Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

Kimbukuli umesema vyema kabisa wapimwe akili mapema, kiongozi ni Muhimu kusoma mambo yahusuyo uchumi na biashara ili ajue dunia katika swala la uchumi inaendaje.
 
Kumbe si tu kwamba anatugawa watanzania, bali hata mabenki. Jamaa mbaguzi kwenye nyanja zote, I mean ubaguzi wa kisiasa, kijinsi, kitaaluma na hata katika mambo ya kiuchumi.
 
Ningeomba presidential decree ipite mara moja kwenye hili tangazo la kibiashara linalotia hasira na kueneza chuki kwa banking industry nzima.

Mara ya kwanza kutolewa hii kauli, tuliijadili hapa jukwaani na ikaonekana kwamba alichofanya Mh. hakikuwa kitu chenye afya hata kidogo kwa misingi ya kwamba;

1) Bank zote nchini ni za kibinafsi, ikiwa na maana umiliki mkubwa ni wa watu binafsi. Japokuwa kwa bank zilizoenda public, serikali haikuzuiwa kununua share.

2) Bank zote zinahudumia watanzania na zinalipa kodi.

3) Hoja ya kwamba serikali ikipata dividend basi ni faida kwa watanzania ni hoja dhaifu mno mno mno.

Sijui mtizamo wa Rais ulikuwa ni upi lakini ki tafsiri ya haraka ni as if anaona ni raha Tanzania tuwe na NMB peke yake.

So, literally unaweza kusema ni kampeni dhidi kuziangusha benki nyingine. Kwa faida gani tutapata nchi ikiwa na NMB peke yake?

Sijajua pia sheria zanasemaje, kuchukua hotuba ya Rais na kuifanya tangazo. Tangazo lenye dhima ya kuua ushindani wa kibenki.

Halafu sio afya kabisa, sijajua pia italeta taswira gani kwa wafanyakazi wa serikali wanaoomba facilities kwenye benki nyingine.. Naona kama tunatengeneza mazingira magumu pia kwa wafanyakazi wa serikalini.

Sitegemei kulisikia tena hili tangazo redioni. Ni kama vile mtu anakushawishi umchukie Rais.

Fungieni hilo tangazo kwa afya ya ustawi wa banking industry.

Kwakweli Hii haijakaa vizuri kabisa. Watu wanapamba kukuza vikoba iliziwe bank kwaajiri ya kusaidia hata wale wananchi wenye kipato kidogo waweze kuzungusha pesa. Halafu leo hii watu mnakuwa na tangazo la bank ni moja tu. Hiki kitu hakijakaa sawa kabisa. Bank zote zipo kwaajili ya manufaa ya wananchi.
 
Sijui FCC wako wapi, ilitakiwa waingilie kati
FCC walipaswa kuingilia kati siku nyingi, sio kwa hili tu, bado tuna hatua nyingi sana za kutembea kama kweli tunahitaji uchumi unaofanya kazi sawasawa. Kwa kuwa ni vigumu sana kutenganisha siasa na uchumi, ni muhimu sana wanasiasa wakawa na washauri wazuri wa kiuchumi, na wakawasikiliza.
 
Kama wamekiuka maadili inabidi wawajibishwe tusiwe na double standards. (Ubashite) Tanzania ya leo kila kitu kinakiuka utaratibu sijui tunaelekea wapi.
 
Sina wivu wowote ila najaribu kuweka logic.. Yaani kiongozi wa nchi ambayo anapaswa kuwa neutral anawafanyia tangazo bank moja na kuziweka shakani zingine 50.. Hiyo wewe ndo akili?

Kodi inayokusanywa na hayo ma benki, watanzania walioajiriwa, miradi ya maendeleo iliyokuwa financed na hizo bank, ni kubwa mara ngapi.. Ondoa u CCM utaona makosa hapo
Ni kweli lakini hakufanya vizuri kabisa kuipa promo bank moja tu inaonyesha mtazamo wa kizamani mno kwa kutaka tuwe na Bank moja tu!!
 
