Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Haiwezekani kuficha ukweli wa uwepo wa system yo yote kila siku. Au ina ufanisi au ina boronga kwa ye yote anayeguswa na system pamoja na wewe na sisi wote.

Unapouliza nani nani nani jibu rahisi ni kuwa ili mradi system inamgusa kila mtu; watu wanaoguswa na system lazima watafanya uchambuzi wa muda mfupi wa kati na wa muda mrefu kulingana na wanavyogusswa kama ulitoa maudhui ya system hapo juu.

Nahitimisha kwa kukuomba jipange una hoja nzuri sana lakini wengi hawakuelewi kwa sababu umechanganya hoja hasa unapojaribu kujibu.

Nashikuru kwa ushauri wako hasa hasa hapo mwishoni
 
Na wewe naomba nikuulize kaswali kadogo tu uliijua vizuri fall ya Nikolae Ceausescu wa Romania? Mbona watu mnakuwa kama vile mmeshupaa?

Mzee Mag3

Naijua vizuri sana fall ya Nicolae Ceausescu, December 1989. Factors za kuanguka kwake ni tofauti sana na za Tanzania. Isitoshe watu walikuwa na hasira na yeye binafsi, kama mtawala. Sasa kwa Tanzania political landscape in tofauti sana. Wananchi bado tuna imani kubwa sana kwa chama tawala CCM. Upinzani bado wachanga sana na imejidhihirisha tu hapa kwa kumtosa Dr. Slaa in favor of jemedari la ufisadi nchini. Na nitashangaa sana kwe mzee mzima kama wewe, ambaye unafahamika sana kuwa dhidi ya ufisadi ukifanya endorsement ya fisadi papa kuwa mgombea wenu huko upinzani. Maana mpaka sasa sijaona ni wapi umepinga ujio wa jemedari la ufisadi kwenye chama chenu.
 
Ufisadi wa EL uko wapi mbona system haijatuthibitishia hilo?
Aidha,kama yy ni fisadi papa,anawezaje PM apitishe mikataba ya namna ile pasi na sauti ya system kusikika?
Whom to blame?
 
Mzee Mag3

Naijua vizuri sana fall ya Nicolae Ceausescu, December 1989. Factors za kuanguka kwake ni tofauti sana na za Tanzania. Isitoshe watu walikuwa na hasira na yeye binafsi, kama mtawala. Sasa kwa Tanzania political landscape in tofauti sana. Wananchi bado tuna imani kubwa sana kwa chama tawala CCM. Upinzani bado wachanga sana na imejidhihirisha tu hapa kwa kumtosa Dr. Slaa in favor of jemedari la ufisadi nchini. Na nitashangaa sana kwe mzee mzima kama wewe, ambaye unafahamika sana kuwa dhidi ya ufisadi ukifanya endorsement ya fisadi papa kuwa mgombea wenu huko upinzani. Maana mpaka sasa sijaona ni wapi umepinga ujio wa jemedari la ufisadi kwenye chama chenu.

¡°wananchi wengi bado tuna imani na ccm ¡° hiyo tathmini umeifanyia wapi? Kama unamaanisha wale mnafaidika nao sawa. Unasema Tanzania ni tofauti sana! huo utofauti na wengine umekuwa na manufaa yoyote?? Unasema vyama vya upinzani bado sanaa,ni vichanga! Je chama kilichoongoza miaka hamsini kimemkomboa mtanzania? Mpaka leo nchi haiwezi kujiendesha bila budget support kutoka kwa mjomba halafu unasema ¡°wananchi wengi...¡° wengi na nani??
 
Ningeendelea kukuelimisha kuhusu system lakini sipendi kwa kuwa sijui sana..!

Napenda kukuaminisha kuwa yote yanayotokea ni kwa mujibu na uratibu na utaratibu wa system!

Napenda kukanusha kuwa system inaporomoka!
Huyo unayemuhisi kuwa ni msimamizi wa system...siye!yeye ni msimamiwa wa system tu ...na sasa system itamuweka msimamiwa mwingine!

Sina uwezo wa kuiambia system lolote lakini naamini moja wapo ya kazi ya system ni kuingilia chochote at any cost na mwiko kwa system kutokuingilia lolote ambalo ni ovu au linalotishia uhai wake au wa kile linachokisimamia!

Mkuu usivutwe na ushabiki !

Kwenye first pata unasema huijui system vizuri lakini unaendelea kukomaa na kushikia bango kwamba system ndo kila kitu, ndiyo mungu hapa Tz! Mbona unajichanganya mkuu?
 
Kwenye first pata unasema huijui system vizuri lakini unaendelea kukomaa na kushikia bango kwamba system ndo kila kitu, ndiyo mungu hapa Tz! Mbona unajichanganya mkuu?

wewendiyeunayechanganyikiwamkuusamahanikwakuwacomputerninayotumiahainaspacekey
 
Uzuri wa system huwa hawajuani kwa sura ila wanajuana kwa kazi. So jidanganye na umburura wako. Kijaruba mkubwa we.
 
¡°wananchi wengi bado tuna imani na ccm ¡° hiyo tathmini umeifanyia wapi? Kama unamaanisha wale mnafaidika nao sawa. Unasema Tanzania ni tofauti sana! huo utofauti na wengine umekuwa na manufaa yoyote?? Unasema vyama vya upinzani bado sanaa,ni vichanga! Je chama kilichoongoza miaka hamsini kimemkomboa mtanzania? Mpaka leo nchi haiwezi kujiendesha bila budget support kutoka kwa mjomba halafu unasema ¡°wananchi wengi...¡° wengi na nani??

Ulichoandika hapo unakielewa?
 
Bado nina imani na System katika kutuvusha mwaka huu.

nina maswali kadhaa ya kukuuliza kuhusu system,lakini nataka kujua kwanza je wewe ni mtu wa system?huko system wewe ni mtu wa chinichini,au katikati au among the seniors?nakuuliza hayo ili niulize maswali sahihi kwa mtu sahihi
 
Mimi sina unasaba na system kabisa ndio maana naiomba na kuiamini kuwa itatuvusha salama
 
Haya kumekucha magambani...wanomba msaada wa sistimu sijui kitengo! hao nao ni watanzania... wana ndugu zao wanaopata shida kutokana mfumo kandamizi wa CCM nao sistimu wanataka ukombozi...wamechoka kutumiwa kama toilet paper.
Du!
 
Uzuri wa system huwa hawajuani kwa sura ila wanajuana kwa kazi. So jidanganye na umburura wako. Kijaruba mkubwa we.

Ukijibu hoja utaeleweka vizuri tu.huna haja ya kutukana au kurusha vijembe...mbona mada iko neutral sana.
 
System ilishashindwa siku nyingi, jaribio lao kuu liliangukia pale Dodoma, system haijiamini tena, inaogopa kabisa. Pamoja na kuja na karata zake tano mfukoni ili System isimame bado watu waligundua karata Feki na kuichanachana hadharani.
System ikashindwa kabisa kabisa kuzuia bomba la kutoa mafuriko kuhamia Upinzani, sasa wakati wowote linafunguka na mafuriko yatokee.
 
Back
Top Bottom