee-Lost Boyz","Sonia,Radhia-Juma Nature", Mbona inakuwa kama nini warembo

Swali si kwa nini wanawake hawapendi hip hop, swali ni lwa nini wanawake wapende hip hop.

Sikiliza wimbo kama Dr. Dre's Bitches Ain't Shit

" Bitches ain't shit but holes and tricks
Lick on these nuts and suck the dick
Get the ---- out after you're done
And I hops in my ride to make a quick run"

Na huu ni wimbo popular tu.

Nilikuwa najiuliza inakuwaje wanawake wa Marekani wanakubali muziki kama huu (kabla ya kuelewa vizuri free speech concepts kimarekani na ghetto dynamics)

Sasa mwanamke asipopenda muziki huu utashangaa nini?

Of course hip hop is not monolithic, but the above lyrics are not atypical.

Jamani msiwe mnacheza beat tu, sikilizeni lyrics muelewe.
 
Hip Hop for life,

Prof J, nash MC, Niki mbishi, Chindo man, Jay Mo, Mangwea (RIP), D-Knob, GWM enzi hizo, Nature, Fid Q, 2 Pac, Rick ross, Kanye, The Game, lil Wayne, TI, Jay Z n.k

Raha sana kusikiliza Hiphop. Siri ya kupenda hiphop siku zote ni kusikiliza mistari na sio kusikiliza wimbo. Hiphop haiwezi kupendwa na wale ambao kusikiliza or kuelewa mistari ni kizungumkuti. Katika hiphop Mistari kwanza mengine baadae.

Wanaobeza kuwa Hip Hop haina mvuto cheki kidunia, currently 4 of the top earners are Hiphop artists
 
Mbona tunazielewa kinoma hzo ngoma? au wanaokuzunguka hawana mzuka nazo? ucnambie ni wapenzi wa vinyulinyuli!
binafsi napenda kuzsikiliza mmh balaa
 
Mi napenda Gospel mkuu.......huko niulize chochote.......

Unamfahamu Deitrick Huddon, Lecrae, Da truth, Canton Jones etc.. hawa wote wanaimba Gospel lakini ni HipHop/Rap

Chalii wangu Preta, I long for your response
 
Last edited by a moderator:
Ishakua mbaya ishakua soo kiitikio cha ngoma ya CHINDO FT JCB ukiiskiliza ndo utaelewa hip hop ilianzia wapi jamaa anawataja kina chuck d, rakeem na anakuambia kina 2pac,big ndo waliua hip hop halisi wakaleta cmercial badala ya harakati

west zaid ya kanye,zingua nikuwatanye,kosea nikukanye,potea nikukukusanye,zingua nikubanye!toka chimbo maskani nakosizi,na machizi,thug nimepinda,cop wananiwinda,mtaa unanilinda!mbwa aah,mzuka aah,nipo kikosini nipo b burn!don aah,sule aah,pigeni masimbi tukisongeshe kikosi,...CHINDO na Jcb
 
Ishakua mbaya ishakua soo kiitikio cha ngoma ya CHINDO FT JCB ukiiskiliza ndo utaelewa hip hop ilianzia wapi jamaa anawataja kina chuck d, rakeem

Nakopakaa kwny dimba vimba ka simba,timba chimba rap sio imba,kimba mimba tumbo limevimbaa!.....nategemea kuwa baba wa watoto wawili,album ya pili watanelewa wenye akili,dili stil zinaenda mbilimbili,..overweight mc niko hapa,chapa bapa,old skul rapa,wapa kapa naona big papa,
 
hapa ngumu tamaduni music ndo nyumba ya hiphop kuna nikki mbishi one songa ostadh nash juma na mistari akina dada msubirini plutnum huku hatuwataki

TAMADUNI NOMA SANA NAWAKUBALI HAO JAMAA,madada wasubir sana hatuna mpango nao
 
HIP HOP ya Tanzania ina walakini, mb0na ya kina Wiz khalifa inakubalika hadi kwa madada!
 
hip hop utulivu uwelewi fuatilia sebene-Young killer..

