Tujiandae kwa gharama nyingine za uchaguzi baada ya 2015....
Hatuwezi kuongozwa na mtu alietuibia kiufisadi...
Huyo aliyetoa hilo tangazo ni punguani, slow motion kwenye picha iwe kwa Lowassa tu wengine hawajawekewa hiyo slow motion?
Lowassa ni mgonjwa kweli na nilisema humu toka zamani ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo, kama ni mpenzi wa michezo na umewahi kufatilia maisha ya Muhammad Ali kwenye video utaliona hilo pasi na shaka.
Coordination ya brain na viungo vya mwili wa Lowassa vina synch differently, vina wrong timing.
Lowassa ni mgonjwa. Full stop.
Wala usihofu. Hapimiwi kwenye kijiko...Haya ni moja ya matumizi mabaya ya Mb zako Mzee Mwanakijiji.
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.Huyo aliyetoa hilo tangazo ni punguani, slow motion kwenye picha iwe kwa Lowassa tu wengine hawajawekewa hiyo slow motion?
Lowassa ni mgonjwa kweli na nilisema humu toka zamani ana kila dalili za Parkinson Disease wala haihitaji kuwa daktari kulielewa hilo, kama ni mpenzi wa michezo na umewahi kufatilia maisha ya Muhammad Ali kwenye video utaliona hilo pasi na shaka.
Coordination ya brain na viungo vya mwili wa Lowassa vina synch differently, vina wrong timing.
Lowassa ni mgonjwa. Full stop.
Labda wengine mmeshaliona hili:
My Take: Sasa kama ni kweli wanafikiria hili au wanaamini hili basi bila ya shaka wanatufikiria sisi sote akili zetu ziko kwenye chupa. Hivi kweli video zote hizi zimewekwa slow motion? Seriously? Inawezekana Lowassa hana matatizo makubwa ya kiafya kama inavyohisiwa na baadhi ya watu lakini kusema kuwa video zimefojiwa ili kumfanya aonekane dhaifu zaidi nadhani si kutendea haki watu wengine. Kuna njia moja ya uhakika pkuondoa wasiwasi huu.
Aisee Haya ni mapenzi au wendawazimu? Yaani mpaka yule jamaa anayemsogezea kitu akae naye amewekewa slow motion?Labda wengine mmeshaliona hili:
My Take: Sasa kama ni kweli wanafikiria hili au wanaamini hili basi bila ya shaka wanatufikiria sisi sote akili zetu ziko kwenye chupa. Hivi kweli video zote hizi zimewekwa slow motion? Seriously? Inawezekana Lowassa hana matatizo makubwa ya kiafya kama inavyohisiwa na baadhi ya watu lakini kusema kuwa video zimefojiwa ili kumfanya aonekane dhaifu zaidi nadhani si kutendea haki watu wengine. Kuna njia moja ya uhakika pkuondoa wasiwasi huu.
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.
Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.
Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.
Pasco
Kila mtanzania anaumwa...tofauti ni kiwango cha uuguaji, Lowassa hata kama anaumwa maradhi yake hayamfanyi asiwe Rais, Mbona kuna kiongozi mkubwa tu ana kifafa? na tulimchagua sisi wenyewe? hizi team za Urais sasa zitatupeleka pabaya sana.
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.
Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.
Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.
Pasco
Afya ya mtu ni siri ya mtu na familia yake!, unless yeye mwenyewe aseme wazi kuwa ni mgonjwa na anaumwa kitu fulani kama alivyofanya JK!. Yes 'jamaa yangu' looks sick, mwenyewe amesema yuko ok, as fit as fiddle!. Who are you kumsemea anaumwa parkinson?.
Tena wewe FaizaFoxy, ni mtu mwenye daraja la juu sana humu jf kwa sababu u miongoni mwa wanawake wacheche humu who can think, most women feels only few think, kama ilivyo kwa most men think, few feels!, na kwa avatar yako suggest wewe ni mtu wa dini, swala 5!, afya ya mtu iko mikononi mwa Mola wako!, unaweza kumuona mtu kama anaumwa akadunda hadi miaka 100!, na kuna mwingine anayeonekana fit kabisa, kesho unaweza kusikia tii!.
Nawaombeni sana tusilete unyanyapaa kuhusu hali za afya za watu, kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa!, kila siku iendayo kwa Mungu, Israel humpitia kila kiumbe mara sabaini fii sabaa kwa siku, kuhakikisha siku ikifika, saa ikifiki, dakika ikifika, haipiti hata sekunde!.
Pasco
Aandae na kushiriki jogging ambayo itaonyeshwa LIVE na vituo vya televisheni kama vitatu hivi... Kuna njia moja ya uhakika pkuondoa wasiwasi huu...
Mitanzania ni mijitu mijinga ajabu!. Watu wote wanaompinga mgombea mmoja tuu kwa hoja za ufisadi nao pia ni wajinga tuu kama wajinga wengine, kwa sababu mzazi wa rushwa na usisadi ni CCM!, huwezi kuupinga ufisadi kwa kumnyooshea kidole fisadi mmoja tuu ndani ya chama cha kifisadi kilichojaa mafisadi!.ujinga zaidi ni pale mtetezi wa fisadi anapojaribu kutufundisha cha kumtetea mkubwa wa majambazi.
Kama zimefanyiwa Slow motion watupe zile original tuzione.
Lowassa ni mgonjwa wa kutupwa, hata wasemeje ukweli ndiyo huo.
Hili nalo neno
Japo sipendi sn kuzungumzia afya ya Mtu only God knws