Naona unawaimbia pambio kabisa.
Lakini mambo yasipoenda sawa lazima wakosolewa. Tena naamini ni vizuri kuwakosoa maana wana utambuzi na ufahamu wa kusikiliza pia kubadilika tofauti na wabunge wachumia tumbo.
Bahati nzuri hadi walipofikia tayari kuna watu wamewekwa kukosoa na kurekebisha ikiwa lolote linaenda mlama.
Mimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!
System hailali wala kusinzia!
System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !
Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!
Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!
Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!
Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.
Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.
UPDATES:
System au Kitengo imepata majaribu mapya na ya kipekee na imeyafanyia kazi kwa weledi.bado naendelea kuiita system ni ALPHA na OMEGA.
Tutulie ! #COVID 19
KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!
#Heshimakwakitengo
Umeongea kwa ufupi sana watu wanaweza tafsiri vingine.Naamini Hata Rais Magufuli haja kuwa Rais kwa mapenzi ya mtu binafsi, au sisi wapiga kura. Ni Rais wa maelekezo. Nchi ilikuwa inaondoka, airudishe nchi kwenye National Ethos.
System inafuga umasikini iendelee kuabudiwa!Kuna watu wanaabudu ujinga nji hii,
Hiyo system ilikuwa wapi 60 yrs umasikini bila kuingia ucbumi wa chini Kati,
Mbona hiyo system haifanyi Wana wa nchi hii kuwa miongoni mwa watu wenye furaha duniani?
Urais , Baba wa Taifa ( Head of State) ki Utaifa ni kama Mungu. Mtu wa mwisho, mwenye kila kitu, ukatili au ukarimu uliopitiliza. Kuwa head of Government ni Utopolo tuu. Sasa heshima hii kuna wanayo itumia vibaya. Sheikh au Askofu aki amuru ufe, unaweza kuchelewa . Lakini Rasis akiamuru ufe utauwawa sasa hivi. Ki utawala maelekezo yake haina ilinganifu. Ni kama wenye imani waaminio amri ya mungu.Umeongea kwa ufupi sana watu wanaweza tafsiri vingine.
Maaana ya Raisi wa maelekezo ni pale vikao vinapokaa (haijarishi idara au taasisi kama chama tawala) wakaafiki agombee kiti cha uraisi.
Hivyo basi Raisi ni mlolongo wa utaratibu mrefu pia maadhimio ya vikao kadhaa wa kadha pia aliyeafikiwa katika idara na watu mbali mbali.
Note: ndio ni Raisi wa maelekezo
Bahati mbaya au nzuri, hakuna shule ya kumwandaa anaenda kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Ingawa huwa wanavuka mipaka wanapo agiza uhai wa mtu fulani uondolewe. Hata Mungu hutumia mbinu kadhaa kuwafundisha wanadamu wamrudie, ila wakishupaza shingo upanga hupita.Urais , Baba wa Taifa ( Head of State) ki Utaifa ni kama Mungu. Mtu wa mwisho, mwenye kila kitu, ukatili au ukarimu uliopitiliza. Kuwa head of Government ni Utopolo tuu. Sasa heshima hii kuna wanayo itumia vibaya. Sheikh au Askofu aki amuru ufe, unaweza kuchelewa . Lakini Rasis akiamuru ufe utauwawa sasa hivi. Ki utawala maelekezo yake haina ilinganifu. Ni kama wenye imani waaminio amri ya mungu.
Kwa hiyo hamuwezi kuachiwa mchague kwa ushabiki hata wakati Taifa linakwenda kombo. Kama hatuja nyooka usishangae 2025- 2030 yupo. na wao ndio watapiga ngoma sisi tuta cheza tuu.
Kwa taarifa yako ukiwa STATE HOUSE we ni mgeni wa Taifa. Pale Magufuli na utata wake hana uhuru wa kwenda anakotaka, kula, kufanya mazoezi, anao wateuwa wote System imefanya kazi labda atapewa watu 3 kwa upendeleo wake, lakini yule pale ni Roboti. Anapumua 25% lakini 75% maelekezo. N a bahati mbaya jamaa anaonekana ni mtiifu.Bahati mbaya au nzuri, hakuna shule ya kumwandaa anaenda kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Ingawa huwa wanavuka mipaka wanapo agiza uhai wa mtu fulani uondolewe. Hata Mungu hutumia mbinu kadhaa kuwafundisha wanadamu wamrudie, ila wakishupaza shingo upanga hupita.
Suala la kuendelea kuongoza nchi baada ya ukomo wa mihula ni suala zito kidogo, ingawa kwa mambo yanavyoelekea sio suala la kupuuza.
Sidhani kama kitengo wana usemi katika hili, naamini uamuzi upo kwake yeye mwenyewe pia ushawishi wa timu yake.
Hana sababu ya kuwa mkaidi. Maisha yanaenda, nchi ipo na itaendelea kuwepo.Kwa taarifa yako ukiwa STATE HOUSE we ni mgeni wa Taifa. Pale Magufuli na utata wake hana uhuru wa kwenda anakotaka, kula, kufanya mazoezi, anao wateuwa wote System imefanya kazi labda atapewa watu 3 kwa upendeleo wake, lakini yule pale ni Roboti. Anapumua 25% lakini 75% maelekezo. N a bahati mbaya jamaa anaonekana ni mtiifu.