Ila ndio hilo hilo linaloendelea kuhusu TBA, hivyo pengine ni mtazamo rasmi (japo ni mbaya kwa ustawi wa kiuchumi)
 
Kila wakati viongozi wa kiti hicho huwa wanachemka ila huyu kavunja rekodi ndiyo maana hata la viroba ni bomu tu.
 
FCC walipaswa kuingilia kati siku nyingi, sio kwa hili tu, bado tuna hatua nyingi sana za kutembea kama kweli tunahitaji uchumi unaofanya kazi sawasawa. Kwa kuwa ni vigumu sana kutenganisha siasa na uchumi, ni muhimu sana wanasiasa wakawa na washauri wazuri wa kiuchumi, na wakawasikiliza.
Mi sidhani hata kama wanajua kazi yao, wao wanajua ushindani wa kwenye juisi tu!
 
Tatizo ni Je wataendelea hivyo hadi lini? Sheria za matangazo zinasemaje? Kwenye kanuni za maadili za taaluma mbalimbali sio sawa kutangaza biashara yako kwa namna ambayo inajengea walengwa taswira isiyofaa kuhusu washindani wako
 
Ningeomba presidential decree ipite mara moja kwenye hili tangazo la kibiashara linalotia hasira na kueneza chuki kwa banking industry nzima.

Mara ya kwanza kutolewa hii kauli, tuliijadili hapa jukwaani na ikaonekana kwamba alichofanya Mh. hakikuwa kitu chenye afya hata kidogo kwa misingi ya kwamba;

1) Bank zote nchini ni za kibinafsi, ikiwa na maana umiliki mkubwa ni wa watu binafsi. Japokuwa kwa bank zilizoenda public, serikali haikuzuiwa kununua share.

2) Bank zote zinahudumia watanzania na zinalipa kodi.

3) Hoja ya kwamba serikali ikipata dividend basi ni faida kwa watanzania ni hoja dhaifu mno mno mno.

Sijui mtizamo wa Rais ulikuwa ni upi lakini ki tafsiri ya haraka ni as if anaona ni raha Tanzania tuwe na NMB peke yake.

So, literally unaweza kusema ni kampeni dhidi kuziangusha benki nyingine. Kwa faida gani tutapata nchi ikiwa na NMB peke yake?

Sijajua pia sheria zanasemaje, kuchukua hotuba ya Rais na kuifanya tangazo. Tangazo lenye dhima ya kuua ushindani wa kibenki.

Halafu sio afya kabisa, sijajua pia italeta taswira gani kwa wafanyakazi wa serikali wanaoomba facilities kwenye benki nyingine.. Naona kama tunatengeneza mazingira magumu pia kwa wafanyakazi wa serikalini.

Sitegemei kulisikia tena hili tangazo redioni. Ni kama vile mtu anakushawishi umchukie Rais.

Fungieni hilo tangazo kwa afya ya ustawi wa banking industry.
mkuu wa kaya amevunja sheria ya ushindani namba nane ya mwaka 2003 kw

Mh mkuu wa kaya amevunja sheria ya ushindani no 8 ya mwaka 2003 kwa kujaribu ku foreclose banking industry kwa mshindani mmoja tu (nmb).

Hili ni tatizo sana. Ni matumaini yangu kuwa Tume ya Ushindani (FCC)Imeshakwisha toa ushauri kwa wizara husika (ya viwanda na biashara) ambayo kikatiba waziri wake ni mshauri wa Rais juu ya maswala yote ynayohusu viwanda na biashara kuhusu maelekezo ya mkuu yenye lengo la kufifisha ushindani.

