real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 533
- 104
huo n wimbo wa ney wa mitego,na huyo diamond unaemkubali kashirikishwa tu,japo naye anafanya kaz poa
big up NDOMO
huo n wimbo wa ney wa mitego,na huyo diamond unaemkubali kashirikishwa tu,japo naye anafanya kaz poa
Hivi hip hop ndio wale wanavaa sarawili chini ya ninihii......na vingine vinakuwa vimewabana.......ndio hao......?
Hawa hapa
![]()
umewahi kuskiza wimbo wa Sugu ft Kalikawe-Haki,Propaganda-Fid Q,Mikononi mwa Polisi-Sugu,Tanga Kunani,Umeme na Maji-Wagosi,KKK-roma
Warembo niwaulize,men mnisaidie,kwa nini mabinti hawana feelings na wana wenye Hiphop lifestyle.Acha uhusiano wa mapenzi,hata ngoma zetu za movement "harakati" hamtaki kuskiza!Hata zile ngoma tunazowaimbia mnaziweka kapuni."Renee-Lost Boyz","Sonia,Radhia-Juma Nature", Mbona inakuwa kama nini warembo
Kinachosumbua hip hop ni nguvu nyingi, akili ndogo na kujidai ubabe hata pasipotakiwa.
Ila cha ajabu, mie na John Makini ni kitanda na shuka, nampenda sana huyu mwanamziki. Nitafutie kibao chake cha 'nikumbatie' akiwa na fundi Samwel.