As long as hiyo so called system inaundwa na binadamu, na hao binadamu wanaitegemea ili kuweza kiendesha maisha yao (mshahara), na ina mfumo flani wa uongozi ambapo kuna mkubwa na mdogo, siwezi kuiamini kwamba eti sijui inatunza amani na kuabudu utaifa.
Binadamu ni selfish by nature. Hao watu wa so called system watatimiza haja zao kabla ya haja za taifa.
Hana sababu ya kuwa mkaidi. Maisha yanaenda, nchi ipo na itaendelea kuwepo.
Sema raha hufika pahala inakua pahala, miaka 5 ni michache. Hakuna anaeifikia akamwaga mbwiga.
Boredom huanza mwaka wa 8 na 9, inafika muda waanza kuuliza bado miezi ama siku ngapi nimpe mwingine kijiti?
Kitu pekee kinachofanya viongozi wakuu wengi kuendelea ni machache yakiwemo haya;
1. Mapenzi yaliyopita kiasi kwa nchi na wanachi.
2. Upepo wa siasa na kizazi kinachofuata
a) kama kuna matumaini na mwanga kwa
kizazi kinachofuata huwa wanaachia nchi.
b) kama vijana wapokea vijiti hawaeleweki
tuhesabu manyoya mapemaaa.
Tutaongea nadharia zote, umri wangu haujalishi; mtazamo wangu ni huu.Sijui umri wako, nikwite dogo au laa, Kazi kwa vijana 8 million, hivi ni viwanda 52,000. Yawezekana angeanza kuvijenga lakini umeme ungekuwa tatizo.
Mifano ya Gharama: Barabara ya ya kutoka Mtwara kwenda Kagera thamani yake ni viwanda 20,000 hivi ikiwemo na madaraja.
Lengo langu hapa ni kukuonyesha ni kitu kinawezekana, na sio kuzungumzia barabara ambayo ipo tayari.
Viwanda 52,000 hii ni kazi ya miaka 8 years. Swali: Aachie kati kati au amalizie ?.Mradi wa Bagamoyo, Mradi wa kugeuza Gas iwe liquid ili isafirishwe ni Dolla BILION 32. Mtaamua ku muachia mwizi?
Kujenga miundo mbinu na bandari kwa ajili ya Congo, Bomba la mafuta la Hoima Uganda mpaka Tanga. Kwa miradi yote tutatumia sio chini ya BILLION 130. Ni pato mara mbili zaidi ya uchumi wetu kwa sasa.
Na akiondoka madarakani baada ya miaka 8 tutakuwa na pato la wastani wa Dolla 3200 kutoka dola 1080 ya sasa. Nchi itakuwa ya kipato cha kati juu. Mta mwachia mwizi au tutafumba macho aendelee na amalizie tuendelee na maisha yetu.
Au tutamwachia MWIZI ? Usishangae akaendelea, na hatuwezi kusema miaka 8 inatosha, tuta sema amalize 10.
Huko mbele kazi ipo. AMA DEMOKRASIA AU MAENDELEO. NA KATIBA MPYA SAHAU MPAKA 2030
Tutaongea nadharia zote, umri wangu haujalishi; mtazamo wangu ni huu.
Kizazi cha Magufuri kitakapita, kizazi cha waliozaliwa baada ya 1980 sina imani nao. Simfahamu kila aliezaliwa kipindi hicho pia siwezi msemea kila mtu LAKINI "post modernism mentality" waliobeba moyoni na vichwani haitaleta matokea chanya.
Naongelea mazingira waliokulia, kusoma na kujifunza nini maana ya maisha na uhalisia; sio stahimilivu(sustainable in long run). Umewapa jina "MWIZI" nakubaliana na wewe kabisa. Maana kama jamii ime "indoctrinate" vijana wawe na ndoto kubwa bila kikomo, wakati haijawapa ramani na mipaka ya kutokuvuka(human values) hakika tunafuga wezi baada ya Magufuri.
Hofu yangu haswa ni maadili "morality" kama msingi wa utu/jamii na nchi kwa ujumla. Moral decay ni kwa dunia nzima, mbaya zaidi kwa Afrika ya wasio na elimu pia wale wenye elimu rasha rasha iliyopo hadi sasa.
Kizazi cha teknolojia wasiojua programming potelea mbali mechanics; wanaojua siasa za mikumbo bila kujua historia ya sera na sheria katika siasa. Kwa lugha nyepesi "white washed generation" wepesi katika kila nyanja; wanafikira kwa macho(kila wanachoona kwenye media ni sawa) na kuamua kwa hisia(kinachowapa raha ndio sahihi).
Waliohitimu vyuo vikuu baada ya 2009 na wengi kati ya wale wa miaka ya 2005 na kuja mbele. Ukiwauliza nini maslai ya taifa halafu ukambana afafanue point moja tu kati ya alizotaja utafurahi na nafsi yako.