Mkuu amekua anaonekana katika hotuba zake nyingi sana kufifisha ushindani. Angalia pia maagizo yake kwenye kiwanda cha Dangote.. Kumpatia Dangote exclusive right kujichimbia makaa ya mawe ambayo pia yanatumiwa na washindani wake ni hatari sana katika nadharia za kiushindani. Dangote anaweza kufanya hila katika eneo hilo hivyo kupelekea supply shortage ya makaa ya mawe kwa washindani wake tu ili awaondoe sokoni.. Hivi majuzi tumeshuhudia washindani wa Dangote Tz wakianza kulalamika juu ya kitendo cha serikali kumpatia favour zilizopitiliza Dangote. Dynamics km hizi ni vizuri pia ofisi ya Rais ikawa inazifahamu kabla ya kutoa matamko makali jukwaani..
 
Kila mtu ataguswa kwa style ya aina yake.

Tundu Lisu aliona mbali sana. Kwa maono ya Tundu Lisu ni wazi kuwa anafuata nyendo za Baba wa Taifa mwl. JKN.

Ameanza na sisi akisha maliza, watafuata na wale, na wale wengine.

Tuendele kusifu kwa mapambio.
Mkuu amefifisha ushindani wa kibiashara katika nyanja mbali mbali. Angalia ujenzi wamepewa TBA, angalia usafirishaji, wamepewa jeshi, angalia insurance wamepewa NIC.
Hii ya kuingia sekta ya bank ni mwendelezo, yeye angependa kazi zote zifanywe na Serikali, hataki mambo ya sector Binafsi. Nadhani ashauriwe.

Sector Binafsi inaajiri mamilioni ya watanzania. Hivi ikifa Hawa watu watakwenda wapi.

Sector Binafsi inachangia sana Kwenye pato la taifa kupitia, kodi zinazolipwa, akiacha zife kodi atatoa wapi.

Sijui tunaelekea wapi kama taifa. Ajifunze Kwa Mzee Mkapa, aliyefanya sector Binafsi zikakua na kuwa msaada Kwa Serikali.

Leo Hii angalia magazeti, hakuna tenda a Serikali, unafikiri baada ya mwaka mmoja wa utekelezaji wa maamuzi yake ya kutoa kazi zote zifanywe na taasisi za Serikali, sector Binafsi itakuwaje?
 
Ushauri hupelekwa kwa mtu mwenye uwezo wa kuuelewa. Mwenye upeo.

Kama hana utapoteza muda wako bure. Ni wa kumtazama aboronge kila kitu.,akili zitamkaa sawa alistuka kumekucha 2019.,

2016 aliyoteza kufukuza watu na uhakiki usiokwisha.
2017 inapotea kwa kurukia sera zisizotekelezeka..,
Kabakia na 2018 tu., akibironga na huo mwaka 2019 ataanza kuwqza kampeni za mwaka unaofuata.,mwaka wa
Uchaguzi daima huwa lost year kwenye uchumi wetu., kwa huyu bwana miaka yote mitano tutalamba matamko na majipu.
 
Gawio kubwa linakujaje?si lazima ununue Hisa?kwann serikali isinunue hisa kwenye hayo mabenki mengine pia?maana benki nyingine pia zina bei nzuri kuliko hata NMB na pia zina perform vizuri..naona umejibu bila kufikiria
Zitaje hizo benki mkuu,ama pita DSE afu urudi.
 
Kama bank from the start ilikuwa na support kutoka serikalini why not isiwe na faida na network kubwa? imagine taasisi zote za serikali zina account hapo pamoja na watumishi wote accounts zao za mishahara zipo hapo na mikopo yao pia, bank ina cheap deposits kutoka serikalini ndo mana mikopo yake niya masharti marahisi huwezi compare na other banks ambazo customers Wake ni Private unatumia Nguyen kubwa kupata wateja, deposits zake ni expensive and risky Kama fixed deposits so automatic bank itakuwa na masharti tight kwenye mikopo yake ambayo haitakuwa rafiki kwa watu wa chini, so acheni kuongea tuu bila kufanya utafiti kwanini other banks haziperform compare na hiyo bank yenu.
Sasa hapo unachobisha nini,lengo las erikali unajua ni lipi? Uwe unadhuria hata kampeni ujue kwa nini vyama vinataka kushika dola.
Bado naamini msimamo wa rais upo sahihi.
 
Back
Top Bottom