Hip Hop tumewakosea nini mabinti?

Hip Hop tumewakosea nini mabinti?

Kivipi hip hop mkombozi wa fikra?
Nipe mfano kwa hapa TZ walivyokomboa fikra.

Mkuu mi nipo global,Bongo is not my case study.tuzungumzie msingi wake,talk about Nas,KRS One,Lost Boys and many more.hata hapa Bongo wapo,mziki kama wa Sugu,Fid Q,Chindo Man,prof.Jay,Roma,Afande sele!wanafunza sana ujasiri
 
ushirikishwaji wake umenifanya niipende hiyo ngoma

inawezekana asingeshirikishwa nisingeijua

okey,ndio tatizo kubwa kwa wasichana wa kitanzania
wenyewe huanza kumpenda mtu,kabla ya kaz zake
nyie mliosoma ndo mngekuwa dira ya kuenzi huu mziki wa mapinduzi mfn KKK wa roma unaujua???
 
hip hop tama sana jamani acheni tuu engine week end kama hii tunaimalizia kwenye hip hop .
 
Kivipi hip hop mkombozi wa fikra?
Nipe mfano kwa hapa TZ walivyokomboa fikra.

umewahi kuskiza wimbo wa Sugu ft Kalikawe-Haki,Propaganda-Fid Q,Mikononi mwa Polisi-Sugu,Tanga Kunani,Umeme na Maji-Wagosi,KKK-roma
 
hip hop ngumu sana mabinti hawapend yaani ile ya uselaa sana kama wa giz mabovu nash mc wanapenda laini angalia mfano wimbo wa rama d feat mapacha drunk in luv jay z n beyonce. angalia fa na jide. au gere ya weusi.
 
hip hop tama sana jamani acheni tuu engine week end kama hii tunaimalizia kwenye hip hop .

hawajui hao akina dada mziki wetu huu ni mzuri kuna nyimbo tumasikiliza watu wachache sana duniani
 
hawajui hao akina dada mziki wetu huu ni mzuri kuna nyimbo tumasikiliza watu wachache sana duniani

Patience-Nas ft Damian Marley,Rising to the Top-Krs One,Military Mind-Tupac,Letter to the King-The Game,ongeza list mkuu
 
Kivipi hip hop mkombozi wa fikra?
Nipe mfano kwa hapa TZ walivyokomboa fikra.

sikia ngoma za bonta,,,,,,,,

back kwa topic,, hii mada haina utafiti wa kudhibitisha.
 
Toka asubuhi leo nakula zangu mahip hop getho,wimbo wa 50 huu ni hawatuwezi _nako 2 nako

then naona zinafuata hizi
feelings_niki wa 2

exccelent_niki wa 2

tuliza boli-fa

na list inaendelea
 
ahahahh..ni kweli mkuu umenifurahisha sana na point zako..keep it up man

mkuu hasira hasara, kwenye maisha ni lazima upambane kuwin love, wanawake wakikukubali umeshinda game, wewe ushangai wanaume wanaacha pesa ya kula nyumbani lakini mwanamke anaibajeti hiyohiyo na anapata pesa ya kununuwa movie ya kanumba na magazeti ya shigongo?
 
mi napnda nyimbo za florida-whistle,na nyimbo za eminem na pia ule wa macklemore na ryan, am gonna pop some tags only got 20 dollars in my pocket nannannanan this is fu*******ng awesome
 
sikia ngoma za bonta,,,,,,,,

back kwa topic,, hii mada haina utafiti wa kudhibitisha.

haina utafiti mada ama post ya mshikaji?yaani hauna ufahamu kama mabinti hawako karibu na nondo za hip hop?
 
mkuu i neva call u a bitch again by 2pac mkuu chozi linatoka hiphop hisia mkuu bila kuwa na hisia huwezi kuju ladha.
 
check u tube uone hiphop chege alishasema hiphop amerika warembo walivua pichu zao wkati 2pac yupo stage bongo bado labda weusi .
 
haina utafiti mada ama post ya mshikaji?yaani hauna ufahamu kama mabinti hawako karibu na nondo za hip hop?

so unataka kusema bila mabinti hip hop haiuzi?...fikra mgando hizo. hip hop kama harakati zozote zile huanzia kwa wanaume na kuenea kwa wanawake na kisha watoto.
na mostly hiphop hasa ngumu zinahamasisha wanaume kuliko wanawake refer shot'em down wa onyx....hakuna jinsia ya kike,inayoweza kuekewa hasira za fedro starr ila mwanaume aliyewahi kuwa victim of some situation.

sugu na wimbo wake mikononi mwa polisi...ni wanawake wangapi wanakutana na manyanyaso ya mamwela compared to men....almost negligible.

kitabu wasichokielewa hawajatungiwa wao...na hiphop wasiyoielewa mademu hawachatungiwa wao....ndio maana hata regge za bob za harakati hawakuzipenda mpaka ilipokuja sweet regge nfio mabinti wanaipenda.
fuatilia pin ya pac happy home kisha gonga mzigo wa pac wa hit'em up ndio utajuwa tofauti.
chakufanya ni wanaharakati kutunga pia nyimbo laini kwa mademu Ili kuwin soko lao.

ni hayoooooooooo tu.
 
kwakuwa leo umechokoza mizuka ya hiphop basi device yangu ina music library ya kutosha.

sasa huku nabofya na huku naanza kupandisha mizuka ya mtu mzima Makaveli albamu Rustil down? remember me.

humu kuna mpini hailazor ni balaa tupu kuna kitu am getting money ni balaa tupu.

1996 mchizi wangu Tony Montana alilia utadhani ana undugu na 2pac tukiwa Athens Greece mara baada ya pambano la Tyson media zinareport 2pac shakur short dead in Nevada wakati wakitoka mgm grand kwenye pambano la Tyson kuelekea kwenye show ya 2pac shakur usiku huohuo kama nakumbuka vizuri ilikuwa ifanyike club 702.
 
so unataka kusema bila mabinti hip hop haiuzi?...fikra mgando hizo. hip hop kama harakati zozote zile huanzia kwa wanaume na kuenea kwa wanawake na kisha watoto.
na mostly hiphop hasa ngumu zinahamasisha wanaume kuliko wanawake refer shot'em down wa onyx....hakuna jinsia ya kike,inayoweza kuekewa hasira za fedro starr ila mwanaume aliyewahi kuwa victim of some situation.

sugu na wimbo wake mikononi mwa polisi...ni wanawake wangapi wanakutana na manyanyaso ya mamwela compared to men....almost negligible.

kitabu wasichokielewa hawajatungiwa wao...na hiphop wasiyoielewa mademu hawachatungiwa wao....ndio maana hata regge za bob za harakati hawakuzipenda mpaka ilipokuja sweet regge nfio mabinti wanaipenda.
fuatilia pin ya pac happy home kisha gonga mzigo wa pac wa hit'em up ndio utajuwa tofauti.
chakufanya ni wanaharakati kutunga pia nyimbo laini kwa mademu Ili kuwin soko lao.

ni hayoooooooooo tu.

mkuu ungeniuliza logic yangu.mi sizungumzii biashara,nazunguamzia harakati zetu kuwafikia mabinti kwa taabu sana,na hiyo ipo wazi kama Matola alivotoa changamoto hapo juu
 
Hata JK alikubalika sana na akina maza, ikulu akaingia kama anamsukuma mlevi.

Hivi hip hop ndio wale wanavaa sarawili chini ya ninihii......na vingine vinakuwa vimewabana.......ndio hao......?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom