chuse tbr
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 483
- 545
wala usihangaike nae huyu uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana ila mada yako ni bora. sijaliona hilo tangazo ila Fair Competition Committee inabidi waingilie kati tangazo lipigwe marufukuSina wivu wowote ila najaribu kuweka logic.. Yaani kiongozi wa nchi ambayo anapaswa kuwa neutral anawafanyia tangazo bank moja na kuziweka shakani zingine 50.. Hiyo wewe ndo akili?
Kodi inayokusanywa na hayo ma benki, watanzania walioajiriwa, miradi ya maendeleo iliyokuwa financed na hizo bank, ni kubwa mara ngapi.. Ondoa u CCM utaona makosa hapo