Kizazi ambacho media ndio brainworks zao, kisa power breakfast wamechambua hivi basi wao pia wanaafiki nao. Kwasababu Zitto au Tundu Lissu kaongea basi hiyo ndio hoja ya msingi.
Wachache sana, WACHACHE!!! wanajua ni wapi tumefika na kwanini, tulishindwa kwa Nyerere Mwinyi Mkapa na Kikwete kwasababu zipi. Kwanini Magufuri ameweza na mengine ameshindwa. Mambo ni mengi ni vigumu kustahimili yote LAKINI ni hakika pia busara kuwa na malengo yanayofikika pamoja na mbinu za kufika.
Naamini hata kwenye janga la corona system ilifanya kazi kubwa sana ya kutuliza kumuhemuhe cha wanachi,,Mkuu napenda sana ujadili hoja hii bila jazba wala kuwa skewed kwa upande wa kisiasa!
Labda niseme kifupi tu...System haina maslahi juu ya chama flani bali Taifa!ndio kazi yake na ndio hukumu yake!
System itaitete accm kwa sababu flani!
System itaikuza Nccr kwa sababu flani
System itaibomoa Nccr kwa sababu flani
System itaiporomosha ccm na kuikuza chadema kwa sababu flani.
System itaendelea na kazi yake kwa sababu flani.
malengo ya system ni yale yale tu kuilinda Tanzania.
Yaani system ni kama Mungu...ataleta mafuriko kwa masikini wa kilosa na kuleta tsunami asia na kuipa baraka vatican!
Mwisho wa siku SYSTEM hutuvusha na sifa huchukua watu flani flani hivi!
System lazima ipate lawama tu kwani ndio kazi yake lakini mwisho wa siku system lazima ibakie kuwa system !
Confusing but thats the way it should be!
Maoni....sina ushauri.Kwa hali halisi ilivyo na inaendelea, jee Kutakuwa na maendeleo? au demekrasia?
Unafikiri atawale miaka 5 au 8 au miaka 10 ?
Kwa jinsi Mkulu alivyo , jee unaona kutakuwa na mabadiliko ya katiba kabla ya kukamilisha MPANGO MKUU WA TAIFA WA 2030 ?
Ushauri wako.
...🙄🙄🙄...una uhakika?Kwa taarifa yako ukiwa STATE HOUSE we ni mgeni wa Taifa. Pale Magufuli na utata wake hana uhuru wa kwenda anakotaka, kula, kufanya mazoezi, anao wateuwa wote System imefanya kazi labda atapewa watu 3 kwa upendeleo wake, lakini yule pale ni Roboti. Anapumua 25% lakini 75% maelekezo. N a bahati mbaya jamaa anaonekana ni mtiifu.
Pemgine alimaanisha hajakusoma muda mrefuNimepotea kivipi?soma unielewe halafu nieleze nilipopotoka!usikurupuke na wala usiwe na jazba !
Je huamini System??
Mkuu umekuja hoja gani? System ni fani Kama zilivyo fani nyingine, na system bila kua na system zingine Mambo hayawezi kwenda mkuu ,so neno system ni pana mno, japo wanasaidia taifa kwa mjibu wa kazi yao ila ila yategemea system zingine ili Mambo yaendeMimi ni muunini wa kinachoitwa SYSTEM AU STATE AU KITENGO.
Ninaamini nchi hii kama zilivyo nyingine nyingi zina MFUMO AU SYSTEM na kazi yake ni moja tu kulinda maslahi ya nchi dhidi ya majaribio ovu kutoka ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni 'system' pekee ndio inatufanya tuishi kwa amani hata kama ni kidogo!
System hailali wala kusinzia!
System inaachia uhuru wa kutosha sana mpaka pale ulevi wa uhuru unapoanza ndipo system inaingilia kati !
Sitaki kuongelea mengi pengine siyajui sana!
Naamini ni kazi ya kawaida kabisa ya System kuendelea kujilinda na kulinda values za kitanzania ili kuifanya Tanzania iendelee kuitwa Tanzania!
Hakuna aliye juu ya system awe masikini,kilema au tajiri au gaidi.ni system pekee ndio Alpha na Omega!
Mwaka 1992,1995,2010,2013 na labda miaka ya nyuma zaidi nikiwa mdogo SYSTEM ilipitia majaribio makubwa kadhaa na ikayashinda na sasa ni jaribio jingine tena ndani ya mwaka huu 2015.
Kwa hekima ya kipekee naamini system itashinda kiurahisi kuliko kila mmoja wetu anavyotarajia kwa kuwa ili-anticipate na hivyo imejipanga vilivyo.
UPDATES:
System au Kitengo imepata majaribu mapya na ya kipekee na imeyafanyia kazi kwa weledi.bado naendelea kuiita system ni ALPHA na OMEGA.
Tutulie ! #COVID 19
KILA LA KHERI KWA SYSTEM KATIKA KUENDELEZA MAJUKUMU YAKE!
#Heshimakwakitengo