I LOVE HIP HOP..

inajenga inafundisha inahamasisha...
 
sikiliza hizi album kwa sasa kutoka tamadun
1.Mathmatrix -songa na ghetto ambassador
2.wakati-songa
3.mwingi wa habari-pthemc
4.mzimu wa shabaan robert-nash emcee
5.love stories-azma mponda
6.chizi-emcee
na nyingine nyingi toka tamadun muzik ...
 
[h=1]One the incredible - One the Increidible,[/h]
g'Hm mHm
Uno
yeah, Duke touches
smarter
ah yeah
bet you never saw this coming
its the incredible bady, the incredible baby
verse 1
Duke anasema nina flow kama rasta
so hata nikichonga ngoma inakuwa poa kama culture
snitch akiniboa namtoboa, nampa haswa
namchojoa namkoboa nampadoa nampachata
mi ndio MC ninayekoboa na kunyoa ninavyotaka
tungo zinakupa uoga kama doa ya mashaka
nikikohoa roho inapoa inatakata
moko kavu niko poa niko haswa
wanataka kujua ninapotoa ninachowapa
nakodoa, matozi wanapodoa mpaka swaga
game nimeioa tena ndoa ya kichaga
nakunjuka na kunoa nachoma najikata
loa takata na takata unavyotaka
usisihau kutoa sadaka kwa baba upate baraka
maisha yakikaba unakabwa, ukikabwa unakuwa sadaka
tungo kwa chapter, umepata nini hapa

chorus
mi ndo one the incredible
tungo zangu kifungo na funzo kwa wapumbavu
the i, the incredible baby
one the incredible
ngunzo zangu za tungo ni funzo la tunzo kavu
matunzo ya zangu tungo ni gumzo ndio maana mkavu

verse 2
ninapoandika ninasikika, jitahidi kufanya vipya
nafikaa ninapohitajika, naskika naumiza kichwa
picha ya utunzi wa vita ya visa inachanika
nakubadilika kuwa mistari ninayoiandika
mistari yangu ina ujumbe, mitari yangu ina somo
njo mistari yangu nikupe ujifunze kutumia mdomo
ukitaka chukua utupe ukitaka niunge mkono
ninachotaka we ukumbuke miujiza yauwezo wa somo
nakurudisha nyuma mistari yangu inasimama
hip hop inavuma, nachuna kicha nabana
unacheza dili zinabuma, nacheza zinapangana
unashangaa kisha unanuna, mi navuma kama Osama
tungo zangu kifungo na funzo kwa wapumbavu
ngunzo zangu za tungo ni funzo la tunzo kavu
matunzo ya zangu tungo ni gumzo ndio maana mkavu
na tungo zangu mafumbo, midundo inanipa tafu
twende

chorus
mi ndo one the incredible
tungo zangu kifungo na funzo kwa wapumbavu
the i, the incredible baby
one the incredible
ngunzo zangu za tungo ni funzo la tunzo kavu
matunzo ya zangu tungo ni gumzo ndio maana mkavu

verse 3
nna black Ts, na white snickers kwa foot
ni high kicker right na like zigga kwa booth
jamaa yuko tight sikiza high P na truth
na like shit up little nigga skio kama proof
ni hit rapper bwana mdogo, hii hapa ni noma
skill grafit over deal za ku bana kwa kona
still noma skill zinawa grill kama nyama choma
na hii kibosi, maspit yanawa leave kwenye koma
hii sio next level, hii ni illmatic level
skill adicts tuna stick na deal kari mpaka kesho
ill habit zina teach, new kari ka michezo
ndo maana illmatics still kali ka mitego
siishiwi kama mwanga wa jua
ni sawa na kubisha tanga kuna wanga wakati wajanja wanajua
kuwa hii kinanda mi napanda mpaka stanza inakua
na hauwezi kuwa juu kama maujanja hujajua
so twende

chorus
mi ndo one the incredible
tungo zangu kifungo na funzo kwa wapumbavu
the i, the incredible baby
one the incredible
ngunzo zangu za tungo ni funzo la tunzo kavu
matunzo ya zangu tungo ni gumzo ndio maana mkavu
 
One.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom