Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

Tunataka itoke hyo system tumechoshwa kula majan ili mrad ndege ya rais inunuliwe leo wapo gerezan nao c ndo system pia au cjui nchi inaendaje
 
Pumbavu kabisa mwaka huu yanewafika shingoni sasa mmeanza kujipa moyo, walah mwaka huu mtanyooka tu, usicheke na nguvu ya Ummma

Mbona unachanganyikiwa wakati umeambiwa kitengo kiko kwenye majaribio.Nguvu ya umma inapimana ubavu na system.
 
Tunataka itoke hyo system tumechoshwa kula majan ili mrad ndege ya rais inunuliwe leo wapo gerezan nao c ndo system pia au cjui nchi inaendaje
Kitengo kitakuwa kimewaweka ndani na usishangae wakatoka.usichoelewa ni kipi hapa?
 
nifah unasemaje kuhusu hii post???
Kwa yanayoendelea hivi sasa usishangae kuona watu wanakuja kulia lia namna hii, sisi tuendelee na mapambano tu.
System haiwezi kuishinda nguvu ya umma ya safari hii.
Pia tukumbuke systems ni watu kama sisi nao wanahitaji mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha mkuu nifah hawa watu wamepanic aisee, wanajipa moyo et system sasa hyo system haikujua kama kumkata jina kamanda lowasa itakuwa ni threat kwa afya ya chama na system yake? Au system nayo ililala usingizi.
 
Last edited by a moderator:
Mbona unachanganyikiwa wakati umeambiwa kitengo kiko kwenye majaribio.Nguvu ya umma inapimana ubavu na system.

Hahahaha wazee wa kitengo mmepanic maana mnatumia nguvu kubwa kuchimba tanzanite Tabora.
 
Hahahaha mkuu nifah hawa watu wamepanic aisee, wanajipa moyo et system sasa hyo system haikujua kama kumkata jina kamanda lowasa itakuwa ni threat kwa afya ya chama na system yake? Au system nayo ililala usingizi.
Hawa wameona kigumu sasa wanataka mbeleko ya kitengo mwaka uu wanalo sana. Wamechokwa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha mkuu nifah hawa watu wamepanic aisee, wanajipa moyo et system sasa hyo system haikujua kama kumkata jina kamanda lowasa itakuwa ni threat kwa afya ya chama na system yake? Au system nayo ililala usingizi.
Kuna mdau hapo juu kasema system yenyewe imepasuka.
Kuna waliokasirishwa baada ya mzee kukatwa hivyo huyu mtoa mada asitegemee mbeleko ya kitengo safari hii.
 
Last edited by a moderator:
Kwisha Mara ngapi mwezi wa kumi wananchi watawanyoosha kwenye sanduku la kura hamna cha kitendo wala nini hapo.
Hahahaaaaa tuendelee kuomba Mungu jamani tufanikiwe kuyatoa haya majangili ya rasilimali za taifa madarakani.
 
Kuna mdau hapo juu kasema system yenyewe imepasuka.
Kuna waliokasirishwa baada ya mzee kukatwa hivyo huyu mtoa mada asitegemee mbeleko ya kitengo safari hii.

Kweli mkuu hawawezi kuzuia nyuki kwa kujifunika kwa shuka la asali.
 
Hahahaaaaa tuendelee kuomba Mungu jamani tufanikiwe kuyatoa haya majangili ya rasilimali za taifa madarakani.
Kabisa kila mtu ameyachokaa mana yanajifanya Mungu watu, wana hati miliki na nchi wakati ni ya Watanzania wote.
 
Vijana wameshaelewa somo tatizo ni wazee, tuhakikishe kila mtu anatumia nafasi yake kuwahamasisha.
Mabadiliko yataletwa na sisi kwa pamoja tukishirikiana.
 
Yeah mi kila sehemu yanawaelimisha. Kilichonitia moyo kwenye kujiandikisha niliona vijana wengi I hope hawatafanya makosa. Tuna hitaji mabadiliko hizi siasa zisizo saidia mwananchi lazma zikomeshwe kabisa. Na mwezi wa kumi ni mnyoosho kwa kwenda mbele
 
Jackbaue

hapa kwakweli umewaza kama "federal agent jack bauer"!!! kumng'oa kucha ulimboka ilikua kama ile jack bauer alivolazimika kumtia risasi ryan chappelle,, kumkata mamvi ilikua pia kama jack bauer alivolazimika kumtia mbaroni charles logan day 5 huku ni rais wa nchi!! hii yote ni katika kuhakikisha system inatimiza yale ambayo ipo kwajili ya kuyafanya kuhakikisha tunaendelea kuitwa watanzaniano,,,
 
Last edited by a moderator:
System is a group of things working together eg in computer we have monitor ,keyboard,cpu,and mouse.when lowasa goes to ukawa it like to remove cpu in computer can computer continue to work!!!
 
Mwaka huu sihitaji hata kampeni nachotaka ni kwenda kupiga kura tu, Nimechoka na MFUMO wa hiki chama tawala.
 
Back
Top Bottom