Yaani kwamba ulikuwa "excited" mlinzi kusoma karatasi zako?
Unajua Kingereza?
Excited: .feeling very happy and enthusiastic.aisse I was to excited kiasi kwamba machozi yalinilenga.
Tatizo ulijiweka kinyongee sana..ndio maan na mlinzi ameona akuonee hapohapo.CV zangu, aisse I was to excited kiasi kwamba machozi yalinilenga.
Unaelewa alivaaje?Ungemwambia wewe ni Mmiliki wa Shule X na unamiadi naye full stop Wala asingekuzuia.
Mkuu mtu ambaye yuko excited kweli analia?aisse I was to excited kiasi kwamba machozi yalinilenga.
Nikaona maybe labda sio neema yangu kufanya Kazi kwenye tasisi hiyo.
Hapo tu interview umeshindwa. Kwahiyo hata ukifiwa unakuwa excited 😊 🤗 🤪 😃 😄 😛!!!Leo majira ya asubuhi nilipeleka maombi ya kazi katika moja ya shule hapa mjini.
Lakini experience nimeyokutana nayo Leo it's was too bad.
Picha inaanza Nimefika getini, nikamsalimia mlinzi jinsia yake me anaonekana kama ana miaka 44+ . Nikamwambia naomba unielekeze ofisi ya mkuu wa shule.
Mlinzi yule akanambia boss anaongea na simu, kwa hiyo nipe CV zako akimaliza tampa. Nikamuomba kuwa nipo Tayari kumsubilia mkuu hadi atakao maliza kuongea na simu jamaa akagoma.
Ndipo nikamsihi sana yule mlinzi kuwa anape hata dakika tano tu, lakini jamaa yule alikataa.
Nikamuomba kaka Tafadhali naomba basi bahasha hii nimpelekee sekretari wa mkuu wa shule jamaa akagoma.
Nikaona sina jinsi, nikachukua bahasha nikampa mlinzi, jambo la ajabu jamaa akafungua bahasha akaanza kusoma application letter na CV zangu, aisse I was to excited kiasi kwamba machozi yalinilenga.
Nikaona maybe labda sio neema yangu kufanya Kazi kwenye tasisi hiyo.
I was to excited,nikingereza cha wapi ndugu mwalimu?Bora ata mlinzi hakufikisha iyo cv maana tayari ungekosa iyo kazi.Leo majira ya asubuhi nilipeleka maombi ya kazi katika moja ya shule hapa mjini.